Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Kuhusu rwanda genocideSiko kwaajili ya kumfundisha historia hapo umeshindwa kujua chanzo cha vita vya Rwanda unataka uniulize nini si Bora unge Google
Na wale mateka karibu 150+ wa Israel walioshikwa na Hamas wanaipata Israel wakati mgumu kuivamia Gaza maana Wana hofu huenda uvamizi wao ukawadhuru.
Wanataka kumwambia Samia atoe balozi wa BongoHujaona tangazo lao
Wanasema wataandamana nchi nzima kupinga Israel
Duuuusijidanganye, Hamas ndiyo nini? Wakati anga lote la ukanda wa Gaza linamilikiwa na Islael. Hapo hakuna vita ni kubokolewa. Hamas muda huu hawana mawasiliano, kila mtu na njia yake kujiokoa dadeq.
Ndio, mateka ni 150 na Hamas wamesema Israeli wakiingia kichwakichwa watawachinja wote.Idadi ya Wapalestina inaongezeka kwa kasi tofauti na Israel, huenda hilo ni tishio kwa wazayuni wa Israel toka Kitambo..
Racist Israel exaggerates the ‘threat’ of Palestinian population growth
Kwa huu mzozo mpya huenda Israel ikajaribu tena kuikalia Gaza.
Ila itakuwa kwa gharama kubwa sana kwao maana haitakuwa rahisi kuiangamiza Hamas sana sana raia wa kawaida wa Wapalestina ndio watakaofikwa na maafa.
Na wale mateka karibu 150+ wa Israel walioshikwa na Hamas wanaipata Israel wakati mgumu kuivamia Gaza maana Wana hofu huenda uvamizi wao ukawadhuru.
Huenda Hamas ikawatumia kama kete ya kubadilishana wafungwa na Israel hapo baadae
Tena Netanyau amewajibu amewaambia ole wao Wauwe hao matekaMkuu hizo heavy 💥 Za Gaza kwani hawajui kuna raia wao
Uzuri Netanyau kawajibuNdio, mateka ni 150 na Hamas wamesema Israeli wakiingia kichwakichwa watawachinja wote.
Ila tatizo jingine ni kwamba Hezbollah nao wameingia rasmi warusha makombora kutokea kusini mwa Lebanon baada ya Israeli kwa bahati mbaya kuwaua wapiganaji wake jana.
Wanashambulia zaidi majengo yanayohifadhi silaha, nyumba za viongozi wa Hamas na miundombinu mingine tu Hamas na Islamic jihad tena baada ya kuwa na intelligence kuhusu kina nani wapo humo.Mkuu hizo heavy 💥 Za Gaza kwani hawajui kuna raia wao
Kilichowatuma hamas kulianzisha ni nini lakini?Kwa sasa % kubwa ni wapalestina wanauawa. Kifupi ni unyama.
US kapeleka ile aircraft carrier yake kubwa na ya kisasa zaidi ya Gerald Ford kuitisha Hezbollah wasijiingize kwenye mzozo.Ndio, mateka ni 150 na Hamas wamesema Israeli wakiingia kichwakichwa watawachinja wote.
Ila tatizo jingine ni kwamba Hezbollah nao wameingia rasmi warusha makombora kutokea kusini mwa Lebanon baada ya Israeli kwa bahati mbaya kuwaua wapiganaji wake jana.
Acha uongo hakuna kiongozi anaye jielewa akasema maneno hayo maana ana waweka mateka kwenye hatari.Tena Netanyau amewajibu amewaambia ole wao Wauwe hao mateka
Watakachokiona ni zaidi ya wanachokiona ss.
Halafu kwann watoe Hilo tangazo? Si waendelee na mission Yao?
Hilo taifa walishalishindwa tangu 1967 wakati huo walipoitana nchi zaidi ya sita kumwangukia Israel wakatandikwa.sure, na uzuri Islael inawamudu wote, Gaza giza.
Jamaa kweli ni balaa, ki kipigo cha mbwa koko kinawakuta na wasio Hamas aisee !!
Israeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.Uzuri Netanyau kawajibu
Kwamba wauwe hao mateka ,watakachokioata ni zaidi ya hiki wanachokiona ss!
Acha tuendelee kuangalia yanayojiri
Wala sio uongo fuatilia habari wwAcha uongo hakuna kiongozi anaye jielewa akasema maneno hayo maana ana waweka mateka kwenye hatari.
Huenda baadhi ya wakubwa wa Mossad, Shinbet, IDF wakajiuzulu baadae kwa kushindwa kuzuia hili shambulio.Israeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.
Sasa hivi serikali yake ipo matatizoni kwa kushindwa kuilinda Israeli na mashambulizi yalotokea ya Hamas.
Hivyo hawatakurupuka ila kutatafutwa compromise.
Lakini mkuu si huwa tuna waambia kila siku ya kuwa mdhamini mkuu wa usalama Israel ni USA nyinyi mna bisha?US kapeleka ile aircraft carrier yake kubwa na ya kisasa zaidi ya Gerald Ford kuitisha Hezbollah wasijiingize kwenye mzozo.
U.S. sends aircraft carrier group to eastern Mediterranean in response to Hamas attack on Israel
Defense Secretary Austin said Sunday that he has ordered American military ships to move closer to Israel after Hamas' unprecedented attack.www.google.com
T14 Armata
mi naangalia liveIsraeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.
Sasa hivi serikali yake ipo matatizoni kwa kushindwa kuilinda Israeli na mashambulizi yalotokea ya Hamas.
Hivyo hawatakurupuka ila kutatafutwa compromise.
Mission zimegonga mwamba, wajamaa wanasema hata wakiua wote won't make anything better kichapo kipo pale pale mpaka wote wageuke vifusi.Tena Netanyau amewajibu amewaambia ole wao Wauwe hao mateka
Watakachokiona ni zaidi ya wanachokiona ss.
Halafu kwann watoe Hilo tangazo? Si waendelee na mission Yao?