Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Sio kweliMkuu ukristo misingi yake ipo kwenye Biblia
Sio kweliMkuu ukristo misingi yake ipo kwenye Biblia
Kwa hiyo Waraqah asingemwambia kuwa ni Jibril aya zilizokuja mbeleni kumwambia kuwa yule ni Jibril pia asingezielewa?Mzee waraq unamjua? Hadith zinasema alikuwa mkristo na ndiye aliyemdanganya Mohamed kwamba kiumbe aliyekutana nae pangoni ni malaika jibril.
Bila waraq kumwambia Mohamed kwamba alikutana na malaika jibril leo hii uislamu usingekuwepo. Maana Mohamed alihisi amekutana na jini au pepo mchafu.
Tufanye sawa alikuwa mkristo sasa kama yeye alikubali kuwa alipewa utume mbona wewe mkristo mwenzie hukubali?Sahih bukhari 3392
Imehadithiwa na Aisha:
Mtume (ﷺ) alirudi kwa Khadija huku moyo wake ukipiga kwa kasi. Alimpeleka kwa Waraqa bin Naufal ambaye alikuwa amegeukia Ukristo na alikuwa akisoma Injili kwa Kiarabu. Waraqa alimuuliza (Mtume), “Unaona nini?” Alipomweleza, Waraqa akasema, “Huyo ni malaika yule yule ambaye Mwenyezi Mungu alimtuma kwa Nabii Musa. Ikiwa nitaishi mpaka utapokea Ujumbe wa Mungu, nitakusaidia kwa nguvu zote.”
Waheshimu Sana wakristo.
Injil ilikuwepo kipindi cha Isa je hiyo Biblia ilikuwepo kipindi hicho?Hiyo injili na torati halisi iko wapi? Quran 10:94 Mohamed anaambiwa akiwa na mashaka kuhusu Qur'an basi awaulize walioshushiwa kitabu kabla yake (wakristo na wayahudi).
Kama Allah anamwambia Mohamed vile wewe ni nani useme wakristo na wayahudi hawana injili na torati. Wapi imesema kwama wakristo na wayahudi hawana vitabu au zimechakachuliwa?
Wasipomwamini Allah watadumu motoni mileleQuran inasemaje kuhusu wakristo na wayahudi?
Je hao wanaotumia jina la Allah kuua Uislam unawatambua?Kuna watu humu hasa waislam mnaoitetea dini yenu ya kishenz kuna kitu inabid mjue kinaitwa EXTREMIST kwa kirefer kwny dini kumaanisha wale wafuas kindak ndak au wafia dini kwa lugha rahisi,Nimeona mtu katoa mifano ya nchi akisema kwmb sio za kiislam na zina vurugu na mauaji.
Nataka niwaeleweshe apo mjifunze kutofautisha hivi vitu; Islamic extremist wanaua kwa jina allah/mudi SAW ila hakuna siku imetokea jina la Yesu likatumika kwny mauaji mana Yesu ni upendo mtupu. Kusema kwmb sijui vita ya 1 na 2 ya dunia iliongozwa na wakristo ni kukosa brain cells.Karne na karne jina la mudi limetumika kuua watu either kwa kujilipua miongon mwa watu ama kunyonga kutokana na mafundisho ya mudi on the contrary bible inahubir upendo na msamaha na sio kukimbilia kuua watu walokukosea.
Wewe ndio huijui historia ya MtumeHapa nimeshajua hata historia ya mtume wenu fake mudi huujui, sasa nini kingine utajua.
Tafsiri yake makanisa mengi huwezi kuingia maana mengi yanasema Yesu ni munguBiblia ni moja tu, we weka Aya hapa.
Kanisa lipi nitaje, mi naingia kanisa lolote linalomtukuza Mungu Yehova na mtume mwenye nguvu zaidi ya wote aitwaye Yesu kristo.
Kupotosha ndio mnachokijuaMariam wa kwenye Qur'an au? Kwani Issa bin Mariam sio Yesu? Kwenye Qur'an imeandikwa kwamba roho mtakatifu alimpuliza kwenye naniliu yake ndipo akabeba mimba.
