FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wenye asili ya kiyahudi ya ukweli wanasema;Si walikua wanashangilia ugaidi wa hamas Oct 7, acha dawa iwaingie
Uchambuzi |
Netanyahu aliuza roho ya Israeli kwa shetani na muungano wake unaendelea kupora.
Hayo ni kwa mujibu wa gazetu la mayahudi wakimuongelea huyo shetani wa kizayuni kutojea Poland.
Chanzo: Netanyahu sold Israel's soul to the devil and his coalition keeps plundering