Na hapo ndipo utagundua watu kama ipyax
hao wote hamna kitu wanafuata wachungaji tu na huyu anaokota kwenye website za kiyahudi . Hao magwiji wa ukristo walisilimu itakuwa huyu mmatumbi ??
Na hapo ndipo utagundua watu kama ipyax
Unautetea ugaidi kisomi sana!
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu
Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?
Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?
Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli
Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi
Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni
Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi
Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu
Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.
Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?
Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?
Acheni ujinga,think big
Ni hayo tu!
Majuzi hapa tumemwalika ndugu Abdallah kwenye sherehe yetu...
eti amekataa kula kwa sababu hawakuchinja wenyewe...
This is crazy..
Unautetea ugaidi kisomi sana!
Qur'an inaeleza kuwa Mussa alizungumza na Allah katika jangwa lililotakasika. Japo pia Mussa amewahi kuonana na malaika kadha wa kadha kwasababu kadha wa kadha.Iwe jangwani au hapo zamani Musa hakuwahi kuonana na namus au jibril. Quran 10:94 Allah anamwambia Mohamed kama ana mashaka na wahi anaopewa (Qur'an) basi akawaulize wakristo na wayahudi.
Hakuna tukio lililotungwa pia kaa ujue hamzungumziwi wakristo nyie wa biblia ya King James.Wakristo na wayahudi vitabu vyao havisemi kama Musa alikutana na malaka (namus/jibril). Maana yake nini? Quran imetengeneza tukio ambalo halipo kwa wayahudi(uongo).
Yesu ni mtume wala sio Mungu. Mungu hazaliwi na hazai. Mungu hawezi akashikwa na shetani akazungushwa duniani. Kwa mujibu wa wakristo nyie eti shetani alimbeba Yesu akiwa mdogo na kumzungusha duniani.Kwenye injili malaika Gabriel anasema kwa Mariam kwamba mtoto atakaye zaliwa ataitwa mwana wa Mungu. Jibril wa Mohamed anasema Yesu sio mwana wa Mungu.
Umeelezea vizuri.Hata maana ya ulichokileta unakielewa!?
Hawatawaridhia wayahudi wala wakristo hadi mfuate mila zao. Je ni uongo!? Je waislam hawapigwi vita!? Je hijab hazipigwi vita!?
Hapo chuki iko wapi yetu sisi kwa wayahudi na wakristo?
Pia zimetajwa imani halijatajwa kabila. Mjapan,Mchina hao wote uliowataja ni makabila sio dini.
Waliozungumziwa dini ya kikristo na uyahudi awe mswahili awe mchina.
Nguzo tano za uislam zimekuja na Muhammad kuutimiliza uislam. Kwani Muhammad ndio mtume wa mwanzo!? Adam ndio alikua mtume wa mwanzo ambapo uislam haujatimilika.
Nina maswali pia kuhusu wewe na imani yako.
1. Kati ya Yehovah na Yahweh nani ndio Mungu!?
2. Kama ukristo umetokana na Wana Israel kwanini biblia imeandikwa kwa kiingereza na hakuna nakala ya kiyahudi!?
Vitabu ni biashara ya wajanja,uliza bei yake,uone faida anayopataMkuu lakini huoni kwamba Kuna ukweli???
Mimi sitaki kubishania dini ila nataka unieleweshe alidanganya wapi ili auze kitabu chake??
Je! Allah sio mungu wa vita??? Na kama sio mungu wa vita kwanini nyie ndugu zetu mpo tayari kufa ili kumpigania???
Je! Kuruani haijaongelea mabikra 72 wenye macho kama ya mbuni??? Na pia huoni hii sera kwamba inamshawishi mwanaume akapigane ili akifa aende peponi kuwalomba hao mabikra???
Je! Jihad haijaandikwa kwenye kuruani??? Na ni Nini maana sahihi ya JIHAD???
Naomba unijibu haya maswali kwa ufasaha ndugu yangu.
