Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Weka chanzo chako...Mesopotamia ni utawala kabla ya utawala wa uajemi. Wewe unaongelea utawala mimi naongelea kabila.
Tunaongelea Chaldeans mwanagu. Ibrahim ni Chaldean. Soma historia ya Chaldean.
Ni waajemi pekee walikuwa wanaabudu Mungu mmoja. Ndiko Ibrahimu alitoa imani yake.