LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yaani wewe umeongea. Yaani wametengeneza hayo makundi ya wavamizi wakawapa na mbinu za namna ya kuingia. Kibaya wakaruhusu mpaka watu wao wafe ili gaza yote iwe mikononi mwao. Ila ni intelijensia ya ajabu. Nashangaa wanaposema eti they were surprised ni uongo kabisa. Na you can see 4000 plus palestian dead ila huku ni almost 700, hapo inaonesha IDF wanafanya mass killing huku big watchers wanaangalia kwa raha
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Hamas kama walivyo na wakisaidiana na yeyote ndiyo wamevamia pale.
Hata kipindi kile Hitler anaua Wayahudi, waliofanikisha mauaji yale na kufanikisha kupelekea Wayahudi wachukiwe kila mahala ni Wayahudi wenyewe.
Waliwaambia wenzao warudi kwenye yao ya asili na ahadi, kwani wenzao waliopo kule wananyanyaswa na kubaguliwa sana na huenda wakafutika lakini Wayahudi wenzao waliopo Ulaya wakawakatalia na kuwaambia hayo mambo ya nchi za ahadi ni massimulizi tu hakuna kitu kama hicho na wao hawawezi kurudi.
Hapo ilibidi vujana wa Kiyahudi kusuka mpango wa kuwachonganisha Wayahudi na kila nchi waliyokuwa wakiishi. Kilichofuata ni historia.
Kama waliweza kutengeneza mkakati wa kupelekea wenzao kwa mamilioni kiuawa kipindi kile ili kuwatia hofu wajione wanawindwa na hawapo salama na kukubali kurudi Israel kuungana na wenzao waliopo pale, unadhani kipi ambacho hawawezi kukifanya hivi sasa.
 
bila msaada huyo chap wanamfuta kama hujui ilo bhc uko brainwashed
Hahaaa
Kuifuta Israel ni ndoto,huo ndo ukweli
Kwani lini harakati za kuifuta zimeanza na mpk Leo hazijafanikiwa?
Kuchapana ndo watachapana huo ndo ukweli,ila kuifuta hawawezi.
Kuhusu saidiwa hiyo hamas yenyewe inasaidia, tuwe wakweli tu hapa!
 
Unazungumziaje suala la Wapelestina kuteswa kwa miaka 75? Kwako wewe ilikuwa ni sherehe.
Hapo ndio maana nimeandika kuomba vita iishe.Sijaonyesha kutetea upande maana huu mgogoro wa Hawa ndugu ni mgumu Sana ndio maana hata wakubwa wa Dunia wameshindwa kutatua.
 
Kuwa watu wa Mungu ni tofauti na kuwa watoto wa Mungu. Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi alisema yehova. Amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho lake muumba. Mungu wao yu hai, halali wala hasinzii. Shalom Israel
Unaongea kitumwa zaidi.hitler ni mkatoliki na aliwaua Jewish unazani kwa nn? Hao hawautambui ukristo usijipendekeze na waliwakataa manabii wote wa mungu ebu tumia akili acha kumezeshwa pumba
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Hamas kama walivyo na wakisaidiana na yeyote ndiyo wamevamia pale.
Hata kipindi kile Hitler anaua Wayahudi, waliofanikisha mauaji yale na kufanikisha kupelekea Wayahudi wachukiwe kila mahala ni Wayahudi wenyewe.
Waliwaambia wenzao warudi kwenye yao ya asili na ahadi, kwani wenzao waliopo kule wananyanyaswa na kubaguliwa sana na huenda wakafutika lakini Wayahudi wenzao waliopo Ulaya wakawakatalia na kuwaambia hayo mambo ya nchi za ahadi ni massimulizi tu hakuna kitu kama hicho na wao hawawezi kurudi.
Hapo ilibidi vujana wa Kiyahudi kusuka mpango wa kuwachonganisha Wayahudi na kila nchi waliyokuwa wakiishi. Kilichofuata ni historia.
Kama waliweza kutengeneza mkakati wa kupelekea wenzao kwa mamilioni kiuawa kipindi kile ili kuwatia hofu wajione wanawindwa na hawapo salama na kukubali kurudi Israel kuungana na wenzao waliopo pale, unadhani kipi ambacho hawawezi kukifanya hivi sasa.
Umejazia kweli kweli. Yaani mi akili imegoma kabisa kuwa eti Mosad walikuwa hawajui. Huu mpango wameuandaa, wakaufadhili, tena unaweza kuta mpaka mazoezi walifanya kabla ya uvamizi
 
Jamani naomba latest news huko Gaza kunaniii
Naona urusi ss atulie sahivi tunaangalia mechi nyingine
 
miaka mingi ya ukimbizi, miaka mingi ya vita, miaka mingi ya chuki, miaka mingi ya ubaguzi, miaka mingi ya kuitafuta nchi ya ahadi.

Mika mingi dhidi ya Upanga wa philistine, upanga wa farao, upanga wa babylon, Upanga wa saladin, upanga wa ottoman, upanga wa hittler, upanga wa radical islamists, upanga wa iran, upanga wa hamas, upanga wa neo-nazis.

VIta vya Daudi dhidi ya philistine, Vita ya Mungu dhidi ya Farao, Vita ya crusaders dhidi ya saladin, vita za israel dhidi ya nchi za kiarabu (6 day war, yam kappur)

TUTADHINDA, TUTASHINDA KWA MAANA SISI NDIO AHADI YA MUNGU, TUTAANGAMIA MIAKA 100 ILA TUTANG'AA KWA MIAKA MILIONI MOJA.
6a6b69cfbb0f05c2afa6fd8f2afa59b6.jpg
 
IDF airstrikes have continued throughout this morning - multiple explosions from impacts East of Shaujaiya, Gaza
 
Back
Top Bottom