LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
BREAKING: TAMKO RASMI LA HAMAS

MATEKA 5 HAWAPO

"Kutokana na shambulio hilo la kinyama la Israel, tulipoteza mawasiliano na kundi lililohusika na wafungwa watano, wakiwemo:

1- Haim Gershon Perry
2- Yoram Itak Metzger
3- Amiram Israel Cooper

Tunaamini kwamba wafungwa waliuawa katika moja ya uvamizi wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza
 
Mwarabu kawarithisha upumbavu sana wafuasi wake ...yaani watu karibia 20,000 wamekufa na bado mnaleta ushabiki maandazi kama simba na yanga...naona thamani ya maisha yenu mnaishusha sana
 
Mwambie obeida asiongelee uchochoroni atoke mbele tumuone...........kama Linda lake alija fumuliwa na mayahudi
 
Tatizo la waislamu na waarabu ni unafiki na kujifariji katika hii vita ya gaza
 
zitto junior unasema hawa Wapalestina wa sasa ndiyo wayahudi orijino, hawa akina Cohen, Alhel etc tunaowajua ni fake.

Unaendelea kusema Hata Adof Hitler aliua wayahudi fake, wayahudi orijino walibaki mashariki ya kati hapo hapo.
Akina mahamudu abba(hammas fighters) ndiyo kizazi cha yakobo.
It might be true some how ila siku moja uje utufafanunulie kwanini humo ndani ya hammas hakuna weusi uzao Sheba?

Na why hawaendi kuungana na hammas (wayahudi orijino kwa mjibu wako)badala yake wanakwenda kuungana na wayahudi fake?

Ama wao pia hawaujui ujuzi huu unaoujua wewe kuwa hao wanaojiita wayahudi wenzao ni fake na wayahudi wenzeo(the legit ones) ni hammas?.

Ukiwa miongoni mwa wasomi ninaowakubali hapa JF ninamini majibu unayo kama ambavyo hukoswi majibu mengine ya historia ya mashariki ya kati.

Nilivyojaribu kuelewa mafafanuzu yako kuhusu Israel na wayahudi ni kwamba hawa akina mahamudu abbas (wayahudi orijino kwa mjibu wako) uislamu ulipowafikia walislim nakuamua kuachana Iman yao ya Kiyahudi, wakaenda mbali hadi kubadili hadi Majina ya Miji yao kutoka majina ya kiebrania hadi Majina ya Kiarabu.

Mfn;- Yeruselm wayahudi wakaibadili jina na kuuita Al-qudus.

Katika history ya Israel imewai kaliwa na Mataifa ya Kigen zaidi ya mara 18 na mara zote hizo hawakuwai kuacha Dini yao,mila zao hata kubadili majina ya miji za ili kukumbatia tamaduni za kigeni.

Sasa nini kilikuja kuwapata baada ya kufikwa na Uislamu?

Kwamba tamaduni na imani za Wagriki hazikuwa na nguvu kwao? Warumi na tamaduni zao ziliendekea kubaki za kipagani machoni pa wayahudi.

Persians nao waliwatawala ila Dini na Tamaduni zao hazikufua dafu machoni pa wayahudi ila tamaduni za waarabu na Dini yao mpya ilipowafikia Wayahudi wakaona Tamaduni na Dini yao ya kiyahudi hazina maana ila tamaduni na Dini ya Makka ndiyo sahihi?

Alafu, hapo katikati (baada ya kifo cha Muhammad)kulitokea nini hasa maana mwanzoni kabisa ya uislamu Muhammad aliwapelekea Mafunuo yake wayahudi, wakayapambanua wakayakataa kabisa kuwa hakuna mkono wa MUNGU katika Mafunuo hayo,hali iliyofanya Mtume Muhammad(PBUH) atangaze uadui nao..

Sasa ilikuwaje baadae wayahudi wayakubali? Nini hasa kilitokea hapo katikati?

Mfn; Wayahudi hawakumkubali Yesu hata kabla hajaja. Akaja, hawakumkubali. Hadi kaondoka,bado hajamkubali. Sasa Maalim wangu Zitto unajua nini hasa kilichopeleka wayahudi kuyakubali mafunuo ya Muhammad wakati mwanzoni waliyakataa hadi ukawa uadui baina ya Muhammad na wayahudi?

Mwisho kabisa narudi kukuuliza swali langu la siku ile. Q'uran kitabu chako cha Iman. Inasema;

Moja ya Dalili ya kiama ni waislamu kuwapiga wayahudi hadi watakuwa wanajificha nyuma mawe,na mawe yatakuwa yanawaambia Waislamu; huyu hapa myahudi kajificha nyuma yangu,njooni mmuue.

Sasa ikiwa akina Jonathan netanyau ni Mayahudi fake ila dunia medanganywa kinyume chake ila wayahudi orijino ni hawa Hammas (wapalestina) so, tutegemee siku moja waislamu kuji- mobilise na kuanza kuua Wapalestina(Wayahudi Orijino)ili kutimiza ili andiko?

Maana binadamu tumedanganywa kuwa wanaojiita wayahudi ni orijino kumbe sio ila Allah hawezi danganywa.
alipotoa ilo andiko alikusudia Wayahudi Orijino, akina mahamudu abbas si akina Netanyau.

Andiko lazima litimie kwa namna yoyote ile. Sasa nifafanulie ipo siku nyie waislamu mtawapiga Wapalestina ili kutimiza ili andiko? Ama nini kitafanyika hapo ilikutimiza ili andiko?

zitto junior wewe ni Miongoni mwa Maguru hapa ebu nifafanulie japo kidogo ili nielewe na nikubaliane totally na Dai lako kuhusu wayahudi.

