LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Walisaidia kutungua baadhi na tunashukuru sana kwa huo ushirikiano, ila Israel ilipiga chini asilimia kubwa ya hayo makombora, kimsingi ni dhihirisho tosha kwa Iran kwamba hayo madude yake ni magobore tu yasiyo na umuhimu wowote.
The Israeli regime’s defense systems, including the Iron Dome, have failed to intercept ballistic missiles fired from Iran toward the occupied territories, with released images showing the missiles raining down and hitting their designated targets.

Based on the images, the missiles fired at the occupied territories were equipped with cluster warheads, a feature that led to the confusion of air defense systems to intercept the weapons.
This is the first time that Iran has used missiles equipped with cluster warheads.
Israel’s Iron Dome also failed to intercept Iranian missiles in the al-Khalil region.
Iran on Saturday night and early Sunday launched hundreds of missiles and drones at key military sites in the Israeli-occupied territories in retaliation for the regime’s airstrike on the Iranian consulate in Syria that left seven military advisors dead on April 1.
 
Israel haipigani na nchi yoyote na siku ikipigana na taifa lolote hilo taifa lijiandae kufutwa.....

Ni kainchi kadogo ila balaa....mainchi yenu ya uarabu yapate walau aibu

640px-Iran_Israel_Locator_%28without_West_Bank%29.png
Israel au Marekani ? Usijifanye hujui kama Israel ni mmarekani na muingereza
 
Nyodo nyingi baada ya Kutupa Vijikombora vyenu Israeli ambavyo vilizuiwa na Israel Defense Systems huku kukiwa hakuna Madhara yoyote yale sasa jiandae kuwajua Wayahudi ( Israel ) walivyo / ilivyo hasa katika Masuala ya Vita na kwanini pia ni Wababe wa Vita duniani na hasa katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.

Iran walipotupa Vijikombora vyao Israel juzi walisema hakuna wa Kuwatsha sasa mbona Kiongozi wao Mkuu ameyakimbia Makazi yake ghafla? Mbabe huwa anaogopa au anakimbia Nyumba yake na kwenda Kujificha ili kukwepa Kisasi Kikali na Kitakatifu kinachokuja kutoka kwa Wayahudi?

Ukiona hadi GENTAMYCINE nimeweka Avatar ya Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu tokea nijiunge hapa JamiiForums na wala sitoitoa labda niwe nimeshatangulia mbele za Haki jua kuwa nimegundua ni Mtu tunayefanana Vingi hasa Akili Kubwa, Ubabe wa Kivita, Ubunifu na Kujiamini huku tukimtuamini Mwenyezi Mungu.

Ukitaka kujua Taarifa hii ya Kiongozi wa Iran Kula Manyoya ( Kukimbia ) Makazi yake tembelea Media zote Kubwa sawa?
 
ZIonist hawawezi kukurupuka this time, ile heka heka ya juzi sio ya kitoto.

Itachukua time hadi waje kulipa kisasi.
Nyodo nyingi baada ya Kutupa Vijikombora vyenu Israeli ambavyo vilizuiwa na Israel Defense Systems huku kukiwa hakuna Madhara yoyote yale sasa jiandae kuwajua Wayahudi ( Israel ) walivyo / ilivyo hasa katika Masuala ya Vita na kwanini pia ni Wababe wa Vita duniani na hasa katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.

Iran walipotupa Vijikombora vyao Israel juzi walisema hakuna wa Kuwatsha sasa mbona Kiongozi wao Mkuu ameyakimbia Makazi yake ghafla? Mbabe huwa anaogopa au anakimbia Nyumba yake na kwenda Kujificha ili kukwepa Kisasi Kikali na Kitakatifu kinachokuja kutoka kwa Wayahudi?

Ukiona hadi GENTAMYCINE nimeweka Avatar ya Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu tokea nijiunge hapa JamiiForums na wala sitoitoa labda niwe nimeshatangulia mbele za Haki jua kuwa nimegundua ni Mtu tunayefanana Vingi hasa Akili Kubwa, Ubabe wa Kivita, Ubunifu na Kujiamini huku tukimtuamini Mwenyezi Mungu.

Ukitaka kujua Taarifa hii ya Kiongozi wa Iran Kula Manyoya ( Kukimbia ) Makazi yake tembelea Media zote Kubwa sawa?
 
