ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,814
- 7,351
Dhiya El kalbi alimchukua safiaya kama zawadi yake ya mateka wa vita, Mohamed akaambiwa El amechukua mwanamke mzuri kuliko wote hapa khaibar. Dhiya akaitwa kisha Mohamed akampa watumwa 7 Ili abadilishane na safiya.Hili nishakujibu naona unarudia jambo lile lile. Kwa akili yako unadhani hakukuwa na wanawake wazuri na mabikra na wabichi kuliko Saffiyyah mama mtu mzima!?
Kwanini mtume hakuchukua vibinti vidogo kama inavyoamuru biblia yenu mkiwa vitani?
Mohamed amelala na safiya usiku ,mmoja wa wafuasi wake alishinda nje ya hema usiku kucha. Mohamed anatoka asubuhi akamkuta pale,akamuuliza unafanya nini hapa? Akajibu,nilikuwa nahofia huyu mwanamke asije akakudhuru kwa sababu tumeimaliza familia yake yote.