Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mpaka sasa wamekufa zaidi watu 1000 na idadi inaendeleaAisee, inahuzunisha sana..... Binadamu kwanini kuua wengine tunaona ni kawaida sana? Yaan daa
Hakika Dunia imekuwa mahali palipokosa usalama kabisaMpaka sasa wamekufa zaidi watu 1000 na idadi inaendelea
Tatizo hawataki kuelewana na mbaya zaidi ni Netanyahu amewaondoa kwa nguvu wapalestina kwenye makazi yao na kuwapa wayahudi na kawajengea makazi ya kudumu
Ukiangalia BBC leo wameamua kufunguka ukweli na kuongea mambo yanayoendelea huko
Ni haki kuwachomea mashamba yao ya Olive na kujenga majumba sio sawa
Sasa mateka wanakufa na wanauwawa na majeshi yao
America aondoe watu wake awawache mayahudi wakereketwa wapigane wenyewe.The U.S. Aircraft Carrier, USS Gerald R. Ford (CVN-78) as well as the other Ships in Carrier Strike Group 12 which includes Ticonderoga-Class Cruiser USS Normandy (CG-60), as well as Arleigh Burke-Class Destroyers USS Ramage (DDG-61), USS McFaul (DDG-74), and USS Thomas Hudner (DDG-116) are reportedly heading towards the Eastern Mediterranean in a “Show of Support” for Israel and to also assist with the possible Evacuation of U.S. Citizens from the Country if the need arises.
Hii ngoma kwa Israel bado ngumu kwa sababu anachokipanga tayari kama Hamas kamuwahi sasa sijui atafanyaje?Why full-scale Israeli assault on Gaza not starting yet:
1. Finalizing battle plans & logistic prep.
2. Building large forces in case Hezbollah joins.
3. Trying to arrange release of children & elderly held in Gaza.