Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi atashinda kimagumashi akitumia rushwa ambayo ni sponsored na majizi ya Ccm baada ya hapo ataishi kwa majuto akielewa kabisa black & white kuwa watu wameshajua ni mamluki na hawana imani nae
Baada ya hapo anakwenda kuchukua balance yake iliyosalia kwa kuidhoofisha Chadema. Na maisha yataendelea. Chadema inakuwa kama CUF na NCCR Mageuzi
 
God bless him
20250121_145009.jpg
 
Kwanini Mwenyekiti wa usimamizi wa uchaguzi awe Mosha mtu wa kaskazini? Hii haileti dhana ya kumpigania Mbowe?
 
Back
Top Bottom