Jihad kibalagha maana yake ni juhudi ama kukipambania kitu.Mkuu lakini huoni kwamba Kuna ukweli???
Mimi sitaki kubishania dini ila nataka unieleweshe alidanganya wapi ili auze kitabu chake??
Je! Allah sio mungu wa vita??? Na kama sio mungu wa vita kwanini nyie ndugu zetu mpo tayari kufa ili kumpigania???
Je! Kuruani haijaongelea mabikra 72 wenye macho kama ya mbuni??? Na pia huoni hii sera kwamba inamshawishi mwanaume akapigane ili akifa aende peponi kuwalomba hao mabikra???
Je! Jihad haijaandikwa kwenye kuruani??? Na ni Nini maana sahihi ya JIHAD???
Naomba unijibu haya maswali kwa ufasaha ndugu yangu.
Huyo Mungu wa babu yako ndio aliumba dunia na vyote vilivyomo?
Au huyo mungu wa muarabu ndio aliumba dunia na vyote vilivyomo?
Hapa tunazungumzia Mwenyezi Mungu muweza wa yote
Unaona ulivyo kiaz. Una uhakika gan huyo Mungu wa kiarabu ndie kaumba kila kitu na sio Mungu wa babu zakoHuyo Mungu wa babu yako ndio aliumba dunia na vyote vilivyomo?
Au huyo mungu wa muarabu ndio aliumba dunia na vyote vilivyomo?
Hapa tunazungumzia Mwenyezi Mungu muweza wa yote
Ukiuliza Iko wapi nakala ya kiebrania siwezi kukuelelekeza usahihi wa 100% kwamba ipo sehemu Fulani ila kwa Hakika ipo. Nasema hivo kwa sababu watu wanaozungumzwa ama hata wazungumzaji wote wa kwenye Biblia hakuna aliyeongea kingereza ama kiswahili. Kwa hiyo kwa sababu tuna Biblia kwa lugha zetu ni wazi kwamba wametafsiri kutoka kwenye lugha halisi ya wakati huo.Iko wapi nakala ya biblia ya kiebrania!? Maana uislam msingi wa Qur'an ni lugha ya kiarabu na Qur'an zote zimebaki kwa kiarabu hivyo hivyo isipokua ukitaka kutafsiri unafasiri maana tu. Aya biblia ya kiebrania nakala yake iko wapi!??
Pia kwanini biblia zinapishana baadhi ya maandiko ama mistari!?
Sawa. Kwanini wakristo mna matabaka ama madhehebu na mnatofautiana kiitikadi!? Wapo wanaosema Yesu sio mwana wa Mungu bali ni Mungu mwenyewe,wapo wanaosema ni mtume wa Mungu na wapo wanaosema ni mwana wa Mungu?
Pia kwanini mnasali kimatabaka ama kimadhehebu!? Pentecoste hawezi sali kwa catholic. Kwanini!?
Iko wapi nakala ya biblia ya kiebrania!? Maana uislam msingi wa Qur'an ni lugha ya kiarabu na Qur'an zote zimebaki kwa kiarabu hivyo hivyo isipokua ukitaka kutafsiri unafasiri maana tu. Aya biblia ya kiebrania nakala yake iko wapi!??
Pia kwanini biblia zinapishana baadhi ya maandiko ama mistari!?
Sawa. Kwanini wakristo mna matabaka ama madhehebu na mnatofautiana kiitikadi!? Wapo wanaosema Yesu sio mwana wa Mungu bali ni Mungu mwenyewe,wapo wanaosema ni mtume wa Mungu na wapo wanaosema ni mwana wa Mungu?
Pia kwanini mnasali kimatabaka ama kimadhehebu!? Pentecoste hawezi sali kwa catholic. Kwanini!?
