Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
DUH mambo yashabadilika tayari nin? ili hosp. nisiende
Upepo hausomeki maana Lema anahesabu kura kama hela vile na kuzifunga mafungu mafungu kama vibunda vya hela.🤣🤣

Ila mkao wa Boniyai kwenye kiti ni kama wakukata tamaa hivi unafanya mashabiki wahisi kama vile team Machame inaona kuna dalili mbaya.
 
Wacha ramli
 
Nimefatilia Lema alivyohesabu hazijafika 510, ameweka kwenye mafungu ya 10 10
 
Lala uamke upya.
 
uko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.
saa 07:25 ndo zinaanza kuhesabiwa za mbowe,tuko nyumbani lakini tunaona laivu,bony yai akihesabu za mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…