Mbona haujajibu swali langu mkuu? Iran iliwahi kushinda vita ipi?Tafadhali naomba jibu mkuu. Kuna tatizo, kwann hautaki kunijibu?
Iran ilishinda vita ipi?
Mbona haujajibu swali langu mkuu? Iran iliwahi kushinda vita ipi?Tafadhali naomba jibu mkuu. Kuna tatizo, kwann hautaki kunijibu?
Iran vs Iraq war unaijua wewe ? , kipindi hicho saadam Husein ni kibaraka wa nchi za magharibi hasa uk na USA , Iraq walipewa silaha za kila aina mpaka silaha za sumu , cluster bombs na silaha nyingine kali zilizopigwa marufuku na UN zilitumiwa na Saadam Husein dhidi ya Iran ,lakini mwisho wa siku hiyo coalition ya nchi za magharibi na Iraq hawakuweza kutoboa mbele ya waajemi .
Vita ilipiganwa kwa miaka nane ,kama hujui ndio ujue sasa , ni moja kati ya vita ngumu iliyopiganwa kwa muda mrefu
1980-1988
 
1. Hivi ndivyo vilivyo vita vya leo kwenye kuwatia watovu adabu: namna, kiwango, muda na hadi mapigo hujadiliwa yakaidhinishwa:

IMG_20240416_112932.jpg

2. Kwamba kumbe hakukuwa na jipya? Mwana izaya alikuwa apate stahiki yake kwa kiwango kile:

IMG_20240416_113334.jpg

3. Mchokozi alipaswa kutiwa adabu kama alivyokuja bila kumpa nafasi yeye wala awaye yote kuwa na sababu ya kuendeleza mzozo:

IMG_20240416_115516.jpg

4. Alipo mwana izaya anatweta hajui kushoto wala kulia, kila siku baraza la vita. Mbona ataota sugu?

IMG_20240416_111513.jpg

5. Ukienda huko, keshaambiwa; utapambana na hali yako:

IMG_20240416_120255.jpg

6. Hali yenyewe ndiyo hii:

IMG_20240416_074312.jpg

7. Mwana izaya yuko kwenye kuvuna aliyopanda kwa mikono yake mwenyewe.
 
Iran vs Iraq war unaijua wewe ? , kipindi hicho saadam Husein ni kibaraka wa nchi za magharibi hasa uk na USA , Iraq walipewa silaha za kila aina mpaka silaha za sumu , cluster bombs na silaha nyingine kali zilizopigwa marufuku na UN zilitumiwa na Saadam Husein dhidi ya Iran ,lakini mwisho wa siku hiyo coalition ya nchi za magharibi na Iraq hawakuweza kutoboa mbele ya waajemi .
Vita ilipiganwa kwa miaka nane ,kama hujui ndio ujue sasa , ni moja kati ya vita ngumu iliyopiganwa kwa muda mrefu
1980-1988
Kwa hiyo Iran alishinda?
 
Nyodo nyingi baada ya Kutupa Vijikombora vyenu Israeli ambavyo vilizuiwa na Israel Defense Systems huku kukiwa hakuna Madhara yoyote yale sasa jiandae kuwajua Wayahudi ( Israel ) walivyo / ilivyo hasa katika Masuala ya Vita na kwanini pia ni Wababe wa Vita duniani na hasa katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.

Iran walipotupa Vijikombora vyao Israel juzi walisema hakuna wa Kuwatsha sasa mbona Kiongozi wao Mkuu ameyakimbia Makazi yake ghafla? Mbabe huwa anaogopa au anakimbia Nyumba yake na kwenda Kujificha ili kukwepa Kisasi Kikali na Kitakatifu kinachokuja kutoka kwa Wayahudi?

Ukiona hadi GENTAMYCINE nimeweka Avatar ya Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu tokea nijiunge hapa JamiiForums na wala sitoitoa labda niwe nimeshatangulia mbele za Haki jua kuwa nimegundua ni Mtu tunayefanana Vingi hasa Akili Kubwa, Ubabe wa Kivita, Ubunifu na Kujiamini huku tukimtuamini Mwenyezi Mungu.

Ukitaka kujua Taarifa hii ya Kiongozi wa Iran Kula Manyoya ( Kukimbia ) Makazi yake tembelea Media zote Kubwa sawa?
Kumbe siku hizi Israel ina imegundua defense system zijulikanazo kwa majina ya Marekani , Jordan, Uingereza na Ufaransa?

Ww jamaa una shida kichwani.
 
Wapalestina ni waarabu au sio waarabu? Wanawapenda wayahudi?
 
Eneo la Mashariki ya Kati yote kabla ya vita vya pili vya dunia yalikua chini ya Ottoman Empire, Muingereza na Marekani waliwatumia ma spy agents wao wa kiarabu kuidhoofisha dola ya Ottoman.

Hao maajents wao waliahidiwa wakifanikiwa kujitoa kwenye dola ya Ottoman basi wao ndio watapewa mamlaka ya kuongoza serikali zao.

Hivyo viongozi wa sasa unaowaona katika nchi nyingi za kiarabu ni watoto na wajukuu wa majasusi wa Uingereza na Marekani, hata ulinzi na udhibiti wa kuendelea kuwepo kwao madarakani unatoka Uingereza na Marekani hivyo usitegemee waende kinyume na mabwana zao.

Kina Saddam waliojifanya kwenda kinyume na mabwana zao walichokipata nadhani unakijua.
 
Back
Top Bottom