kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Unachohadithiwa na wapiga propaganda wa magharibu sio uhalisia wa waliopo ndani ya israel jitahidi upate ndugu ama rafiki aliyepo huko atakupa ukweli nini kimetokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika pumba sana mwanetu
Halafu itafute palestina uone ukubwa wake sio ya kuchukua miezi kwa eneo kama kigogo!Yaani nimefurahi hadi naumwa..... Israel kataifa teule kametuheshimisha, hebu angalia hii ramani, lazima mpate aibu sana wavaa dera...
![]()
![]()
Waisraeli na Waarabu hawataki watu weusi acheni vichwa vigumu nyie wabantu wenzangu. Wazazi na watoto wako tu hapa dunia watakuheshimisha.Yaani nimefurahi hadi naumwa..... Israel kataifa teule kametuheshimisha, hebu angalia hii ramani, lazima mpate aibu sana wavaa dera...
![]()
![]()
Halafu itafute palestina uone ukubwa wake sio ya kuchukua miezi kwa eneo kama kigogo!
Huh??
UK, US, Jordan, na Saudi Arabia zilisaidia kutungua makom bora ya Iran na ndege zao zisizo na rubani!
Huo mfumo wa Israel ndo hizo nchi?
Safari yetu ndefu sanaYaani nimefurahi hadi naumwa..... Israel kataifa teule kametuheshimisha, hebu angalia hii ramani, lazima mpate aibu sana wavaa dera...
![]()
![]()
WajVita ina sheria yake. Kuuwa wananchi wasio na hatia ni uzwazwa na sio ujasiri
Haya mods sjui mtafuta tena na leo comment yangu
View: https://x.com/MarioNawfal/status/1779607758284677153
Tunalala tutapata matokeo asubuhi kama jana
Manchi haya yakimaliza kupigana waje africa huku wajichagulie wa kupambana naye tu
Sasa hako ka Israel ndio ka kuweka battle na Iran kweli yani man to man.Safari yetu ndefu sana
What if bajeti ni kubwa kulingana na kwamba silaha zote muhimu ananunua, na huku mwenzake silaha zote muhimu anatengeneza mwenyewe, kuwa na bajeti kubwa kimatumizi si tatizoThat means anaweza zaidi kijeshi na inawezekana deni la nje linatokana pia na uwekezaji wake kijeshi. If that is not enough to fear you you must have problem. Kama namba ya wanajeshi walio active ni ndogo kuliko Iran ila bajeti yake ya kijeshi ni kubwa kiasi hicho means anawekeza zaidi kwenye technology
Ufunguke akili wewe uliyechotwa akili na wazungu. Mpaka wanakufanya uwaabudu.MUngu anatumia Israel kuleta ujumbe haichezewi hata kidogo. Mungu awabariki mfunguke zaidi kiakili muache mikurupuko.
MImi hilo silijui hakuna nchi inaitwa hivyo ila najua israel anapigana na palestina!Hamna nchi inaitwa Palestina na haijawahi kuwepo.....
Rudia hii ramani mpate aibu kwenye dini yenu nyote
![]()
Netapaka hawezi kurusha hata jiwe pale Iran bila bwana wake kumsaidia.sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
Nimeshangaa aiseeHuh??
UK, US, Jordan, na Saudi Arabia zilisaidia kutungua makombora ya Iran na ndege zao zisizo na rubani!
Huo mfumo wa Israel ndo hizo nchi?
unajuaje kama iran yupo kwenye kufanya analysis ya muda mrefu na akaunda chombo chake kupitia madhaifu ya hivi vvyombo vya wamerekani n.k?Hizi namba bila ufafanuzi mtu anaweza ingia kichwakichwa akaamini isivyo sahihi. Mfano kill to loss ratio ya F-16 ni 76 to 1 (F-16 ziliwahi kuua ndege 76 angani na ni F-16 moja iliwahi dondoshwa I think ilikuwa ni ya India dhidi ya Pakistan). Na kill to loss ratio ya F-15 ni 102 to 0, F-15 mbalimbali duniani zimekuwa ndege 102 kwenye aerial duels angani ila hakuna F-15 iliwahi dondoshwa angani na ndege nyingine.
Hapo sasa Israel yenye F-16I 'Soufa' zaidi ya 300 na F-15 ndege hizi mbili ni latest na zina rekodi nzuri angani, jumlisha na F-35 stealth. Jumlisha na uwezo wa kujazia mafuta angani ambao Israel anao unakuta Israel ina advantage kubwa sana kwenye ndege.
Iran ana idadi kubwa ya ndege ila za zamani. Mfano F-14 Tomcat alizonazo Iran ni za Marekani, ambaye aliishaacha kutengeneza na kutoa support. Na ziko outdated za Marekani mwenyewe aliziuza vyuma chakavu mwaka 2006. Na Iran ana US made F-4/F-5 ndege za zamani US kaacha kutumia miaka zaidi ya 30 uko.
Iran ina sanctions kwenye silaha ndio maana sio Urusi wala China wanakubali kuiuzia fighters wanajiogopa. Sasa kwa mlinganyo huo, nina semi za Scania tisa na una Suzuki Carry Kirikuu kumi na tano. Wewe utaonekana una magari mengi ya mizigo, ila sasa unabeba nini.
Na data nyingine zina maelezo yake. Mfano kwenye naval power, Israel ana advanced warships chache za kisasa na bora kama Saar 6, zimefanya interceptions nyingi. Iran hata speed boats nazo anahesabiwa kama naval assets kwahiyo anaonekana ana meli nyingi. Ndio maana kwenye Navy tunapima tonnage za displacement. Una mitumbwi 20, nina boti 15 utaonekana na vyombo vingi vya usafiri kunizidi ila nakuzidi uwezo.
Kwenye population ni yaleyale Israel imepigana vita za Kiarabu ikiwa na disadvantage ya population mara zote. Kwenye tanks uko ni kawaida ya Israel tankers kuwa na wastani mzuri kwenye tank-to-tank combat, achana na kuviziana kwa infantry vs tank.
Advantage ya Iran ni kuwa kubwa, airbases nyingi na bandari. Mafuta inajitegemea na population pia haijawahi kuwa disadvantage. Soviet Union walikufa raia kama milioni 20 kwenye vita ila mapigano yaliendelea. Ni disadvantage kwa Israel ambayo ina watu wachache na inathamini sana maisha ya mpiganaji mmoja mmoja