LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Kwani mtu atakuwa na interest gani kuleta taarifa kama hizi,sioni.Halafu ni vema tukatamani kujifunza,kuliko kudhani kila tusichokijua hakipo.
Umesema kweli mkuu.Hapa JF ni darasa zuri sana kama utakuwa una nia ya kujifunza.
 
Jeshi la mashoga na vibaka linalolenga wanawake na watoto na kuhesabu kama victory .
Fvcking cowards !
 
Halafu anatokea choko mmoja mwenye mtindio wa ubongo anaandika humu "Israel taifa teule ,wana wa Mungu "
F*cking cunt !
Give me a break
 
IDF wao kama ni vidume kweli wawasake Hamas na Hezbollah walipo wazitwange na si kulenga makazi ya raia na kuua wanawake na watoto .
Ni indication ya failure hiyo
 
Wanashikishwa ukuta na Hamas wanaenda kulipua makazi ya raia na shule , wanapakwa mafuta na Hezbollah wanaenda kulipua Beiruti ,makazi ya raia as If Hezbollah siku hizi wanaishi Beiruti
 
IDF wao kama ni vidume kweli wawasake Hamas na Hezbollah walipo wazitwange na si kulenga makazi ya raia na kuua wanawake na watoto .
Ni indication ya failure hiyo
Hezbollah nao wameanza kujificha tena nyuma ya watoto. Lebanon is the next gaza
 
Wazee wenzangu leo nasikia Israel kamua liwe na liwe nasikia atapiga Iran leo, haya yetu macho.

Si ajabu mpaa asubuhi kesho tutapata jibu.

Mimi upande wangu naona nyau anataka kuimaliza Israel, sababu kipigo atakacho pokea tokea Iran kitakuwa ndio mwisho wa Israel.
Israel imeshapata njia mbadala ya kujilinda na makombola kutoka Iran??
 
Back
Top Bottom