LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
kama hamas anaweka raia mbele kama shield na anakurushia roketi kwa watoto wako utaendelea kuacha tu usipige palepale ufe wewe watoto wa mwenzako wapone? kwa akili ya kawaida tu.
Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuishambulia Israel huku wakijificha kwenye makazi ya raia, ndiyo kinaipa haki ya kuua raia wasio na hatia!!! Ok.
 
😂😂😂Ndo apo...yaani Africa wanakufa watu kibao ila muarabu akifa ndo allah wakbar nyingi
 
Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuishambulia Israel huku wakijificha kwenye makazi ya raia, ndiyo kinaipa haki ya kuua raia wasio na hatia!!! Ok.
ndio. jambazi akichukua katoto akaweka mbele yake, akawa anarusha risasi kukuelekea wewe na watoto wako, utaacha kurusha risasi upande wake kisa unaogopa kuua kale katoto, kwahiyo usirushe ili ufe wewe na watoto wako jambazi na katoto wapone? hizo ndio zinaitwa collaterals za kivita, kwenye vita za mitaani (sio porini) huwezi kukosa mauaji ya raia, hata wakienda mahakama kivita israel ana utetezi kabisa kwasababu hamas wanatumai raia kama shield na wakati huohuo wanarusha rocket kuelekea kwa raia wa israel, israel amewaambia raia waondoke raia wamekataa wameamua kutumiwa na hamas kama shielf. kile kitendo cha kutoa wito wahame na kitendo cha hamas kuendelea kurusha roketi na kitendo cha kutumia human shield ni defence tosha kwa israel hata wakishitakiwa.
 
Hii imenifanya Nicheke sana Marekani Hajawahi Kwenda Kupigana bila Mbwa wake nyuma yaani yeye kama yeye Mtu mmoja Hana ubavu huo

USA never goes to a party without friends, because the fear of getting knocked out is real

Along with American warships, NATO also sent its own toys for Gaza
 
Toka lini boss akajichafua. Na US sio boya anawanyooshaga kina iraq alipigana mwenyewe au
 
Hiyo picha vipi!??
 
Wengi wa hao ni immigrant ambo ni wafanya fujo kwenye nchi za watu anyway Afrika hayo mambo ya middle east hayatuhusu tunashobokea sana dundo wakati kongo,sudan, somalia na afrika ya kati namba ya watu wanaokufa ni kubwa kuliko middle east, ni upumbafu kuwa na shobo kwa watu wasiotaka kushobokewa
 
Mpaka waseme

BREAKING: Netanyahu told families of the hostages that 'the key is the level of pressure', and that the 'greater the pressure [on Hamas], the greater the chances of freeing the hostages'.
 
BREAKING: Hamas-run government office in Gaza says it is 'shameful that Israeli flags continue to fly' over embassies in Arab capitals
 
Ila kichapo walichokula sijui kama watakuja rudia tena 😄
 
Sasa mbona majirani zao waarabu wanawakataa hao wapalestina? Wanaungwaje mkono sasa?

Mfano ilipozuka vita vya Ukraine mataifa mengi yaliwapokea wa ukraine na kuwapa hifadhi ila kwa Palestina hakuna anaetaka kuwapokea. Wanaungwaje mkono kwa hiyo 78%
 
Kwani ulaya hakuna waislamu. Una uhakika gani wao wanao andamana ni wakristo pekee bila ya kuwepo waislamu?? Waislamu wametapakaa Dunia nzima. Mnaweza kuingamiza palestine lakini kamwe hamuwezi kuingamiza uislam
wewe hamas kweli wewe, kwahiyo lile kundi lote ni waislam wanaoishi ulaya? mbona mnapenda kujifariji sana, na kwanini mnakuwa wabaguzi halafu mkipata matatizo mnapenda tushirikiane maumivu? hangaikeni na hali zenu na kwa hamas hapo hamjasema, mtachapwa hadi mseme. ama la mwiteni mungu wenu ashuke awasaidie, kama ni wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…