LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Unaandika pumba sana mwanetu

Yaani nimefurahi hadi naumwa..... Israel kataifa teule kametuheshimisha, hebu angalia hii ramani, lazima mpate aibu sana wavaa dera...

main-qimg-26b8fe727d37f8fdb51d0c0a5a1303ab.webp


640px-Iran_Israel_Locator_%28without_West_Bank%29.png
 
Halafu itafute palestina uone ukubwa wake sio ya kuchukua miezi kwa eneo kama kigogo!

Hamna nchi inaitwa Palestina na haijawahi kuwepo.....
Rudia hii ramani mpate aibu kwenye dini yenu nyote

640px-Iran_Israel_Locator_%28without_West_Bank%29.png
 
Huh??

UK, US, Jordan, na Saudi Arabia zilisaidia kutungua makom bora ya Iran na ndege zao zisizo na rubani!

Huo mfumo wa Israel ndo hizo nchi?

Walisaidia kutungua baadhi na tunashukuru sana kwa huo ushirikiano, ila Israel ilipiga chini asilimia kubwa ya hayo makombora, kimsingi ni dhihirisho tosha kwa Iran kwamba hayo madude yake ni magobore tu yasiyo na umuhimu wowote.
 
That means anaweza zaidi kijeshi na inawezekana deni la nje linatokana pia na uwekezaji wake kijeshi. If that is not enough to fear you you must have problem. Kama namba ya wanajeshi walio active ni ndogo kuliko Iran ila bajeti yake ya kijeshi ni kubwa kiasi hicho means anawekeza zaidi kwenye technology
What if bajeti ni kubwa kulingana na kwamba silaha zote muhimu ananunua, na huku mwenzake silaha zote muhimu anatengeneza mwenyewe, kuwa na bajeti kubwa kimatumizi si tatizo
 
Wavaa vipedo, misuli na makobazi bhana. Hata wakifeli kwenye missions zao wanashangilia🤔
Hii drone yao imekwama kwenye nyaya za umeme nchini Iraq 🤔
One of the Iranian drones got stuck in electric pole wires in Iraq.

View: https://t.me/hnaftali/8893
 
Mpaka Sasa mafanikio ya Drones na missiles zilizorushwa na Iran kushambulia Israeli 🤔
....
Iran’s achievements in the attack against Israel:

1. Wounded Muslim girl.
2. Three missiles fell in Jordan.
3. At least one rocket fell in Iraq.
 
sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
Netapaka hawezi kurusha hata jiwe pale Iran bila bwana wake kumsaidia.

Israel ni Burundi iliyochangamka.
 
Hizi namba bila ufafanuzi mtu anaweza ingia kichwakichwa akaamini isivyo sahihi. Mfano kill to loss ratio ya F-16 ni 76 to 1 (F-16 ziliwahi kuua ndege 76 angani na ni F-16 moja iliwahi dondoshwa I think ilikuwa ni ya India dhidi ya Pakistan). Na kill to loss ratio ya F-15 ni 102 to 0, F-15 mbalimbali duniani zimekuwa ndege 102 kwenye aerial duels angani ila hakuna F-15 iliwahi dondoshwa angani na ndege nyingine.

Hapo sasa Israel yenye F-16I 'Soufa' zaidi ya 300 na F-15 ndege hizi mbili ni latest na zina rekodi nzuri angani, jumlisha na F-35 stealth. Jumlisha na uwezo wa kujazia mafuta angani ambao Israel anao unakuta Israel ina advantage kubwa sana kwenye ndege.

Iran ana idadi kubwa ya ndege ila za zamani. Mfano F-14 Tomcat alizonazo Iran ni za Marekani, ambaye aliishaacha kutengeneza na kutoa support. Na ziko outdated za Marekani mwenyewe aliziuza vyuma chakavu mwaka 2006. Na Iran ana US made F-4/F-5 ndege za zamani US kaacha kutumia miaka zaidi ya 30 uko.

Iran ina sanctions kwenye silaha ndio maana sio Urusi wala China wanakubali kuiuzia fighters wanajiogopa. Sasa kwa mlinganyo huo, nina semi za Scania tisa na una Suzuki Carry Kirikuu kumi na tano. Wewe utaonekana una magari mengi ya mizigo, ila sasa unabeba nini.

Na data nyingine zina maelezo yake. Mfano kwenye naval power, Israel ana advanced warships chache za kisasa na bora kama Saar 6, zimefanya interceptions nyingi. Iran hata speed boats nazo anahesabiwa kama naval assets kwahiyo anaonekana ana meli nyingi. Ndio maana kwenye Navy tunapima tonnage za displacement. Una mitumbwi 20, nina boti 15 utaonekana na vyombo vingi vya usafiri kunizidi ila nakuzidi uwezo.

Kwenye population ni yaleyale Israel imepigana vita za Kiarabu ikiwa na disadvantage ya population mara zote. Kwenye tanks uko ni kawaida ya Israel tankers kuwa na wastani mzuri kwenye tank-to-tank combat, achana na kuviziana kwa infantry vs tank.

Advantage ya Iran ni kuwa kubwa, airbases nyingi na bandari. Mafuta inajitegemea na population pia haijawahi kuwa disadvantage. Soviet Union walikufa raia kama milioni 20 kwenye vita ila mapigano yaliendelea. Ni disadvantage kwa Israel ambayo ina watu wachache na inathamini sana maisha ya mpiganaji mmoja mmoja
unajuaje kama iran yupo kwenye kufanya analysis ya muda mrefu na akaunda chombo chake kupitia madhaifu ya hivi vvyombo vya wamerekani n.k?
 
Back
Top Bottom