Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Basi sawa,
Hiyo ni kama mwanamke ana manundu na damu kibao kapigws na mumewe Kisha anasema hajapigwa. Huna cha kumsaidia.

Sasa kama safiyyah alipitia wakati mgumu ila akasema yupo sehemu salama kwa Muhammad sawa ila waelewa tunajua kilichotokea.

Basi tumalize kusema kwamba safiyyah alimpenda sana Muhammad kwa upendo wa dhati na akamsifia sana Muhammad kwamba ni mtu safi na ni mtume sahihi kabisa wa Mungu. Hivyo ndo waislam mnaambiwa, nimekubali yaishe.😁
Sio umekubali yaishe huna hoja yoyote ya maana
Hoja zako ni zilezile kila siku eti ni jambo gani limekufanya kuwa muislamu🤣🤣
 
Wakristu + Wayahudi na Waislam hawapaswi kubishana kwa sababu waislam wameshambiwa wasiwe marafiki wa Wakristu.

Sura Al-Ma'idah - Aya ya 51
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki walinzi (viongozi/wasaidizi wa siri). Wao ni marafiki walinzi wao kwa wao. Na miongoni mwenu atakayewafanya wao kuwa marafiki walinzi, basi hakika yeye ni mmoja wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu."
 
Safi sana,
Niambie sasa ni nini kinakufanya uwe muislam?
Ila kwenye hii mada kumbuka mleta mada alisema watu wanaslimu kwa hoja za kiakili. Mi nikasema hakuna hoja hata moja ya kiakili inayomfanya mtu kuslimu. Hapo ndo tulianzia.
We unayo hiyo hoja ya kiakili niione hapa?
 
Pole kwa uelewa ambao sio sahihi, hapo ni wale wakristo ambao waliwazuia waislamu kufanya ibada zao na kuwatoa kwenye majumba yao,hao ndio tumeambiwa tusiwafanye kuwa marafiki zetu

Kudhibitisha hilo ninalosema mpaka Mtume rehema na amani ziwe juu yake anafarlki alikuwa anadaiwa pishi moja la ngano kama sijakosea kutoka kwa myahudi,ambalo alikopa kuwakirimu wageni wake

Je,kama hayo unayosema ni kweli ilikuwaje mpaka Mtume akawa na ukaribu mpaka kumkopa myahudi?

Think big
 
Pole kwa uelewa ambao sio sahihi, hapo ni wale wakristo ambao waliwazuia waislamu kufanya ibada zao na kuwatoa kwenye majumba yao,hao ndio tumeambiwa tusiwafanye kuwa marafiki zetu
Kwa sasa Muislam anaweza kuwa rafiki wa Mkristu au Myahudi bila kuvunja hili agizo la Quran Tukufu?
 
Safi sana,
Niambie sasa ni nini kinakufanya uwe muislam?
Ila kwenye hii mada kumbuka mleta mada alisema watu wanaslimu kwa hoja za kiakili. Mi nikasema hakuna hoja hata moja ya kiakili inayomfanya mtu kuslimu. Hapo ndo tulianzia.
We unayo hiyo hoja ya kiakili niione hapa?
Tumekuwa waislamu kwakuwa tunamuamini Allah ambaye ni Mwenyezi Mungu mmoja muweza wa yote,hakuzaliwa na wala hakuzaa na hakuna anayefanana naye hata mmoja

Je,unasemaje?
 
Elewa kusudio la Aya mkuu, lau leo hii mkituzuia kufanya ibada zetu na kututoa kwenye majumba yetu hampaswi kuwa marafiki zetu.

Lakini je,leo hii hali hiyo ipo? Si tunaishi vizur tu na nyie,tunashirikiana kwenye mambo mbalimbali ,sasa uadui utoke wapi?
 
Safi sana,
Niambie sasa ni nini kinakufanya uwe muislam?
Ila kwenye hii mada kumbuka mleta mada alisema watu wanaslimu kwa hoja za kiakili. Mi nikasema hakuna hoja hata moja ya kiakili inayomfanya mtu kuslimu. Hapo ndo tulianzia.
We unayo hiyo hoja ya kiakili niione hapa?
Hata mimi pia nimekuuliza hoja ya kiakili ya wewe kuwa mkristo weka niione hapa
 
Tumekuwa waislamu kwakuwa tunamuamini Allah ambaye ni Mwenyezi Mungu mmoja muweza wa yote,hakuzaliwa na wala hakuzaa na hakuna anayefanana naye hata mmoja

Je,unasemaje?
Haya sawa🤣
We jamaa huchelewi kuingia mitini Kisha useme nakupotezea muda na unaanza kuniita mjinga.
Nataka kujadili na mtu mwenye data za kutosha na mwenye hekima.

We unasema mtume ana wake 11, nakupa majina mengine badala unielekeze hao wengine ni akina nani unaanza kunitukana! Mkuu sijadili na wewe🤣
 
Hata mimi pia nimekuuliza hoja ya kiakili ya wewe kuwa mkristo weka niione hapa
Mimi ni mkristo kwa sababu nimechunguza mafundisho ya dini kubwa mbili ukristo na uislam nikaona mafundisho ya uislam ni ya kishetani ila ya ukristo ni ya Mungu nikaona ni heri kuwa mkristo.
Naomba kabla hujahoji jibu langu nipe na lako Kisha kama unataka tuendelee tutaanza kujadili jibu langu.
 
