Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Sichukii mtu, ila nachukia maovu/matendo yao. Wewe hapo na uyahudi wako au ukristo wako unategemea utakua rafiki yangu! Kwanini nisiwe na rafiki mwarabu ambae ni ndugu yangu katika imani! Narudia tena, simchukii mtu yeyote yule ila nachukia maovu yaoWewe una undugu na Mpalestina? Makubwa haya Tena, yaani umchukie mzaramo mwenzio umpende mgeni (mzungu, mwarabu, mhindi etc) kwakua tu ni WA dominion Yako?? Huu Sasa ndio UJUHA promax
Acha uongo!, hakuna mvua huko labda ya bunk buster!Israel turned off the water in the Gaza Strip and that same evening it began to rain in the regioN
Basi sawa, sisi tutaendelea kuwaunga ndugu zetu wapalestina na waislamu kote duniani, haijalishi mzungu, mwafrika, mwarabu n.k.Nina undugu na mtanzania mwenzangu humu jf
Kwa kweli wacha ntulize kendeEndelea kutulia hivyo hivyo,hata ukitetea haitasaidia!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa Israel ikifanya Hamas ilicho kifanya yeye na Hamas mnao waita magaidi watakuwa na tofauti gani?Mbona hamas hakwenda kwenye military bases za watoto wa Yakobo akaenda kwenye music festival. Wale vijana walikosa nini?.Wameyatimba wacha kazi iendelee ndio siku nyingine iwe funzo. Mungu wa Israeli, yupo macho. Never sleep.
Israel ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.Ngoja tuone who is a champ, kwani wao mapalestina hawakurusha makombora? Na kubomoa southern Israel?
Aiseee..... Jamani naomba Kuuliza Allah ni nani? Kama ni Mungu basi Hawa Hawa jamaa wanaharibu sana
Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.Israel ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.
Unajiita eti una jeshi bora alafu unarusha rusha mabomu hovyo kama vichaa kwenye nyumba za watu huo ubora wako uko wapi?
Wanajitia moyo kwamba watashindaHawa makobazi wameukanyaga moto mbaya kabisa. Kipigo watakachokula lazima kiwe cha kihistoria.
🤣🤣🤣🤣Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.
"In every action there is Equal Reaction"
So Israel anacho fanya ni equal reaction kwa hao wavaa makobasi
Mbona hamas ilishambulia makazi ya watu waliokuwa kwenye shughuli zao ambao hawana hatia?Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Yaan mzee wangu nadhani unge digest Kwa Kwanza kwann wanalenga majengo baadhi Tu na siyo kila jengoIsrael ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.
Unajiita eti una jeshi bora alafu unarusha rusha mabomu hovyo kama vichaa kwenye nyumba za watu huo ubora wako uko wapi?
Mkuu ni mdau wa kawaida tu toka hapa Tz. And yes tupo hapa jukwaani kutoa mitazamo, mm mtazamo wangu ni hao watu kila mtu apate amani aishi vizuri, kitu ambacho bado hakipo,Huu ni mtazamo wako pia. Halafu, ni wazi umehama tayari kwenye hoja ya msingi. Ukihitaji msaada wowote husika, pls tuwasiliane. 🙂
Hivi una akili ww tahira au una ropoka tu?Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.
"In every action there is Equal Reaction"
So Israel anacho fanya ni equal reaction kwa hao wavaa makobasi
Na wewe hupo upande gani?? ie unuaje kwamba TV ya Uturuki hipo biased.nilikuwa naangalia tv moja ya uturuki hapa, hawa jamaa wapo biased na wanafurahi kweli kweli kwamba kuna wayahudi wamekufa na 50 wamechukuliwa mateka.
Nakuunga mkono hadi nukta hii, mkuu. Na wala si zaidi ya hapo.mm mtazamo wangu ni hao watu kila mtu apate amani aishi vizuri