Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hapa nashukuru kwa kunirekebisha. Nakiri sikuwa nalijua hili.
Tuanzie hapo sasa. Nipe reference kuonesha alliance ya USSR baina ya (Ufaransa, Uingereza na USA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nashukuru kwa kunirekebisha. Nakiri sikuwa nalijua hili.
Jibu swali: nimekuuliza. Nioneshe Allince ya USSR na (Ufaranza., Uingereza na USA). Acha mbwembwe
Sasa ujue Holy Roman Empire ndio hawa wakatoliki wanaotusumbua mpaka leo na wala sio Italy. Walieneza dini ya Catholic kwa upanga.Hapa nashukuru kwa kunirekebisha. Nakiri sikuwa nalijua hili.
Tuanzie hapo sasa. Nipe reference kuonesha alliance ya USSR baina ya (Ufaransa, Uingereza na USA)
Tunaongea kwa Reference mzee. Ndio maana mimi nimekupatia reference na ukajua tofati ya Roman Empire na Holy Roman Empire. Sasa unapoongea kwa maneno matupu tukuchulieje mzee.Mdau kulikuwa na alliance kati ya US, USSR, Uingereza, China, Ufaransa na wengineo dhidi ya Axis Powers. Unaposema nikuoneshe unanipa tabu sababu yoyote yule anayejua kuhusu WW2 hata ki juu juu anajua hili.
Venus Star![]()
Allied powers | World War II, Definition, & Countries | Britannica
Allied powers, coalition of countries that opposed the Axis powers (led by Germany, Italy, and Japan) during World War II. The principal members of the Allies were the United Kingdom, the Soviet Union, the United States, and China (the “Big Four”), as well as France while it was unoccupied. Thewww.britannica.com
Sasa ujue Holy Roman Empire ndio hawa wakatoliki wanaotusumbua mpaka leo na wala sio Italy. Walieneza dini ya Catholic kwa upanga.
Nimesoma mpaka mwisho sijaona sehemu yoyote iliyosema USSR alitengeneza Alliance na (Ufaransa, USA, Na uingereza)![]()
Allied powers | World War II, Definition, & Countries | Britannica
Allied powers, coalition of countries that opposed the Axis powers (led by Germany, Italy, and Japan) during World War II. The principal members of the Allies were the United Kingdom, the Soviet Union, the United States, and China (the “Big Four”), as well as France while it was unoccupied. Thewww.britannica.com
OkNimesoma mpaka mwisho sijaona sehemu yoyote iliyosema USSR alitengeneza Alliance na (Ufaransa, USA, Na uingereza)
Mwanzo wa crusade ilikuwa ndani ya Anatolia na lengo lake ilikuwa ni kupambana na uislam.Mkuu
Kwa hiyo Hawa Holy Roman Empire ndio crusader ambao walikuwa wanaenda kupigana vita hadi kule Jerusalem?
Kabla ya Operation ya Barbarossa. Ujerumani ilikuwa imejitanua namna hii ulaya. 👇 👇 👇
Finland ilikuwa tayari chini ya Holy Roman Empire.
View attachment 2964301
Kwa sasa hivi ni bayana hakuna mfumo wa kiulinzi ambao ni bora kuzidi wa Israel
Nafikiri tupunguze mahaba na tukubali uhalisia na ukweli! Uhalisia ni huu hapa:huu wa Israel utapata soko kote kote
Holy Roman Empire iliangushwa na nani mzee. (Jifunze zaidi kuhusu "Operation Barbarossa")."Holy Roman Empire " ilishaanguka tokea wakati wa kina Napoleon huko. Unaposema kabla ya Operation Barbarossa (ambayo ilianza mwaka 1941) unazungumzia wakati gani? Maana Hitler aliyeingia madarakani mwaka 1933 na kuanza kwa Nazi Germany hakuwepo kabisa wakati wa "Holy Roman Empire" . Kabla ya Nazi Germany kulikuwa na Weimar Republic (1918-1933) iliyoanzishwa mwaka 1918 baada ya kuporomoka kwa German Empire. Weimar Republic ilikuwa dhoofu kabisa. German Empire ilianza baada ya unification of Germany mwaka 1871 mpaka iliposhindwa katika WW1 mwaka 1918.
Hiyo "Holy Roman Empire" sijaelewa kwanini unaileta hapa.
Anyways, mdau nashukuru sana kwa mjadala.