LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ngoja uone ndugu yako akichinjwa live kama utasema hivyo!

Hii italeta taharuki kwa raia wao kwa maana kila familia ya watu waliyochukuliwa mateka wanafahamu.
Nione mara ngapi broo?
Hadi asaiv nimeona video mbili za hao majamaa wakichinja waisraeli, mmoja alikuwa kijana mwingine alikuwa mtoto.
Watu na imani zao bhana!
 
Wewe myahudi wa iyunga hao waisraeli wenyewe wanampinga christo hapa sasa hivi wanashambulia makanisa yaliyopo gaza
Mkuu Unajua kama huijui BIBLIA vizuri KA KIMYA!!!

Kwa kifupi tu Israeli wanaangukia katika mfano wa Yusuph, YESU akiwa kama Yusuph na nduguze Yusuph wakiwa ndo Hao Israel, alafu Yusuph akaoa mwanamke ambaye si Myahudi, hiyo ni Sisi ambao sio Waisrael, na wanachofanya kumkataa Kristo Iko nje ya uwezo wao ni mpango wa Mungu ... Kitabu Cha Ufunuo wa Yohana kinaelezea vizuri...
 
Unaweza nionyesha airbase, military headquarters, naval base au military installation yoyote ya Hamas?
Miundombinu ya Hamas ndio hiyohiyo miundombinu ya raia. Benki ya Hamas ni Islamic Bank of Gaza ni ya kiraia na imeharibiwa jana, benki hiyohiyo iliyokuwa inapokea misaada ya kimataifa ndio inapokea mchango wa kuendeleza ugaidi.
Majengo ya wakuu wa Hamas ndio majengo ya raia wa kawaida, hawana military barracks. Shule tena nyingine za UN, misikiti vyote hivyo wanatumia.

Hakuna kitu chochote kikubwa kinachomilikiwa na Hamas independently kasoro mahandaki.

Wakati huo military installations za Ukraine zinajulikana na bado zipo nyingi sana nchi nzima. Au ndege za Ukraine zinaruka kutokea chumbani?
Sasa kwanini mamluki walikuwa wanajificha kwenye makazi ya watu na maeneo ya shule?? 😂😂
 
1696871146050.jpg

Kambi za Israeli huko zikim zipo chini ya Israeli muda huu
 
Hawa jamaa wamechanganyikiwa baada ya waisrael 1000 kuangamizwa siku leo wamegeukia makanisa sasa

Wameshambulia kwa makombora kanisa moja na kuliharibu kabisa

Hii sio mara ya kwanza kubomoa makanisa au kuyashambulia kichapo cha Hamas kimewaingia hadi wameanza kupaniki

Media coverage| Israeli attacks on #Gaza have targeted the third oldest #church in the world, which was 1616 years old, Saint Porphyrius Orthodox Church.
1696875174799.jpg
 
Mimi naona hio itaendeleza chuki mkuu.
Sasa kama watu wamewahi kuuwawa 6 million unafikili hio litawashitua.
Bro! Mimi nawafahamu wayahudi
Awe Ashkenazi, Sephardi, Mizrahi n.k

Wayahudi wanaogopa sana kufa! Wayahudi ni jamii ambayo si wapiganaji wa kufa kujitolea. Ni waoga!

Wakianza kuchinjwa wakifika 20 au 30 raia wao watashinikiza wafanye mazungumzo.
 
Hawa jamaa wamechanganyikiwa baada ya waisrael 1000 kuangamizwa siku leo wamegeukia makanisa sasa

Wameshambulia kwa makombora kanisa moja na kuliharibu kabisa

Hii sio mara ya kwanza kubomoa makanisa au kuyashambulia kichapo cha Hamas kimewaingia hadi wameanza kupaniki

Media coverage| Israeli attacks on #Gaza have targeted the third oldest #church in the world, which was 1616 years old, Saint Porphyrius Orthodox Church.
1696875174799.jpg
 
Bro! Mimi nawafahamu wayahudi
Awe Ashkenazi, Sephardi, Mizrahi n.k

Wayahudi wanaogopa sana kufa! Wayahudi ni jamii ambayo si wapiganaji wa kufa kujitolea. Ni waoga!

Wakianza kuchinjwa wakifika 20 au 30 raia wao watashinikiza wafanye mazungumzo.
Kumbe umeishi nao mkuu
 
BREAKING: Hamas is willing to discuss a possible ceasefire with Israel.
 
Mkuu maana hatujui nao wanataka nini Israel isije kuwa wakafanya kama KAGAME ALIVYOFANYA 1994 HUKO RWANDA maana wale nao wayahudi weusi.

Isije wakawa sacrifice hao wachache ili kuuwa wapalestina wengi kama alivyo fanya PAKAME RWANDA.
Hawawezi kufanya hivyo!

Israel akijaribu kutaka kuwafuta kabisa mashariki ya kati yote itachafuka! Utamuona Marekani atakapoanza kuhaha! Na wao wenyewe wanajua wakijaribu kufanya hivyo patachafuka kweli!

Watutsi si wayahudi. Ni ujinga tu umewajaa!
 
Back
Top Bottom