Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Nimeshangaa yaani mpaka reserve na wastaafu wameibuliwa na hapo wanapambana na kikundi kidogo cha HamasKwa hiyo unakataa kuwa Israel haijaomba msaada.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Hamas kama walivyo na wakisaidiana na yeyote ndiyo wamevamia pale.Yaani wewe umeongea. Yaani wametengeneza hayo makundi ya wavamizi wakawapa na mbinu za namna ya kuingia. Kibaya wakaruhusu mpaka watu wao wafe ili gaza yote iwe mikononi mwao. Ila ni intelijensia ya ajabu. Nashangaa wanaposema eti they were surprised ni uongo kabisa. Na you can see 4000 plus palestian dead ila huku ni almost 700, hapo inaonesha IDF wanafanya mass killing huku big watchers wanaangalia kwa raha
Hahaaabila msaada huyo chap wanamfuta kama hujui ilo bhc uko brainwashed
Hapo ndio maana nimeandika kuomba vita iishe.Sijaonyesha kutetea upande maana huu mgogoro wa Hawa ndugu ni mgumu Sana ndio maana hata wakubwa wa Dunia wameshindwa kutatua.Unazungumziaje suala la Wapelestina kuteswa kwa miaka 75? Kwako wewe ilikuwa ni sherehe.
Unaongea kitumwa zaidi.hitler ni mkatoliki na aliwaua Jewish unazani kwa nn? Hao hawautambui ukristo usijipendekeze na waliwakataa manabii wote wa mungu ebu tumia akili acha kumezeshwa pumbaKuwa watu wa Mungu ni tofauti na kuwa watoto wa Mungu. Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi alisema yehova. Amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho lake muumba. Mungu wao yu hai, halali wala hasinzii. Shalom Israel
Hamasi pia haiko peke ake,msitudanganyeNimeshangaa yaani mpaka reserve na wastaafu wameibuliwa na hapo wanapambana na kikundi kidogo cha Hamas
Wayahudi wa mtongore hawaamini wanacho kiona 😀😀😀😀Nimeshangaa yaani mpaka reserve na wastaafu wameibuliwa na hapo wanapambana na kikundi kidogo cha Hamas
Umejazia kweli kweli. Yaani mi akili imegoma kabisa kuwa eti Mosad walikuwa hawajui. Huu mpango wameuandaa, wakaufadhili, tena unaweza kuta mpaka mazoezi walifanya kabla ya uvamiziNitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Hamas kama walivyo na wakisaidiana na yeyote ndiyo wamevamia pale.
Hata kipindi kile Hitler anaua Wayahudi, waliofanikisha mauaji yale na kufanikisha kupelekea Wayahudi wachukiwe kila mahala ni Wayahudi wenyewe.
Waliwaambia wenzao warudi kwenye yao ya asili na ahadi, kwani wenzao waliopo kule wananyanyaswa na kubaguliwa sana na huenda wakafutika lakini Wayahudi wenzao waliopo Ulaya wakawakatalia na kuwaambia hayo mambo ya nchi za ahadi ni massimulizi tu hakuna kitu kama hicho na wao hawawezi kurudi.
Hapo ilibidi vujana wa Kiyahudi kusuka mpango wa kuwachonganisha Wayahudi na kila nchi waliyokuwa wakiishi. Kilichofuata ni historia.
Kama waliweza kutengeneza mkakati wa kupelekea wenzao kwa mamilioni kiuawa kipindi kile ili kuwatia hofu wajione wanawindwa na hawapo salama na kukubali kurudi Israel kuungana na wenzao waliopo pale, unadhani kipi ambacho hawawezi kukifanya hivi sasa.
Hahaaatulia uone magaidi wakipata kichapo cha mbwa koko
Acha wauaneSo what is ur point.
Kama wew waona ni sawa then it's up to you.Acha wauane
Mahusiano mazuri kati ya Israel na mataifa ya kiislam ni threat kwa marekani, hii ipo wazi kabisaeneo,hata ule uhusiano na nchi nyingi za kiislam uliokuwa unarudi taratibu unaenda kufa kabisa
Hebu toa suluhuKama wew waona ni sawa then it's up to you.
Sasa mkuu umezaliwa ukakuta wanauana utawasaidiaje sasaNimecheka 🤣🤣
Et huyo naye anajihita GT humu, huyo hata Mdude Nyagali anamzidi mbali sana!! Hata wale ambao shule iliwatema wakishamiliki simu kubwa anajiona msomi na mwanahistoria duh!!Kabla ya 1947 nadhani ulitaka kumaanisha