Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Na hapo ndipo utagundua watu kama ipyax hawajui hata vitabu vyao vimeandikwa kitu gani ila kazi yao kupotosha tu maandiko ya Uislamu
Kiukweli kabisa hawa jamaa wagalatia,huwa wanaona wanauchallenge uislamu lakini kwa upande wa pili,wao ndio huvuliiwa nguo kwa maandiko yao wenyewe

Huwa wako selective kwa baadhi ya maandiko huko makanisani,lau wangechukua muda na kupitia Bible nzima wangekuwa surprised
 
Acha kujificha kwa huyo jamaa, weka hapa hoja yako. Mi sijagoma nimesema weka yako Kisha tunaanza kujadili yangu, utahoji nakujibu maswali yote hadi uridhike na mimi naanza kuhoji jibu lako
Kama kweli hujagoma tuonyeshe huo ubora wa Biblia juu ya Qur’an
 
Qur'an inaeleza kuwa Mussa alizungumza na Allah katika jangwa lililotakasika. Japo pia Mussa amewahi kuonana na malaika kadha wa kadha kwasababu kadha wa kadha.

Hakuna tukio lililotungwa pia kaa ujue hamzungumziwi wakristo nyie wa biblia ya King James.

Yesu ni mtume wala sio Mungu. Mungu hazaliwi na hazai. Mungu hawezi akashikwa na shetani akazungushwa duniani. Kwa mujibu wa wakristo nyie eti shetani alimbeba Yesu akiwa mdogo na kumzungusha duniani.

Kiukweli kabisa hawa jamaa wagalatia,huwa wanaona wanauchallenge uislamu lakini kwa upande wa pili,wao ndio huvuliiwa nguo kwa maandiko yao wenyewe

Huwa wako selective kwa baadhi ya maandiko huko makanisani,lau wangechukua muda na kupitia Bible nzima wangekuwa surprised
Wewe ndiye unatakiwa kuwa surprised.
Quran 10:94
 
Kama kweli hujagoma tuonyeshe huo ubora wa Biblia juu ya Qur’an
Ubora ni mwingi sana. Tunaanza na WA kwanza.
1. Sisi Biblia inafundisha hakuna wa kubadilisha maneno ya Mungu ila Quran na waislam wanafundishana na kupinga hilo na kusema maneno ya Mungu yanabadilishwa tu. Torati zaburi na injili zimebadilishwa. Ni kuonyesha wazi kwamba Mungu ameshindwa kulinda maneno yake shetani amepita nayo kama upepo🤣. Waislam mna laana sana nyie😁
 
Subiri kwanza, yaani kwamba Biblia inasema maneno ya Mungu hayawezi kupotoshwa?
 
Wewe ndiye unatakiwa kuwa surprised.
Quran 10:94
Screenshot_20261103-204832_Quran Swahili.jpg

Hapa cha kushangaza ni kipi sasa

Hapa Mtume si kwamba alikuwa na mashaka na alichofunuliwa kutoka kwa Mola wake,ila ilikuwa ni kuhakikishiwa umadhubuti wa ujumbe wa Allah na haki itokayo kwa Allah

Kwani kuna mitume walio mtangulia hivyo ujumbe wa Allah haubadiliki siku zote upo vile vile,kwahiyo hata akisoma vitabu vingine ataona hakika ujumbe wa Allah ni ule ule na ni haki kutoka kwake
 
Hawa matako wakija kwetu wanapokelewa na kuruhusiwa kujenga sehemu zao za kuinamisha viuno lkn kwao hauji kuta kanisa sasa walikokaribishwa laazima huwa wanaanzisha shida!!

Rejea tukio la yule dogo aliyeendesha gari na kuingia sehemu yenye shughuli na kuua watu 16 papo hapo.

Halafu wanasema alahu wakubaaruuu mafala hawa
 
Kuna uhusiano gani na mafundisho ya Uislamu?
 
Haiti kuna waislam!?
Ukraine na Russia kuna waislam?
Nani kaanzisha vita ya kwanza na ya pili ya dunia!?
Nani anahamasisha ushoga na usagaji duniani hadi kushinikiza makanisa yakubali!?
Nani alianzisha ukoloni??
Kina nani walianzisha Trans atlantic slave trade?
Hapo hakuna muislam hata mmoja.
Lakini ni nani alihusika na biashara haramu ya kitumwa ya binadamu
 
Una quote verse za biblia out of context.
Ni maswali wewe kama utayajibu kwa verse za Biblia sawa

1.Injil iliyotajwa kwenye Qur’an alipewa Isa je hiyo Injil yenu pia alipewa Isa au ilikuja baada ya Isa?
2.Taurat iliyotajwa na Qur’an alipewa Musa na haikuandikwa na Musa kama mwandishi bali ni maneno ya Allah je Taurat yenu nayo ipo hivyo?
 
Subiri kwanza, yaani kwamba Biblia inasema maneno ya Mungu hayawezi kupotoshwa?
Sio Biblia tu, hata Yesu alisema mambo yote yatapita ila neno lake litabaki milele.
Sasa kama maneno ya Yesu yanabaki milele, vipi kuhusu ya Mungu mwenyewe?
 
Sio Biblia tu, hata Yesu alisema mambo yote yatapita ila neno lake litabaki milele.
Sasa kama maneno ya Yesu yanabaki milele, vipi kuhusu ya Mungu mwenyewe?
Yeremia 8:8
Yeremia 23:36

Ni baadhi tu ya mistari kutoka kwenye Biblia inayoonyesha kuwa neno la Mungu linaweza kupotoshwa
 
Back
Top Bottom