Utaziba nafasi za wanachama na msshabiki? Are you serious?... nafasi wa wanaotoka zitazibwa haraka sana!
... ndipo utajua hujui Bongo hii!Utaziba nafasi za wanachama na msshabiki? Are you serious?
Sawa tu, hata Lissu akigombea urais au ubunge usimpe, mpe mgombea wa CCMKelele za mtaani ndo hao wanachama ambao wanategemewa kwenye uchaguzi wa mwezi wa kumi. Huwezi kuwapuuza..binafsi ni mwanachama halali wa CHADEMA,siyo mjumbe wa huo uchaguzi,nlitamani lissu ashinde..asipo shinda automatically sito endelea na hicho chama..bora kura yangu niwape CCM
Wajumbe wanawawakilisha Wanachama!Lissu alichemka kwa wajumbe.
Mbowe amebebwa na wajumbe
Wanachama wanamtaka lissu
Naiona CUF mpya endapo atashinda Mbowe.Wajumbe wanawawakilisha Wanachama!
Wana familia pia. School fees etcWajumbe wanawawakilisha Wanachama!
Gentleman,Rushwa imeharibu uchaguzi, Mbowe kanunua wajumbe
Naona unahamisha goli!Hizo karatasi za kupigia Kura ilitakiwa kuzihakiki kabla. Siku hizi kuna technology ukiweka tick kwa mgombea huyu baada ya dakika kadhaa inahamia kwa mgombea wa pili hili linaweza kuwa limetokea
We chawa leo umehamia Chadema kumtetea jamaaa yenu mlishika kiuno ili ashinde mumuendeshe kama kawaida yenu...Stupid hungry monkeys!Gentleman,
kwani Lisu si aliwaambia wajumbe wakipewa pesa wazichukue au π€£
Hamna sio kujitetea mimi huwaga sio mnafki. π€£Punguza jitetea maneno yako ya uongo kunisingizia yamekutoa pangoni
π π π π π
Tutaenda tu Man U inafungwa na bado tunaendelea kuiangalia tu