Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kwa kinachoendelea hapo mlimani City mpaka mda huu mbowe kapigwa KO maana waliomo ndani ndio wajumbe na ndio wapiga kura sasa badae mtuambie mbowe kashinda

Ikitokea hivyo wajumbe vunjeni vitu umo ndani yani pasikalike
 
Mbowe vs lisu leo ndio leo
GhzkDbjXUAAruhJ.jpeg
 
Kwa kinachoendelea hapo mlimani City mpaka mda huu mbowe kapigwa KO maana waliomo ndani ndio wajumbe na ndio wapiga kura sasa badae mtuambie mbowe kashinda

Ikitokea hivyo wajumbe vunjeni vitu umo ndani yani pasikalike
Vurugu ndio asili ya chakademus na plier
 
Back
Top Bottom