Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Siasa sio uadui kama bwana yule alivyokuwa akifanyaDuhh siasa ni unafiki wa kishetani, cheza mbali kama wewe ni mcha Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa sio uadui kama bwana yule alivyokuwa akifanyaDuhh siasa ni unafiki wa kishetani, cheza mbali kama wewe ni mcha Mungu.
Zitakuwa hujuma za mbowe kwa msaada wa ccmUmeme unazingua...au hujuma?
🤣🤣🤣 shiiiiiihhh!!!usikute hata mshindi wanamjua..🤣
Baada ya hapo anakwenda kuchukua balance yake iliyosalia kwa kuidhoofisha Chadema. Na maisha yataendelea. Chadema inakuwa kama CUF na NCCR MageuziSultan Mbowe Bin King'ang'anizi atashinda kimagumashi akitumia rushwa ambayo ni sponsored na majizi ya Ccm baada ya hapo ataishi kwa majuto akielewa kabisa black & white kuwa watu wameshajua ni mamluki na hawana imani nae
Nani kashinda?.....Aiseeehh CHADEMA AKILI KUBWA!!!
Mwisho wa huu mtanange kilamoja midomo wazi
Lissu kwa 68%.Nani kashinda?
Kama kweli haki imeshindaLissu kwa 68%.
Haya mabegi ni ya nini sasa?
Nyie watu mapumbavu sana John Lema ni nani?John Lema ndiye wakala wa kusimamia kura za Lissu.