LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mji wa sedrot bado upo mikononi mwa Hamas leo ni siku ya nne Israeli imeshindwa kuukomboa
Hakuna mfilisti hata mmoja kwenye ardhi ya watoto wa Yakobo. Just update yourself. Ardhi yote ya sedrot tayari imekuwa recovered sasa moto ni mbele kwa mbele. Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama kama nyakati zile za Goliath wa gath jitu la miraba kumi 😀😀. Mungu ibariki Israel, walinde watoto wa Yakobo.
 
Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.
Najiskia Aibu, unatumia kitabu kilichoandikwa na wayahudi kujustify kinachofanywa na Wayahudi.
 
View: https://youtu.be/eOrS1-eegb8?si=viHY0I1FDSRJ4gF1
Yani Gaza sijui wamekufa wangapi.

Israel wanasema tu idadi ya watu waliokufa maana askari wao inaonyesha kama 50 hivi wanaweza kufika.
Ila kwa upande wa hamas naona wapo kimya.
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
 
Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.
Najiakia Aibu, unatumia kitabu kilichoandikwa na wayahudi kujustify kinachofanywa na Wayahudi.
Na abarikiwe Israel, na lihimidiwe jina la Mungu wa Yakobo. Ulitaka ni justify upuuzi unaofanywa na hamas kwa ajili ya Allah 😂😂😂😂 siwezi kuwa Punguani kama wewe unayeamini katika kuuwa watu ili kumsaidia mungu wenu dagoni. Kichapo kipo pale pale uone aibu usione aibu it's up to you.
 
Hawa makobazi wameukanyaga moto mbaya kabisa. Kipigo watakachokula lazima kiwe cha kihistoria
Hiyo Israel huwa mnaikuza sana lakini ni jeshi moja oga sana.
Yaani unajitapa una jeshi bora na lenye nguvu lakini badala uwafuate Hamas under ground ww unarusha mabomu hovyo hovyo kwenye makazi ya watu kweli taifa teule ni michicha sana.
 
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Mbona hamas hakwenda kwenye military bases za watoto wa Yakobo akaenda kwenye music festival. Wale vijana walikosa nini?.Wameyatimba wacha kazi iendelee ndio siku nyingine iwe funzo. Mungu wa Israeli, yupo macho. Never sleep.
 
Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.
Najiakia Aibu, unatumia kitabu kilichoandikwa na wayahudi kujustify kinachofanywa na Wayahudi.
Haya mambo tukianza kunukuu biblia au kura an, Hapa ndipo tunapoonesha ujinga wetu! 😇😇, wao ndio wametuletea!
 
Hiyo Israel huwa mnaikuza sana lakini ni jeshi moja oga sana.
Yaani unajitapa una jeshi bora na lenye nguvu lakini badala uwafuate Hamas under ground ww unarusha mabomu hovyo hovyo kwenye makazi ya watu kweli taifa teule ni michicha sana.
Ngoja tuone who is a champ, kwani wao mapalestina hawakurusha makombora? Na kubomoa southern Israel?
 
Israel turned off the water in the Gaza Strip and that same evening it began to rain in the regioN
 
Your browser is not able to play this audio.
Sikiliza hapo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…