Mkuu,

Fatuma mume wake alishafariki siku nyingi. Na baada ya hapo hakuolewa tena.

Hata huyo anayesemwa mume wa mtu, si mume wa mtu.

Kuna asilimia kubwa ni wivu wa kihawara, ikiwa mumewe alishaachana na dunia hii.

YOUNG LADY pengine aliona huyu sio wako wa ndoa na umri tayari umesonga bora niwe naye labda aliahidiwa mambo mengi mazuri na jamaa, confidence ya YOUNG LADY ilitoka kwa jamaa (anayesemekana mumewe wa mheshimiwa) kutokana na maneno yake kwake.
 
Kupitia tu huo muonekano wake; nimebaini vitu vingi sana kutoka kwake. Na kiukweli sitavitaja.
Alishawahi kukutana na spana za Adv Kibatala nusu akimbie mahakamani

Kupitia tu huo muonekano wake; nimebaini vitu vingi sana kutoka kwake. Na kiukweli sitavitaja.
 
Tatizo nyie mkimshika mwanaume mnamfanya hadi asahau na familia yake kabisa
Mwanaume anataka utulivu na kupetiwa petiwa, sasa km mke mwenyewe muda wote yuko busy na CCM muda wa kubembeleza mume atautoa wapi??

Unajua Yoda wanawake ilitakiwa tutulie tutunge material mbalimbali ya kuwafurahisha wanaume, ila maisha yanafosi tutoke tukatafute tusaidie familia..!!
 
Hiyo paragraph ya mwisho ndio ilifanya sisi wengine tumchukie Magufuli na utawala wake.
Kama hujui tu, huenda 90% ya hao watu wabaya na wabovu wanaovurunda sasa waliwekwa, kutengenezwa au kufadhiliwa na utawala wa Magufuli chini ya mwamvuli wa CCM. Hata huyo afande anayehusishwa na huu ukatili alikuwepo kipindi cha Magufuli. Huwezi kumtenganisha Magufuli na CCM, na huwezi kuitenganisha CCM na shetani.
 
Sasa dogo washamuaribu vibaya sana recovery yake miaka zaidi ya 50 inabidi alipwe walau million 100 za fidia maana yule huyu apewe 100 walau kupooza machungu
 
Lamomy mtu ana miaka 60+ Vijana wanatongoza

 
Huyo story zake chai anataka attention
 
Kwahiyo tuendelee kupokea habari zinazochanganya kilasiku mkuu? Najua kuwa kuna hearsay, rumours na confirmation. Tujenge mazingira yakusubiri confirmed news
Upo sahihi lakini kwa ilivyozoeleka si ajabu usisikie chochote tena kuhusu hili, itabaki kuwa minong'ono tu na tetesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…