Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Kwani si tulikubaliana makombora yote yamedunguliwa na air diffence ya muisrael imekuwaje tena😳Zege halilali.
Tayari Israel imetoa video za uharibifu uliofanywa na Iran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani si tulikubaliana makombora yote yamedunguliwa na air diffence ya muisrael imekuwaje tena😳Zege halilali.
Tayari Israel imetoa video za uharibifu uliofanywa na Iran
The Israeli regime’s defense systems, including the Iron Dome, have failed to intercept ballistic missiles fired from Iran toward the occupied territories, with released images showing the missiles raining down and hitting their designated targets.Walisaidia kutungua baadhi na tunashukuru sana kwa huo ushirikiano, ila Israel ilipiga chini asilimia kubwa ya hayo makombora, kimsingi ni dhihirisho tosha kwa Iran kwamba hayo madude yake ni magobore tu yasiyo na umuhimu wowote.
Israel au Marekani ? Usijifanye hujui kama Israel ni mmarekani na muingerezaIsrael haipigani na nchi yoyote na siku ikipigana na taifa lolote hilo taifa lijiandae kufutwa.....
Ni kainchi kadogo ila balaa....mainchi yenu ya uarabu yapate walau aibu
![]()
Kulikoni?👇🏾MUngu anatumia Israel kuleta ujumbe haichezewi hata kidogo. Mungu awabariki mfunguke zaidi kiakili muache mikurupuko.
Nyodo nyingi baada ya Kutupa Vijikombora vyenu Israeli ambavyo vilizuiwa na Israel Defense Systems huku kukiwa hakuna Madhara yoyote yale sasa jiandae kuwajua Wayahudi ( Israel ) walivyo / ilivyo hasa katika Masuala ya Vita na kwanini pia ni Wababe wa Vita duniani na hasa katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.
Iran walipotupa Vijikombora vyao Israel juzi walisema hakuna wa Kuwatsha sasa mbona Kiongozi wao Mkuu ameyakimbia Makazi yake ghafla? Mbabe huwa anaogopa au anakimbia Nyumba yake na kwenda Kujificha ili kukwepa Kisasi Kikali na Kitakatifu kinachokuja kutoka kwa Wayahudi?
Ukiona hadi GENTAMYCINE nimeweka Avatar ya Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu tokea nijiunge hapa JamiiForums na wala sitoitoa labda niwe nimeshatangulia mbele za Haki jua kuwa nimegundua ni Mtu tunayefanana Vingi hasa Akili Kubwa, Ubabe wa Kivita, Ubunifu na Kujiamini huku tukimtuamini Mwenyezi Mungu.
Ukitaka kujua Taarifa hii ya Kiongozi wa Iran Kula Manyoya ( Kukimbia ) Makazi yake tembelea Media zote Kubwa sawa?
Mbona haujajibu swali langu mkuu? Iran iliwahi kushinda vita ipi?Tafadhali naomba jibu mkuu. Kuna tatizo, kwann hautaki kunijibu?
Iran ilishinda vita ipi?
Iran vs Iraq war unaijua wewe ? , kipindi hicho saadam Husein ni kibaraka wa nchi za magharibi hasa uk na USA , Iraq walipewa silaha za kila aina mpaka silaha za sumu , cluster bombs na silaha nyingine kali zilizopigwa marufuku na UN zilitumiwa na Saadam Husein dhidi ya Iran ,lakini mwisho wa siku hiyo coalition ya nchi za magharibi na Iraq hawakuweza kutoboa mbele ya waajemi .Mbona haujajibu swali langu mkuu? Iran iliwahi kushinda vita ipi?Tafadhali naomba jibu mkuu. Kuna tatizo, kwann hautaki kunijibu?
Kwa hiyo Iran alishinda?Iran vs Iraq war unaijua wewe ? , kipindi hicho saadam Husein ni kibaraka wa nchi za magharibi hasa uk na USA , Iraq walipewa silaha za kila aina mpaka silaha za sumu , cluster bombs na silaha nyingine kali zilizopigwa marufuku na UN zilitumiwa na Saadam Husein dhidi ya Iran ,lakini mwisho wa siku hiyo coalition ya nchi za magharibi na Iraq hawakuweza kutoboa mbele ya waajemi .
Vita ilipiganwa kwa miaka nane ,kama hujui ndio ujue sasa , ni moja kati ya vita ngumu iliyopiganwa kwa muda mrefu
1980-1988
Kumbe siku hizi Israel ina imegundua defense system zijulikanazo kwa majina ya Marekani , Jordan, Uingereza na Ufaransa?Nyodo nyingi baada ya Kutupa Vijikombora vyenu Israeli ambavyo vilizuiwa na Israel Defense Systems huku kukiwa hakuna Madhara yoyote yale sasa jiandae kuwajua Wayahudi ( Israel ) walivyo / ilivyo hasa katika Masuala ya Vita na kwanini pia ni Wababe wa Vita duniani na hasa katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.
Iran walipotupa Vijikombora vyao Israel juzi walisema hakuna wa Kuwatsha sasa mbona Kiongozi wao Mkuu ameyakimbia Makazi yake ghafla? Mbabe huwa anaogopa au anakimbia Nyumba yake na kwenda Kujificha ili kukwepa Kisasi Kikali na Kitakatifu kinachokuja kutoka kwa Wayahudi?
Ukiona hadi GENTAMYCINE nimeweka Avatar ya Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu tokea nijiunge hapa JamiiForums na wala sitoitoa labda niwe nimeshatangulia mbele za Haki jua kuwa nimegundua ni Mtu tunayefanana Vingi hasa Akili Kubwa, Ubabe wa Kivita, Ubunifu na Kujiamini huku tukimtuamini Mwenyezi Mungu.
Ukitaka kujua Taarifa hii ya Kiongozi wa Iran Kula Manyoya ( Kukimbia ) Makazi yake tembelea Media zote Kubwa sawa?
Kama aliyonayo Mama yako.Kumbe siku hizi Israel ina imegundua defense system zijulikanazo kwa majina ya Marekani , Jordan, Uingereza na Ufaransa?
Ww jamaa una shida kichwani.
Jibu hoja ww bata ,siku hizi Israel inatengeneza mifumo ya ulinzi itwayo Marekani, Ufaransa , Uingereza na Jordan?Kama aliyonayo Mama yako.
😂Muislam hashindwi