Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kelele za mtaani ndo hao wanachama ambao wanategemewa kwenye uchaguzi wa mwezi wa kumi. Huwezi kuwapuuza..binafsi ni mwanachama halali wa CHADEMA,siyo mjumbe wa huo uchaguzi,nlitamani lissu ashinde..asipo shinda automatically sito endelea na hicho chama..bora kura yangu niwape CCM
Sawa tu, hata Lissu akigombea urais au ubunge usimpe, mpe mgombea wa CCM
 

Attachments

  • downloadfile-7.jpg
    downloadfile-7.jpg
    723.1 KB · Views: 1
Tutaenda tu Man U inafungwa na bado tunaendelea kuiangalia tu

Siasa ni tofauti .

Niambie tu Chadema itamsimamisha nani kugombea urais ?

Tundu Lisu akikubali kugombea urais chini ya Wenje na Mbowe basi utakua ni urais wa gereza la vichaa au hospitali ya Rutindi .

Heche Lema hata ubunge hawawezi kugombea chini ya Mbowe.

Lazima chama kianguke .

Na kudai katiba mpya itakua ni upuuzi kwa sababu hata katiba ya Chadema ina mapungufu na hakuna wetu watu wenye utashi wa kutenda haki na kusikiliza maoni ya wananchi. Sasa kama Chadema hakisililizi maoni ya wananchi zaidi ya viongozi ni nani atakua na uhalali wa kudai katiba ya Warioba ambao ni ya wananchi. Bila shaka tutaipa CCM nguvu ya kupuuza maoni ya katiba ya Warioba .
 
Back
Top Bottom