Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Screenshot_20230125-161121_Chrome.jpg
 
Karibu nyumbani TL. Alietaka kukuua hana pumzi tena, hana madaraka tena,ameoza nyama zake zote, ameliwa na wadudu, amebaki fuvu na mifupa wa kiuno chini ya futi sita.
Ama kweli maisha ya binadamu ni hadithi kama anavyosema Mzee Mwinyi. Tupendane kesho ni fumbo.
 
Karibu Nyumbani Lissu.

MUNGU alikuwa na makusudi yake kuendelea kukuacha Hai, pengine anataka utusaidie kutunga Katiba mpya itakayokuwa mkombozi kwa vizazi vijavyo.
Tutarajie kusikia Lissu akiteuliwa na Rais kuwa Mbunge. Ili akalichangamshe Bunge kwa Nondo za Kisheria

Pia mama Samia ataweka Historia ya kuwasaidia Wazanzibari kupata Muungano unaoendana na mazingira ya sasa.

Nawatakia Mema sana.
Amen.
 
Back
Top Bottom