kweli likini iko hivi for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction kwahyo waliaza kuwaua wapalestina toka zamani kuchua ardhi Yao kimabavu sasa kinacho endelea ni reaction kutoka Kwa Palestinian ndio nature hyo na Haifa badilika labda watokomeze kizazi chao na hawawezLearn to differentiate an action and a reaction.
There are two totally two different things.
Angalia pande mbili za shilling..... Wapalestina wameishi kwa miaka takriban 56 sasa chini ya udhibiti wa Israel (occupation).........huu mgogoro upo toka kitambo na hili liliofanywa na Hamas ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.mkuu hii comment yako ni kama unataka kujustify kile alichokifanya hamas
Good point with respect to you. Lakini kuna wale akina sie ambao dini ndiyo uhalisia wetu hasa. Dini ndiyo sisi, sisi ndio dini.Toeni hoja Pasi hisia za kidini
Hashambulii raia Israel inashambulia hamasKwa hiyo kushughulikia usala wako ndo ushambulie raia hovyo hovyo?
Mkuu, lengo la Israeli ni kuhakikisha wanajizolea sehemu ingine kubwa ya ardhi (Imperialism) maana uwingi wa wapalestina ni lazima udhibitiwe.Angalia pande mbili za shilling..... Wapalestina wameishi kwa miaka takriban 56 sasa chini ya udhibiti wa Israel (occupation).........huu mgogoro upo toka kitambo na hili liliofanywa na Hamas ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.
Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi haiwezi kuwa suluhisho la kudumu la mzozo huu maana hapo awali Israel ilishaikalia Gaza kijeshi kwa miaka 40 toka mwaka 1967 kabla ya kujiondoa mwaka 2005.
Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali.
YeaaGaza Ndio inaondoka hivyo!
Siko kwaajili ya kumfundisha historia hapo umeshindwa kujua chanzo cha vita vya Rwanda unataka uniulize nini si Bora unge GoogleNqjua sana historia ya Rwanda naweza kukuuliza swali ukashidwa kujibu.
770 mpk sa kumi jionii.....mpk kesho sijuiKwa sasa % kubwa ni wapalestina wanauawa. Kifupi ni unyama.
sure, na uzuri Islael inawamudu wote, Gaza giza.Na International community hawatasema lolote hadi huo ukanda wa Gaza watafunwe wote, condemn they will not, hakika walichokitaka watapata hadi nyongeza.
Mkuu wengine wameenda Lebanon mpkani. Nafikili wanajiami maana kuna vitisho vya chchenia. Na wengine kupeleka vikosiMkuu, lengo la Israeli ni kuhakikisha wanajizolea sehemu ingine kubwa ya ardhi (Imperialism) maana uwingi wa wapalestina ni lazima udhibitiwe.
Ndo maana Israeli wanashutumiwa kwa kufanya mauaji ya halaiki au ya kupunguza idadi ya watu.
Kama umemsikiliza Netanyahu (bibi) amesema operesheni ya sasa ni ya kumaliza kazi ili Wapalestina wasiwe na nguvu yoyote.
Tayari nchi nyigni zinailaumu Israeli kwa hatua nzito kupitiliza kuita wanajeshi 600,000 ili kukabiliana na wapiganaji wapatao 3000 kwenye taifa la wapalestina lenye watu milioni 2 na nusu.
Hujaona tangazo laoWapalestina wa Buza bhana.🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍
usijidanganye, Hamas ndiyo nini? Wakati anga lote la ukanda wa Gaza linamilikiwa na Islael. Hapo hakuna vita ni kubokolewa. Hamas muda huu hawana mawasiliano, kila mtu na njia yake kujiokoa dadeq.Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
Tayari Hezbollah wameanza kutupa makombora kuelekea Israeli baada ya israeli kushambulia mpakani na Lebanon na kuwaua wapiganaji wa Hezbollah.Mkuu wengine wameenda Lebanon mpkani. Nafikili wanajiami maana kuna vitisho vya chchenia. Na wengine kupeleka vikosi
Kumbe ndo uelewa wako mkuu no mdogo.Siko kwaajili ya kumfundisha historia hapo umeshindwa kujua chanzo cha vita vya Rwanda unataka uniulize nini si Bora unge Google
Idadi ya Wapalestina inaongezeka kwa kasi tofauti na Israel, huenda hilo ni tishio kwa wazayuni wa Israel toka Kitambo..Mkuu, lengo la Israeli ni kuhakikisha wanajizolea sehemu ingine kubwa ya ardhi (Imperialism) maana uwingi wa wapalestina ni lazima udhibitiwe.
Ndo maana Israeli wanashutumiwa kwa kufanya mauaji ya halaiki au ya kupunguza idadi ya watu.
Kama umemsikiliza Netanyahu (bibi) amesema operesheni ya sasa ni ya kumaliza kazi ili Wapalestina wasiwe na nguvu yoyote.
Tayari nchi nyigni zinailaumu Israeli kwa hatua nzito kupitiliza kuita wanajeshi 600,000 ili kukabiliana na wapiganaji wapatao 3000 kwenye taifa la wapalestina lenye watu milioni 2 na nusu.