Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!Nimeiona hii mbona, we unadhani hadi sasa Israel wanajali??
Alaf hamas ikifanya hivo itajiwekea sifa mbaya zaidi.
We unaonaje?? Au fresh tuu wachinje watu hadharani?
Naona hakuna utofauti kabisa 😐😐Kuna utofauti wowote?
Sio kosa lako, ni kosa la kutumia akili kwenye mambo ya rohoni, ki akili unaeleweka sana.Ni wakati wa Mungu wa Israel kulinda watu wake yeye mwenyewe sio kuwapa watu mzigo wa maombi kwa mambo ambayo hayawahusu...
Kuua raia sio ugaidi?Hamas wamesema kama Israel itaendelea kuua raia wao basi wataanza kuwachinja mateka wa Israel live. Huu ndo ugaidi wenyewe sasa
Uzuri wako huwa unareport ukiwa front line kabisa kwenye battle field kama ulivyokuwa unareport vita ya Ukraine na Russia😊Mapigano makali yapo kwenye mji wa rafat ndani ya Israeli muda huu
Sasa majengo yana makosa gani ?waingie under ground wawafuate hamas waache kushambia majengo kama vichaa.Washaanza tangu jana. Halafu Muyahudi wala hata habahatishi, anapiga majengo ambayo ana taarifa nayo kuwa yanajihusisha na hamas, tena anatuma meseji kwanza (sms) kuwajulisha wakazi waondoke.
Na ndiyo kinachoelekea huko!Hii hatari nafikili ndo itaongeza chuki zaidi.
Naona hata nchi za Kiarabu wameona itakuwa hatari zaidi.
Watakuwa wajinga sana Kwani Kuna rehani ya watu zaidi ya 1000, itapoteza uhai Kwa sababu ya huo uamuziAl Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari
Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema
Source Al jazeera news
Mimi naona hio itaendeleza chuki mkuu.Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!
Hii italeta taharuki kwa raia wao kwa maana kila familia ya watu waliyochukuliwa mateka wanafahamu.
Wanausenge Sana hao machalii!!!Sema hao watoto wa mnyaazi huwa hawatanii!!
Amekalia kuti kavu...serikali yake lazima ianguke.Hahahaha Yule PM wa Israel Benjamin amesema hawatokubali Chochote na wametangaza vita juu ya hao Hamas amesema piah ni lazima walipize kisasi so wakae kwa kutulia tu
Na nchi inayoitwa Palestina, ilikuwa wapi katika hii dunia kabla ya 1947?Hakuna nchi pasipo watu. Watu ndiyo huanzisha nchi. Kukujibu swali lako ni kwamba, hao walioanzisha hiyo walikuwepo wakiishi hapohapo.
watu katika ardhi ya Tanzania walikuwepo kabla ya Uhuru, walikuwepo kabla ya juna Tanganyika, walikuwepo kabla ya jina Tanzania, walikuwepo kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa uhuru au jina la nchi kuja baadaye haiwaondolei haki ya kuwa walikuwepo, na kwamba ni kwao.
Watapigwa vibaya mnoNatabiri endapo watafanya hivyo huwenda ndio itakuwa mwisho wa kusikia kitu kinaitwa Hamas kwenye uso wa Dunia sidhani kama kuna mtu anaweza zuia hawa Jewish wasifanye maangamizi.
Ndio hao wakishajichinjia huko peponi wanapewa wanawake mabikra 70 na mito ya ulevi. Hawa watu ni mashetani kabisa.Imagine umetekwa na unapewa HIYO taarifa kwamba kila shambulio litamaanisha kuchinjwa kwa kukatwa shingo na kisu na ndio mwisho wa wewe kuwa hai hapa duniani unaondoka duniani kwa maumivu makali sana hata kale ka imani ka kubadilishana wafungwa hakapo tena POW SWAP DEAL hivyo kufa wewe ni 100% kinyama na kikatili kisu kinapenya shingo na macho kuanza kuona giza na hatimaye unaanza kujisaidia na kukojoa kwa maumivu makali ya kisu kukata mifupa duuuuuuuh.
Fatilia machafuko ya miaka ya 2000's na miaka mingine Hamas walichinja sana mateka.Natabiri endapo watafanya hivyo huwenda ndio itakuwa mwisho wa kusikia kitu kinaitwa Hamas kwenye uso wa Dunia sidhani kama kuna mtu anaweza zuia hawa Jewish wasifanye maangamizi.
Israel huwa wanajijengea sifa nzuri kwa waliyokuwa wakifanya miaka yote?Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.
Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Mkuu maana hatujui nao wanataka nini Israel isije kuwa wakafanya kama KAGAME ALIVYOFANYA 1994 HUKO RWANDA maana wale nao wayahudi weusi.Na ndiyo kinachoelekea huko!
Kwa sasa hivi Palestina wameamua kufa nao hivyo hivyo! Hata kama wao watauliwa 10,000 ila wanataka kuwapa ujumbe Israel ni kuwa awamu hii tutakufa na nyinyi!
Ndugu zenu wayahudi vita vya ardhini vimewashindaUzuri wako huwa unareport ukiwa front line kabisa kwenye battle field kama ulivyokuwa unareport vita ya Ukraine na Russia😊