Picha chini ndiyo waisrael halisi kwa mjibu wa zitto.


 
hawarudi_kukujibu__kwamba_waislam_kiama_watafanya_vita_na_wapalestina_ambao_ndiio_wayahudi_na_zile_allah_akbar_kumbe_ni_mayahudi
 
@zitto junior unasema hawa Wapalestina wa sasa ndiyo wayahudi orijino, hawa akina Cohen, Alhel etc tunaowajua ni fake.
Sio kweli mkuu, ni lini nimesema hili? Unaweza quote hiyo post yangu? Nachosema ni wayahudi wa sasa ambao 80% ni Ashkenazi Jews sio original Jews maana wametokana na Caucasians wa huko ulaya mashariki kama khazarians etc.
Unaendelea kusema Hata Adof Hitler aliua wayahudi fake, wayahudi orijino walibaki mashariki ya kati hapo hapo.
Akina mahamudu abba(hammas fighters) ndiyo kizazi cha yakobo.
Hii hoja umeitoa wapi? Hitler aliua wayahudi kama wayahudi sababu ya tabia yao ya kuhodhi mifumo ya fedha, ubinafsi, utapeli, riba kubwa etc so whether wangekua wayahudi original or fake issue ilikua tabia yao ndio iliyowaondoa sio dini wala kabila.

Kuhusu palestinians sikusema ni Jews original ila ndio wenye asili kwenye ile ardhi inayoitwa "palestina au israel". Maana wana wa yakobo walikuta tayari kuna watu wanaishi na wafalme wao. Mfano Jerusalem ilikua na mfalme soma mwanzo 13, kulikuwepo neodachlomer, Sihon, Og bin Hunuk n.k.
Ama wao pia hawaujui ujuzi huu unaoujua wewe kuwa hao wanaojiita wayahudi wenzao ni fake na wayahudi wenzeo(the legit ones) ni hammas?.
Hakuna mahala nimewahi sema hii kitu.... palestinians are palestinians why would they need to be original Jews? Kwanza original Jews walishapotea by 90%. Makabila 10 yalipotea utumwani na kuwa absorbed huko persia, Assyria, Babylonia, Ethiopia so hiyo notion ya "original jews" iondoe kwanza maana wamebaki wachache kama sephardic Jews au Falahasha n.k ambao hawafiki hata 10% ya wayahudi wote duniani.
Katika history ya Israel imewai kaliwa na Mataifa ya Kigen zaidi ya mara 18 na mara zote hizo hawakuwai kuacha Dini yao,mila zao hata kubadili majina ya miji za ili kukumbatia tamaduni za kigeni.
Sio kweli, hata kwenye biblia Israel ilipoteza identity mfano kipindi cha suleiman walikua na miungu zaidi ya 300, mfano kabila la Dani lilifutwa kwenye biblia sababu ya kuwa na miungu kibao. Sio hivyo tu hata Israel ya leo kuna ushoga wanaukubali je ni tamaduni zao?. Hivi pia unajua 20% ya waisrael ni waislam? So sio kweli wote wame uphold jewish culture.
@zitto junior wewe ni Miongoni mwa Maguru hapa ebu nifafanulie japo kidogo ili nielewe na nikubaliane totally na Dai lako kuhusu wayahudi
Hoja yako imejengwa kwenye uongo, umesema kitu ambacho sijawahi sema kokote. Ambacho nimewahi sema OLD Jews wana DNA inayoshabihiana na Palestines wa sasa kuliko ambavyo hao old Jews wana uhusiano na Ashkenazi Jews. Yaani sephardic Jews are closer to palestinians than the so-called Ashkenazi Jews.
Picha chini ndiyo waisrael halisi kwa mjibu wa zitto.
SIO KWELI, wayahudi halisi ni 20% ya waliopo hapo middle east the rest are scattered all over the world and have been absorbed in other races. Ila nachokubali nilisema PALESTINIANS ndio ORIGINAL inherits wa CANAANA yaani ardhi inayokaliwa leo na taifa la Israel.
 
hawarudi_kukujibu__kwamba_waislam_kiama_watafanya_vita_na_wapalestina_ambao_ndiio_wayahudi_na_zile_allah_akbar_kumbe_ni_mayahudi
Waislam ndio kina nani? Israel ina waislam 20% ila nao wapo jeshini kuua waislam wa kipalestina. Umeona hata palestina kuna dini ya wayahudi na wakristo nao pia wanauwawa na waisrael makanisani na kwenye masinagogi. So hiyo vita ni ya ardhi zaidi ila tukisema dini au jamii mbona zinaingiliana tu.
 
Hao 20% ya waislam wa Israel unajua ni watu wa jamii gani???
Acheni unafiki.....wa historia...hiyo asilimia 20% ni waarabu wa palestina waliochukua uraia wa Israel
 
Tatizo la waarabu na waislamu ni wivu dhidi ya wayahudi na wakrsto na Mungu wao wa kiyahudi THE ALMIGHTY YEHOVA
 
Nimeshuhudia Bethlehem Wapalestina Wengi wakishiriki kwenye Ibada ya Christmas kisha Askofu wa Kanisa la Latin akapita mitaani kugawa Baraka huku na Yeye akivalishwa zile skafu za Arafat

Yawezekana Wapalestina Wengi Ndio walimpokea Yesu kuliko Wayahudi

Nashuhudia yanayojiri Bethlehem hapa Al jazeera news

Merry Christmas 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…