Kaghambe
JF-Expert Member
- Oct 8, 2023
- 588
- 716
Poa mkuu una ujasiri vzr saana na upo real goodMm situmii ID fake sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu una ujasiri vzr saana na upo real goodMm situmii ID fake sasa
Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuishambulia Israel huku wakijificha kwenye makazi ya raia, ndiyo kinaipa haki ya kuua raia wasio na hatia!!! Ok.kama hamas anaweka raia mbele kama shield na anakurushia roketi kwa watoto wako utaendelea kuacha tu usipige palepale ufe wewe watoto wa mwenzako wapone? kwa akili ya kawaida tu.
😂😂😂Ndo apo...yaani Africa wanakufa watu kibao ila muarabu akifa ndo allah wakbar nyingiHuwa wanajikomba ila ni watumwa wa waarabu.
Mwafrika muislamu ni mtumwa na haistahili maisha mazuri
Mtumwa anatakiwa ajengewe - - msikiti
Ushasikia mwaarabu anawajengea shule, vyuo au hospitali waislamu weusi?
- Apewe Quran
- Apewe tende
- Apewe maji ya zamzam.
ndio. jambazi akichukua katoto akaweka mbele yake, akawa anarusha risasi kukuelekea wewe na watoto wako, utaacha kurusha risasi upande wake kisa unaogopa kuua kale katoto, kwahiyo usirushe ili ufe wewe na watoto wako jambazi na katoto wapone? hizo ndio zinaitwa collaterals za kivita, kwenye vita za mitaani (sio porini) huwezi kukosa mauaji ya raia, hata wakienda mahakama kivita israel ana utetezi kabisa kwasababu hamas wanatumai raia kama shield na wakati huohuo wanarusha rocket kuelekea kwa raia wa israel, israel amewaambia raia waondoke raia wamekataa wameamua kutumiwa na hamas kama shielf. kile kitendo cha kutoa wito wahame na kitendo cha hamas kuendelea kurusha roketi na kitendo cha kutumia human shield ni defence tosha kwa israel hata wakishitakiwa.Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuishambulia Israel huku wakijificha kwenye makazi ya raia, ndiyo kinaipa haki ya kuua raia wasio na hatia!!! Ok.
Hakuna aliyeonewa bado tunapambana kiume mpaka madhalim mayahudi hawa me kwenye ardhi ya wenye hakiBado umeshikilia mateka halafu unahisi umeonewa?
😀😀😀😀😀😀😀😀
Toka lini boss akajichafua. Na US sio boya anawanyooshaga kina iraq alipigana mwenyewe auHii imenifanya Nicheke sana Marekani Hajawahi Kwenda Kupigana bila Mbwa wake nyuma yaani yeye kama yeye Mtu mmoja Hana ubavu huo
USA never goes to a party without friends, because the fear of getting knocked out is real
Along with American warships, NATO also sent its own toys for Gaza
Hiyo picha vipi!??Uungaji mkono dunia nzima kwa Palestina wafikia asilimia 78 rekodi ambayo haijawahi kufikiwa
Uungaji wa Palestine umepanda kutoka asilimia 40% pekee dunia nzima kwa mwaka 2014 hadi asilimia 78 kwa mwaka huu.
Ni kutokana na wengi kuujuwa Ukweli na kuujua uhalisia wa uzayuni na uwongo na propaganda nyingi waliolishwa na vyombo vya habari kwa miaka karibia 70!!
Uungaji mkono kwa Israel unazidi kupungua siku hadi siku mathalani, huku Africa wanaoiunga mkono Israel wengi wao ni watu waliokosa shule kichwani mwao na ambao wengi hawajaelimika na wasiokua na uelewa
Jambo lingine ni kuwa Uungaji mkono huu umepanda baada ya kugundua habari nyingi zilizotoka Israel ni za uwongo,propaganda na uzushi mfano sakata la kudai Hamas waliwachinja watoto 40 lilikua la Uongo
Sakata la Hamas kuua watu wasiokua na hatia kwa namba walizotoa Israel zilikua ni data za kupika.
