LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hawa Hamas leaders and group watafutwa wote watakuwa majivu soon, within 3 to 4 days,
najua hamuelewi, sasa subirini, kuna more than 100 IDF commandos wameingia southern Israel wanaenda kuangamiza Hamas
 
..
Screenshot_20231007-154206_1.jpg
 
Kitakachowakuta wapalestina this time watalia
watalia mara ngapi wapalestina beberu mwoga, kila siku idf wanafanya uhuni dhidi ya wapelistina surprise ya leo imewanyosha, wao ndio wanalia wewe mara ya mwisho lini uliona vita inapigwa ndani ya israeli leo wamepelekewa moto wa mundende
 
Lakini tusisahau kwamba hata bingwa kuna wakati hufika nae akawa mshindani.

Huwezi ukawa kila siku unaongoza wewe tu ipo namna mistakes zinatokea wao nao ni watu.
Ilo sikatai Mkuu lakini mambo Kama haya nikutumia pia akili na sio hisia, mossad sio wamchezo Kama unavyodhania, Kuna kipindi Hamas walikua wanatengeneza tunnel kuelekea Israeli Tena kwa Siri kabisa bila kushitukiwa lakin walipokua wanaelekea kwenye hatua ya mwisho wakawa detected.
 
Sasa hivi tutawasikia viongozi wa CCM wakisema mafuta yanapanda tena kwa sababu ya vita.
 
HII TIMING YA SABATO NI HATARI.
Leo kwa kweli Israel kazidiwa ujanja, inamaana hana hata intel za huko gaza ndanindani. Hata wakiuwa wapalestina wote ila wameabishwa sana.
 
Back
Top Bottom