Kama ingekua rahisi Trump ange retaliate kwa Iran kupiga kambi yake pale Iraq.Biden amekwambia "Don't"
Kwa anayejuwa kingereza jibu analo tayari.
Israel imejiandaa kujilinda na kushambulia na Biden amekwambia Iran Don't.
Wito wangu Kwa waislamu duniani kabla Iran haijageuzwa kuwa majivu muda wenu ni huu kumwambia Ayatollah asijaribu kuchambia sime, hatutaki kusikia kelele baadaye za Free Iran.
Unadhani vita ikitokea mataifa ya kiarabu na kiajemi hasimu wa Israel na USA yatakaa chonjo!?
Jana Blinken kapiga simu Saudi arabia na China kuzungumza nao wajaribu kumsihi Iran asije fanya shambulizi maana vita itasambaa.
Kama ulikua hujui ambaye yupo katika shape mbaya ni Israel,na vita ikilipuka kila taifa hasimu wa Israel atatumia hiyo fursa mzee.