LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Situational assessment more than 200 uavs and missiles zimerushwa na Iran na kuzuiwa.

There minor material damage in only one air base
 
Iran anatakiwa kuwa mwangalifu sana. Anatafutwa kwa muda mrefu sana. Lilianzia kwenye maandamano ikashindikana kuuangusha utawala wa iran. Sasa akawekewa mtego kwenye ubalozi. Nae kaingia kingi.

Ukiipiga Israel ni sawa na emeipiga marekani. Matajiri watoa maamuzi wa Marekani wana asili ya Israel. Hivyo watatumia kila aina ya resouces. Kwenye ishu ya Israel kwa mmarekani hakuna mrengo wa chama.

Kwanini Iran ni threat. Ni ukweli kuwa Iran kwenye technologia ya silaha anakuwa kwa kasi kubwa. Ni hatari mtu kama huyu kuachwa aendelee kukua kwani mrengo wake unajulikana. Hivyo kila sababu ya kumcheleweshwa lazima itafutwe

Iran anatakiwa ajifunze kwa China. Wachina wao hawataki hizi papara za kujitutumua. Kati ya kitu ambacho angetakiwa kufanya ni kuwa na mazungumzo ya hapa na pale huku akiwndelea kujiimarisha kiuchumi na kiulinzi.
Pia swala la kufadhili makundi ya mbalimbali yanayoendelea kufanya vita nchi nyingine litamgharimu. Irani hajakuwa kiasi cha kuanza kufanya anayofanya.

Me naona anaingia kwenye mtego.
 
Ndo Wammalize sasa.

Haya maneno Daily
 
Screenshot_20240414_083120_Chrome.png

Hawa ni Al Jazeera.
Back up ya US, UK na JORDAN imesaidia sana.
 
Dini ya uislamu isingekuwepo basi ni wazi kwamba kusingekuwa na vita humu duniani
Ni kweli ulio wazi kwamba dini ya kiislam inafundisha watu ujinga lakini Israel pia inaua wapalestina kwa mgongo wa dini kwamba mungu wao amewatuma.

Dini zote ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo. Hakuna mungu mwenye akili anaweza kuamuru usengerema kama huo.
 
Miezi kadhaa mbele zitakua zinatembea hashtags za #Justice_For_Iran. Nimekaa Pale.
Wameshindwa kummaliza hezbollah na walibondwa 2006 wataweza kupigana na iran? Unapigana na mtu mwenye mawe kwa miaka zaidi ya miaka 70 halafu unajiita una jeshi kweli?
 
Back
Top Bottom