Mie nimemaliza malengo yangu.Ukiuliza Iko wapi nakala ya kiebrania siwezi kukuelelekeza usahihi wa 100% kwamba ipo sehemu Fulani ila kwa Hakika ipo. Nasema hivo kwa sababu watu wanaozungumzwa ama hata wazungumzaji wote wa kwenye Biblia hakuna aliyeongea kingereza ama kiswahili. Kwa hiyo kwa sababu tuna Biblia kwa lugha zetu ni wazi kwamba wametafsiri kutoka kwenye lugha halisi ya wakati huo.
Madhehebu kwenye ukristo yamekuja kwa sababu;
Watu wanapokuwa wengi lazima itokee kutokuelewana, sisi tuliopo kwa sasa hakuna hata mmoja aliyekuwepo wakati wa uandishi wa Biblia, kwa hiyo baadhi ya maelezo yaliyo kwenye Biblia yanaweza kueleweka tofauti kwa kila mtu. Kuelewa tofauti kunajenga makundi ndipo hayo makundi yanakuwa madhehebu.
Sasa kunapokuwa na utofauti wa kuelewa kila mmoja anabaki na wale wanaoelewa kama yeye inakuwa ngumu kwenda kusali kwa wale wenye uelewa tofauti na yeye
Yesu alifanya mambo makubwa sana ambayo wanadamu wote hata mitume waliomtangulia hawakuwa na uwezo wa kufanya.
Hata yeye wakati yupo aliwahi kuwauliza wale watu wake wa karibu kwamba watu wanasema yeye ni nani?
Kulingana na matendo yake ilikuwa lazima watu wapate mkanganyiko kujua yeye ni nani hasa. Kipindi hiyo watu walikuwa wanataka kumuabudu Mungu wanayemuona ndio maana masanamu yalikuwa yanatengenezwa sana.
Kwa Hakika yeye alijitambulisha kuwa ni mwana wa Mungu wala si Mungu. Wanaosema Yesu ni Mungu huwa wanasema hivo kwa sababu ya matendo yake ila si kwamba yeye alisema ni Mungu.
Sioni kama ni sahihi kusema Yesu ni Mungu kwa sababu hilo hakulisema mwenyewe.
We ni mtu poa sana, kama hujaridhika na majibu yangu endelea kuuliza tu. Ama kama una swali lingine tofauti uliza.Mie nimemaliza malengo yangu.
Uwe na wakati mwema kaka. Kila mtu abaki na imani yake.
Mtu akisema Yesu ni Mungu hilo ni yeye na Mungu ndo watajuana.Tafsiri yake makanisa mengi huwezi kuingia maana mengi yanasema Yesu ni mungu
Nimeshatoa mkuu, endelea kusoma commentsUna ushahidi upi kuwa alimuoa kilazima?
Ushahidi wako umejikita kwenye hisia tuNimeshatoa mkuu, endelea kusoma comments
Halafu we jamaa Jana umeDislike sana comments zangu 🤣🤣Ushahidi wako umejikita kwenye hisia tu
Bado unatumia tu hisia huna ushahidi wowote wa maana kuwa alilazimishwaHalafu we jamaa Jana umeDislike sana comments zangu 🤣🤣
Sasa tumia akili na wewe safiyyah angekubalije kuolewa na muuaji? Baada ya kulazimishwa ndo yanatengenezwa maneno mazuri ya kumfanya Muhammad alimuoa kwa haki.
Hiyo ni sawa na nchimbi tu mnamfukuza ila mnamwambia aseme anajihuzuru.
Hakuna mtu mwenye akili timamu afikwe na matatizo kama ya safiyyah then afanye maamuzi ya kuolewa na mtu wa namna ya Muhammad.
Ebu soma vizuri basi,nimesema Mwenyezi Mungu muweza wa yote sikusema wa kiarabu au kiafrika,soma kwa ufahamu basiUnaona ulivyo kiaz. Una uhakika gan huyo Mungu wa kiarabu ndie kaumba kila kitu na sio Mungu wa babu zako
Ugaidi haupo kwenye UislamuUnautetea ugaidi kisomi sana!
Basi sawa,Bado unatumia tu hisia huna ushahidi wowote wa maana kuwa alilazimishwa