CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kweli wa kunyumba nimekumiss,nisalimie shemeji Lucas naona wenye chama wanazidi kumbania uteuzi.Sema tu umenimiss! Lucas ni regesha hapa
Tukae tusubiri kuona mwisho wa LucasKweli wa kunyumba nimekumiss,nisalimie shemeji Lucas naona wenye chama wanazidi kumbania uteuzi.
Hao kma wamelazimishwa Utv iko safinawapongeza CLOUDS kutuweka live apa ila watulie tupate coverage nzuri network yao inachezacheza
ALIEAMBIWA KUKATA UMEME NAMUONA ANATEST MITAMBOKwa kinachoendelea hapo mlimani City mpaka mda huu mbowe kapigwa KO maana waliomo ndani ndio wajumbe na ndio wapiga kura sasa badae mtuambie mbowe kashinda
Ikitokea hivyo wajumbe vunjeni vitu umo ndani yani pasikalike
Boni Yai namuona akitumia kiti kama jiwe gizani make ndo fursaChadema hata kununua luku mmeshindwa!!!!
Mpo gizani
Kituko 😂😂😂
HayaRushwa, Rushwa, Rushwa.
Leo mpaka kieleweke humour ndani hatoki mtuALIEAMBIWA KUKATA UMEME NAMUONA ANATEST MITAMBO
Vurugu ndio asili ya chakademus na plierKwa kinachoendelea hapo mlimani City mpaka mda huu mbowe kapigwa KO maana waliomo ndani ndio wajumbe na ndio wapiga kura sasa badae mtuambie mbowe kashinda
Ikitokea hivyo wajumbe vunjeni vitu umo ndani yani pasikalike
Aibu sanaaaaPolisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu