LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Jibu swali: nimekuuliza. Nioneshe Allince ya USSR na (Ufaranza., Uingereza na USA). Acha mbwembwe

Mdau kulikuwa na alliance kati ya US, USSR, Uingereza, China, Ufaransa na wengineo dhidi ya Axis Powers. Unaposema nikuoneshe unanipa tabu sababu yoyote yule anayejua kuhusu WW2 hata ki juu juu anajua hili.
 
Tuanzie hapo sasa. Nipe reference kuonesha alliance ya USSR baina ya (Ufaransa, Uingereza na USA)
 
Mdau kulikuwa na alliance kati ya US, USSR, Uingereza, China, Ufaransa na wengineo dhidi ya Axis Powers. Unaposema nikuoneshe unanipa tabu sababu yoyote yule anayejua kuhusu WW2 hata ki juu juu anajua hili.
Tunaongea kwa Reference mzee. Ndio maana mimi nimekupatia reference na ukajua tofati ya Roman Empire na Holy Roman Empire. Sasa unapoongea kwa maneno matupu tukuchulieje mzee.

Wewe weka taarifa zako hapa.
 
1713181198325.png
1713181252958.png
 
Sasa ujue Holy Roman Empire ndio hawa wakatoliki wanaotusumbua mpaka leo na wala sio Italy. Walieneza dini ya Catholic kwa upanga.

Mkuu

Kwa hiyo Hawa Holy Roman Empire ndio crusader ambao walikuwa wanaenda kupigana vita hadi kule Jerusalem?
 
Nimesoma mpaka mwisho sijaona sehemu yoyote iliyosema USSR alitengeneza Alliance na (Ufaransa, USA, Na uingereza)
 
Yamenikatisha tu tamaa.
Mtu unafelije kwa Asilimia 99 arifu??!
 
Mkuu

Kwa hiyo Hawa Holy Roman Empire ndio crusader ambao walikuwa wanaenda kupigana vita hadi kule Jerusalem?
Mwanzo wa crusade ilikuwa ndani ya Anatolia na lengo lake ilikuwa ni kupambana na uislam.
Lakini baada ya Utawala wa Kirumi kugawanyika vipande viwili na upande wa West kutokuwa na nguvu ndipo Utawala wa Ujerumani uliinuka na kuitwa "Holy Roman Empire" Ulikuwa unatumia kigezo cha dini kutawala maeneo kwa upanga na kuwaita wale wasio wakatoliki ni wapagani.

1713181859295.png
 
Kabla ya Operation ya Barbarossa. Ujerumani ilikuwa imejitanua namna hii ulaya. 👇 👇 👇
Finland ilikuwa tayari chini ya Holy Roman Empire.

View attachment 2964301

"Holy Roman Empire " ilishaanguka tokea wakati wa kina Napoleon huko. Unaposema kabla ya Operation Barbarossa (ambayo ilianza mwaka 1941) unazungumzia wakati gani? Maana Hitler aliyeingia madarakani mwaka 1933 na kuanza kwa Nazi Germany hakuwepo kabisa wakati wa "Holy Roman Empire" . Kabla ya Nazi Germany kulikuwa na Weimar Republic (1918-1933) iliyoanzishwa mwaka 1918 baada ya kuporomoka kwa German Empire. Weimar Republic ilikuwa dhoofu kabisa. German Empire ilianza baada ya unification of Germany mwaka 1871 mpaka iliposhindwa katika WW1 mwaka 1918.

Hiyo "Holy Roman Empire" sijaelewa kwanini unaileta hapa.

Anyways, mdau nashukuru sana kwa mjadala.
 
Kwa sasa hivi ni bayana hakuna mfumo wa kiulinzi ambao ni bora kuzidi wa Israel
huu wa Israel utapata soko kote kote
Nafikiri tupunguze mahaba na tukubali uhalisia na ukweli! Uhalisia ni huu hapa:

How Israel and allied defenses intercepted more than 300 Iranian missiles and drones​

Israel’s military said Sunday that “99%” of projectiles fired by Iran were intercepted by Israel and its partners, with only “a small number” of ballistic missiles reaching Israel.

Iran attacks Israel with over 300 drones, missiles: What you need to know​

The Israeli military also said that the vast majority of the projectiles were intercepted outside the country’s borders, with help from the United States, the United Kingdom and France. Jordan also shot down some of the missiles aimed at Israel as they were flying through Jordanian airspace.

Kisha ukweli ni huu hapa:

Iran struck ‘important’ Israeli military targets – IRGC (VIDEOS)​

Multiple IDF sites have been hit and destroyed, the Revolutionary Guard Corps claims

"Holy Roman Empire " ilishaanguka tokea wakati wa kina Napoleon huko. Unaposema kabla ya Operation Barbarossa (ambayo ilianza mwaka 1941) unazungumzia wakati gani? Maana Hitler aliyeingia madarakani mwaka 1933 na kuanza kwa Nazi Germany hakuwepo kabisa wakati wa "Holy Roman Empire" . Kabla ya Nazi Germany kulikuwa na Weimar Republic (1918-1933) iliyoanzishwa mwaka 1918 baada ya kuporomoka kwa German Empire. Weimar Republic ilikuwa dhoofu kabisa. German Empire ilianza baada ya unification of Germany mwaka 1871 mpaka iliposhindwa katika WW1 mwaka 1918.

Hiyo "Holy Roman Empire" sijaelewa kwanini unaileta hapa.

Anyways, mdau nashukuru sana kwa mjadala.
Holy Roman Empire iliangushwa na nani mzee. (Jifunze zaidi kuhusu "Operation Barbarossa").

Halafu tuambie hilo neno "Barbarossa" lilitokea wapi? "Frederick Barbarossa"
 
Back
Top Bottom