Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!Nimeiona hii mbona, we unadhani hadi sasa Israel wanajali??
Alaf hamas ikifanya hivo itajiwekea sifa mbaya zaidi.
We unaonaje?? Au fresh tuu wachinje watu hadharani?
Hii italeta taharuki kwa raia wao kwa maana kila familia ya watu waliyochukuliwa mateka wanafahamu.