Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Polisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu
Mambo ya ajabu kabisa
 
Mambo ya ajabu kabisa
Kupumzika was the best decision ktk historia ya siasa kwake na kwa CDM. Akisbinda itainekana kwa wengi kuwa amefaidika na uenyekiti wake wa mda mrefu, kama chama tawala popote duniani vinavyonufaika na faida za kuwa watawala kwa mda mrefu
 
Nadhani unamuongelea Sultani Mbowe
 
Huku kukatika katika kwa umeme mbona ni aibu sana? Kwa diplomatic dignitaries walioko hapo hiyo siyo aibu ya Chadema pekee, ni aibu kwa Taifa. F*cken umeme wa Tanzania!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi hapa hutoboi Lissu kakabia juu sana we endelea kuzima umeme tu tutawasha vibatari
 
Kuna vituko Leo hapa Mlimani City Mnyika anatangaza kutumia jenereta hapo hapo umeme unamprove wrong kuwa Luna mzimaji wa umeme somewhere in the Building
Huku kukatika katika kwa umeme mbona ni aibu sana? Kwa diplomatic dignitaries walioko hapo hiyo siyo aibu ya Chadema pekee, ni aibu kwa Taifa. F*cken umeme wa Tanzania!
 
Tukae tusubiri kuona mwisho wa Lucas
Mwambie apunguze kuandika makorokocho yanamharibia sana,ajitahidi ku keep low profile the watamuinua lakini haya masifa anayozidisha na kujifanya mjuaji atasubiri sana. Ajishushaye atainuliwa bali ajikwezaye atashushwa.
 
Utofauti wao mkubwa sana

Lissu kaongea kuomba kuonewa huruma na bado kulalamika


Mbowe yupo vizuri zaidi yake. Nondo Nondo anamwaga
 
Ndugu zangu upande wa wapenda mabadiliko. Sisi ambao tulitamani sana mheshimiwa Lissu ashinde uchaguzi huu. Hatuna namna tena. Tumeshindwa. Iwe kwa rushwa iwe kwa nini lakini hali ni mbaya. Mimi kama mimi sipo tayari kuongozwa nao. Asanteni sana.
 
Polisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu
Mbona miccm imeng'ang'ania madaraka muda wote huo haitaki kutoka?
 
Kama Mbowe kashaaamua tangu zamani na anayasema... Nendeni nje ya BOKSI

Haya nyie si nilisema all drama ilikuwa ni script wamepanga waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajitekenya 😎😎😎😎😎onesha kwanini "umepigwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…