Kwa mujibu wa takwimu za Israel hadi sasa watoto wachanga na wadogo wa kiisrael umri kuanzia 0 hadi 5 (0-5) waliouawa na Hamas ni zero case yaani hakuna kabisa.
Hii imepelekea Dunia kuujua ukweli,mfano wale waliosimama na Israel october 7 sasa wengi wao wamebadili mawazo baada ya kuujua ukweliView attachment 2795900
Wengi wa hao ni immigrant ambo ni wafanya fujo kwenye nchi za watu anyway Afrika hayo mambo ya middle east hayatuhusu tunashobokea sana dundo wakati kongo,sudan, somalia na afrika ya kati namba ya watu wanaokufa ni kubwa kuliko middle east, ni upumbafu kuwa na shobo kwa watu wasiotaka kushobokewaUungaji mkono dunia nzima kwa Palestina wafikia asilimia 78 rekodi ambayo haijawahi kufikiwa
Uungaji wa Palestine umepanda kutoka asilimia 40% pekee dunia nzima kwa mwaka 2014 hadi asilimia 78 kwa mwaka huu.
Ni kutokana na wengi kuujuwa Ukweli na kuujua uhalisia wa uzayuni na uwongo na propaganda nyingi waliolishwa na vyombo vya habari kwa miaka karibia 70!!
Uungaji mkono kwa Israel unazidi kupungua siku hadi siku mathalani, huku Africa wanaoiunga mkono Israel wengi wao ni watu waliokosa shule kichwani mwao na ambao wengi hawajaelimika na wasiokua na uelewa
Jambo lingine ni kuwa Uungaji mkono huu umepanda baada ya kugundua habari nyingi zilizotoka Israel ni za uwongo,propaganda na uzushi mfano sakata la kudai Hamas waliwachinja watoto 40 lilikua la Uongo
Sakata la Hamas kuua watu wasiokua na hatia kwa namba walizotoa Israel zilikua ni data za kupika.
Kwa mujibu wa takwimu za Israel hadi sasa watoto wachanga na wadogo wa kiisrael umri kuanzia 0 hadi 5 (0-5) waliouawa na Hamas ni zero case yaani hakuna kabisa.
Hii imepelekea Dunia kuujua ukweli,mfano wale waliosimama na Israel october 7 sasa wengi wao wamebadili mawazo baada ya kuujua ukweliView attachment 2795900
[emoji851][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo apo...yaani Africa wanakufa watu kibao ila muarabu akifa ndo allah wakbar nyingi
Yaani mtu anapigania haki zake na ardhi itikadi kali? Wewe kweli bwegeHao 70+% wanaipa uhalali israel yakufanya inavyotaka kujilinda dhidi ya itikadi kali za kiislamu
Hivi ndugu ISRAEL hakupaswa kujibu alichofanyiwa na HAMAS?Tutaendelea kuwaunga mkono wapalestina na kuendelea kuwaombea ndugu katika imaani. Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kila majaribu wanayopitia
Allahumma Amiin Amiin
How can you separate them?Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuishambulia Israel huku wakijificha kwenye makazi ya raia, ndiyo kinaipa haki ya kuua raia wasio na hatia!!! Ok.
wewe hamas kweli wewe, kwahiyo lile kundi lote ni waislam wanaoishi ulaya? mbona mnapenda kujifariji sana, na kwanini mnakuwa wabaguzi halafu mkipata matatizo mnapenda tushirikiane maumivu? hangaikeni na hali zenu na kwa hamas hapo hamjasema, mtachapwa hadi mseme. ama la mwiteni mungu wenu ashuke awasaidie, kama ni wa kweli.Kwani ulaya hakuna waislamu. Una uhakika gani wao wanao andamana ni wakristo pekee bila ya kuwepo waislamu?? Waislamu wametapakaa Dunia nzima. Mnaweza kuingamiza palestine lakini kamwe hamuwezi kuingamiza uislam