Ugaidi haupo kwenye Uislamu

Ila kuna makundi kwa kufanikisha agenda zao hutujificha kwenye mwamvuli wa dini

Uislamu ni dini ya amani sana,lakini bahati mbaya wahuni ndio uharibu sifa ya dini hii,na nyie mlivyo wajinga mkisikia mtu ana jina la kiislamu basi moja kwa moja mnahukumu kuwa uislamu ndio unafanya au unaelekeza hivyo

Jipeni muda kidogo wa kujielimisha mtapunguza hizi aibu ndogo ndogo
Facts
 
Mimi ni mkristo kwa sababu nimechunguza mafundisho ya dini kubwa mbili ukristo na uislam nikaona mafundisho ya uislam ni ya kishetani ila ya ukristo ni ya Mungu nikaona ni heri kuwa mkristo.
Naomba kabla hujahoji jibu langu nipe na lako Kisha kama unataka tuendelee tutaanza kujadili jibu langu.
Eti umechunguza dini mbili tu halafu unasema hiyo ni hoja ya kiakili🤣🤣🤣🤣
 
Na hapo hujatoa hoja ila maelezo matupu tu maana hata mimi naweza tu kusema nilichunguza dini hizo nikaona Ukristo ni dini ya kishetani nikaamua kuwa muislamu, nikamaliza hoja yangu hapo kama wewe unavyodai kuwa eti ni hoja🤣🤣
 
Kwa upande wangu ni ya kiakili, kama we unaona ya kijinga ni wewe mkuu.
Nasema mbili kwa sababu ndizo ambazo ni rahisi kupata vitabu vyake. Ikitokea baadae nitapata vitabu vya dini nyingine na nikaona vinamake sense kuliko Biblia nitaingia huko ila kwa sasa Biblia Vs Quran & Hadith jibu ni Biblia ni Bora zaidi.
 
Leo unanicheka sana mkuu, Jana ulikuwa unanidislike.

Mimi nimejibu hivo leta jibu lako Kisha tuanze mjadala. Mwishoni tutaona nani ameongea ujinga.

Mwenzako hapo mleta mada jibu lake umeona?
Anasema kwa sababu anamuamini Allah muweza wa yote hajazaa wala kuzaliwa.
We unaona jibu la kiakili hili?

Hata waabudu shetani Wana shetani wao mmoja wanamuita Mungu wanaamini ni muweza wa yote.
 
Kwa upande wangu ni ya kiakili, kama we unaona ya kijinga ni wewe mkuu.
Kwa hiyo hata mimi nikitoa hoja yangu ukiiona ya kijinga unapaswa uniache kwa kuwa ni ya kiakili kwangu?🤣🤣
Nasema mbili kwa sababu ndizo ambazo ni rahisi kupata vitabu vyake. Ikitokea baadae nitapata vitabu vya dini nyingine na nikaona vinamake sense kuliko Biblia nitaingia huko ila kwa sasa Biblia Vs Quran & Hadith jibu ni Biblia ni Bora zaidi.
Yaani unasema tu hata bila ya uthibitisho utakaotuonyesha huo ubora upo wapi haya na mimi kwangu Qur’an ni bora kuliko Biblia
Ikitokea baadae nitapata vitabu vya dini nyingine na nikaona vinamake sense kuliko Biblia nitaingia huko
Hujapata kitabu cha wayahudi?
 
We unaona jibu la kiakili hili?
Muache wewe si umeniambia mimi lile jibu lako wewe unaliona la kiakili na kama naliona la kijinga ni mimi basi na yeye pia ni hivyohivyo hiyo haki haipo peke yako🤣🤣🤣
 
Hata waabudu shetani Wana shetani wao mmoja wanamuita Mungu wanaamini ni muweza wa yote.
Hii hoja ya muweza wa yote ni bora sana tena hata wewe ungeniambia hii ndio imekufanya uwe mkristo ningeona umeongea cha maana lakini ile hoja yako ni vichekesho tu🤣🤣🤣
 
Haya sawa🤣
We jamaa huchelewi kuingia mitini Kisha useme nakupotezea muda na unaanza kuniita mjinga.
Nataka kujadili na mtu mwenye data za kutosha na mwenye hekima.

We unasema mtume ana wake 11, nakupa majina mengine badala unielekeze hao wengine ni akina nani unaanza kunitukana! Mkuu sijadili na wewe🤣
Afadhali umejielewa huwezi kujadiliana na mimi, imesaidia kukuondolea aibu ndogo ndogo

Shukrani
 
Hii hoja ya muweza wa yote ni bora sana tena hata wewe ungeniambia hii ndio imekufanya uwe mkristo ningeona umeongea cha maana lakini ile hoja yako ni vichekesho tu🤣🤣🤣
🤣basi tukubaliane kwamba kila hoja ni ya kiakili kwa upande wake. Weka yako sasa tuanze kujadili
 
Back
Top Bottom