Uongo mtupu na hii ndio silaha yenu kubwaPia alikuwa na mateka kibao wa kivita ambao alikuwa na haki ya kuwala. Maria mkoptiki ni mtumwa aliyepewa kama zawadi kutoka misri.
Mkewe bi Hafsa alimfuma juu ya kitanda chake kiasi kwamba wale wa Mohamed waliungana kumnunia karibia mwezi mzima.
Quran 66:1 ilishushwa kwa sababu ya huu mgogoro,sio kumkemea Mohamed kwa tabia mbaya dhidi ya Hafsa bali kumpa Mohamed free pass kwa kosa alilolifanya.
Poland wenyewe walikuwepo Uingereza zaidi ya milioni , kule Scandinavia ndio usiseme wamejazana Kama dagaa. Wezi hatari, wanaiba mpaka mswaki unaopigia, chupi uliyoifua. Ni malofa wa kutupwa. Nchi zote Za Eastern Europe hazifai ni kavu. Wakibebwa na mrusi Sasa wameingia west wanatänga tanga tu.HIvi pale mnapokuwa mnapigwa au kupiga mnatamka Allah Akbar, ndio mnakuwa mnajipa faraja au ndio mnapeana mzuka?
Ki ukweli, nilimsikia Waziri mmoja toka Poland akisema ulaya imefanya makosa makubwa kukubali kupokea wahamiaji. Akasema nchi kama Ufaransa na Ujerumani ndio wahanga wakubwa. Mwisho akasema ukiona mtu anapigana kwa ajili ya Allah basi ujue huyo mtu ni Hamnazo sababu huyu Alla ameshindwa kujipigania.
Na akamalizia kwa kusema hawa kebge hawawezi kukanyaga Poland. Wataishia kutimulia kama kibabga ampiga mkoloni.
Mohamed alijua amekutana na jini ambaye hakujitambulisha,kafika kwa khadija anatetemeka kwa hofu kubwa . Akamwambia mkewe amfunike kitandani.Kwa hiyo Waraqah asingemwambia kuwa ni Jibril aya zilizokuja mbeleni kumwambia kuwa yule ni Jibril pia asingezielewa?
Mzee waraq hakuwa mkweli kwa Mohamed, Jibril hakuwahi onana na Musa hapo zamani kule jangwani. Musa alikutana na Mungu jangwani.Tufanye sawa alikuwa mkristo sasa kama yeye alikubali kuwa alipewa utume mbona wewe mkristo mwenzie hukubali?
Soma vizuri Qur'an yako jinsi inavyosema kuhusu injili na torati. Pia soma Qur'an 10:94,hakuna sehemu Qur'an inasema wakristo na wayahudi hatuna injili na torati.Injil ilikuwepo kipindi cha Isa je hiyo Biblia ilikuwepo kipindi hicho?
Taurat haikuandikwa na Musa ila alipewa na Allah je hiyo torati yenu pia imetoka kwa Allah?
Kupotosha ndio mnachokijua
Tuambie alimpulizia kwenye nanilii nini?
Soma Qur'an 66:1 kisha nenda kasome tafsir ili ujue kwanini hiyo sura ilishushwa. Sio tu unaishia kunilaumu kwamba mimi ni mpotoshaji.Uongo mtupu na hii ndio silaha yenu kubwa
Waraqah alisema aliyekutana na Musa jangwani?Mohamed alijua amekutana na jini ambaye hakujitambulisha,kafika kwa khadija anatetemeka kwa hofu kubwa . Akamwambia mkewe amfunike kitandani.
Mzee waraq ndiye alimpa jina la jibril yule kiumbe,sio hivyo tu lakini pia alimpotosha Mohamed kwani jibril hakuwahi kutana na Musa jangwani. Ukisoma Tora Musa alikutana na Mungu jangwani sio jibril.
Bila Mzee waraq uislamu usingekuwepo Leo.
Nimeshakujibu kuwa Waraqah hakutaja habari za Musa jangwani ila alisema kuwa huyo Malaika alikuwa anatumwa kwa MusaMzee waraq hakuwa mkweli kwa Mohamed, Jibril hakuwahi onana na Musa hapo zamani kule jangwani. Musa alikutana na Mungu jangwani.