LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nimeiona hii mbona, we unadhani hadi sasa Israel wanajali??
Alaf hamas ikifanya hivo itajiwekea sifa mbaya zaidi.
We unaonaje?? Au fresh tuu wachinje watu hadharani?
Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!

Hii italeta taharuki kwa raia wao kwa maana kila familia ya watu waliyochukuliwa mateka wanafahamu.
 
Ni wakati wa Mungu wa Israel kulinda watu wake yeye mwenyewe sio kuwapa watu mzigo wa maombi kwa mambo ambayo hayawahusu...
Sio kosa lako, ni kosa la kutumia akili kwenye mambo ya rohoni, ki akili unaeleweka sana.

Kwa nini sasa mambo ya rohoni uyaachie wanayoyajua? Usije ukajiletea laana!????
 
Washaanza tangu jana. Halafu Muyahudi wala hata habahatishi, anapiga majengo ambayo ana taarifa nayo kuwa yanajihusisha na hamas, tena anatuma meseji kwanza (sms) kuwajulisha wakazi waondoke.
Sasa majengo yana makosa gani ?waingie under ground wawafuate hamas waache kushambia majengo kama vichaa.
 
Hii hatari nafikili ndo itaongeza chuki zaidi.
Naona hata nchi za Kiarabu wameona itakuwa hatari zaidi.
Na ndiyo kinachoelekea huko!

Kwa sasa hivi Palestina wameamua kufa nao hivyo hivyo! Hata kama wao watauliwa 10,000 ila wanataka kuwapa ujumbe Israel ni kuwa awamu hii tutakufa na nyinyi!
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Watakuwa wajinga sana Kwani Kuna rehani ya watu zaidi ya 1000, itapoteza uhai Kwa sababu ya huo uamuzi
 
Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!

Hii italeta taharuki kwa raia wao kwa maana kila familia ya watu waliyochukuliwa mateka wanafahamu.
Mimi naona hio itaendeleza chuki mkuu.
Sasa kama watu wamewahi kuuwawa 6 million unafikili hio litawashitua.
 
Tukisema kwamba Mungu mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.

Watu mnakaza fuvu na kuwa wabishi.

Watoto wadogo wana angamia bila hatia yeyote, Halafu kuna wajinga wanasema Mungu awaokoe.

Mungu huyo hayupo, Kama yupo na anashuhudia haya Mungu huyo ni Mkatili sana na Hana hata chembe ya wema.
FB_IMG_1696846075249.jpg
 
Hakuna nchi pasipo watu. Watu ndiyo huanzisha nchi. Kukujibu swali lako ni kwamba, hao walioanzisha hiyo walikuwepo wakiishi hapohapo.
watu katika ardhi ya Tanzania walikuwepo kabla ya Uhuru, walikuwepo kabla ya juna Tanganyika, walikuwepo kabla ya jina Tanzania, walikuwepo kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa uhuru au jina la nchi kuja baadaye haiwaondolei haki ya kuwa walikuwepo, na kwamba ni kwao.
Na nchi inayoitwa Palestina, ilikuwa wapi katika hii dunia kabla ya 1947?
 
Imagine umetekwa na unapewa HIYO taarifa kwamba kila shambulio litamaanisha kuchinjwa kwa kukatwa shingo na kisu na ndio mwisho wa wewe kuwa hai hapa duniani unaondoka duniani kwa maumivu makali sana hata kale ka imani ka kubadilishana wafungwa hakapo tena POW SWAP DEAL hivyo kufa wewe ni 100% kinyama na kikatili kisu kinapenya shingo na macho kuanza kuona giza na hatimaye unaanza kujisaidia na kukojoa kwa maumivu makali ya kisu kukata mifupa duuuuuuuh.
Ndio hao wakishajichinjia huko peponi wanapewa wanawake mabikra 70 na mito ya ulevi. Hawa watu ni mashetani kabisa.
 
Natabiri endapo watafanya hivyo huwenda ndio itakuwa mwisho wa kusikia kitu kinaitwa Hamas kwenye uso wa Dunia sidhani kama kuna mtu anaweza zuia hawa Jewish wasifanye maangamizi.
Fatilia machafuko ya miaka ya 2000's na miaka mingine Hamas walichinja sana mateka.
hizi virugu za hawa wadekezwaji sio za jana wala juzi ni miaka na bado Israel ipo na Hamas wa Palestina wapo.
 
Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.

Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Israel huwa wanajijengea sifa nzuri kwa waliyokuwa wakifanya miaka yote?
 
Na ndiyo kinachoelekea huko!

Kwa sasa hivi Palestina wameamua kufa nao hivyo hivyo! Hata kama wao watauliwa 10,000 ila wanataka kuwapa ujumbe Israel ni kuwa awamu hii tutakufa na nyinyi!
Mkuu maana hatujui nao wanataka nini Israel isije kuwa wakafanya kama KAGAME ALIVYOFANYA 1994 HUKO RWANDA maana wale nao wayahudi weusi.

Isije wakawa sacrifice hao wachache ili kuuwa wapalestina wengi kama alivyo fanya PAKAME RWANDA.
 
Swali la msingi

Una mateka wangapi?

Tufanye unao 200.

Israel ikaona kwamba 200 ni casualty wanayoweza ivumilia wakaendelea kushambulia.

Mateka 200 wakiisha utafanya nini?

Sheria za vita zinasema usiue mateka au civilians ni swala la muda tu kabla 'dunia' haijaanza toa support 100% dhidi ya Palestina. Na Israel anaweza fanya makusudi ili kuifukuzia support
 
Back
Top Bottom