Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

🤝🤝🤝
Mkuu kwenye thread yako nilisema sitaongeza neno ila hapa naomba nikazie.

Nilisoma kitabu kimoja kinaitwa TWO HEADED OF DRAGON. kinaongelea hizi dini mbili. Kuna dini moja wameirefer kama ni utapeli. Dini ilianzishwa kwa maslahi fulani ya kivita vita.

Refer vikundi vyote vya uasi ni hiyo dini coz mafundisho yao mengi yanasapoti vurugu.

Allah= god of war

Peponi Kuna mto wa wine na pia ukifika kule utawakuta mabikra 72 wenye macho kama yai la mbuni😋😋😋😋, hapa kwanini mwanaume asijitoe muhanga ili awawahi mabikra wake😂😂😂💔.

Wanafundishwa kufa ili kumtetea mungu wao, Sasa ni mungu yupi anaetetewa na binadamu? Uwezo wake yeye uko wapi?
Acha kudanganyika li.urahisi,huyo kaandika kitabu,auze apate pesa.Vitabu ni biashara,ajua atapata wajinga watanunua.
 
Mkuu hapa ni kama umetaka kunishambulia Bure. Au labda husomi historia na geopolitics.

Congo ni shamba la bibi, ukiona katika nchi yoyote Kuna majeshi ya kulinda amani bhasi jua hilo ni shamba la bibi na Kila nchi inapeleka jeshi ili kulinda maslahi yake.

Congo ni shamba la bibi, hapo Kuna vita ya maslahi.

Sudani kusini pia ni shamba la bibi Kuna maslahi ya mafuta.

Haiti ni maslahi ya almasi.

Labda hujafuatilia vita ya Afrika ya kati. Hapo vita kubwa ni udini Kuna kipindi wakristo nao walianzisha kikundi chao wakakiita Ant-baraka🤣🤣🤣💔, walilipuana kweli kweli.

Vita ya Russia na Ukraine ni issue za Europe na umoja wao wa NATO. Russia anatafuta usalama wake kwa kuiweka Ukraine chini yake huku Europe wanataka kuizunguka Russia na jeshi lao la NATO.

Lakini mkuu turudi kwenye Hoja, huoni kama dini yenu inachochea vurugu kwa kutaka kumtetea Allah??? Kwanini mumtetee mungu wenu? Kwani hamuwezi mkaswali alafu mungu wenu akashuka kujitetea???
Kwanini dini yenu inaua wakristo kule Nigeria?? Kwanini adui yenu awe ni binadamu kama ninyi???
Kwanini ujitoe muhanga sokoni na kuua watu wasio na makosa???
Wala hakuna sehemu nilio kushambulia ila tu nimekupa fact labda tu uamue kuikataa

Hata huko kwa waislam wanapouana pia ni sababu ya geo politics

Iraq walivamiwa wakubwa wabebe wese syria Afghanistan wakubwa walienda kuendeleza biashara ya opium

Libya wakubwa walienda wabebe mafuta pia hata sudan ni case hio hio ya geo politics

Waislam wanauana na nigeria na wakristo waislam tele wameuwawa nigeria

Kuhusiana na kuripuana masokoni kwahio hayo masoko wanaofanya kazi na kufanya manunuzi huko u wakristo watupu na ndio wanaouliwa kwenye hio miripuko 🤣🤣🤣
 
Kulazimishwa kwani maana yake hua ninini

Labda mie sijui kiswahili
Hebu niambie kwanza, safiyyah alifikaje kwa Muhammad? Kwa kupenda ama kilazima?
Watu wake wa karibu wote waliuawa kwa amri ya Muhammad, upendo huo wa kumpenda Muhammad angeupata wapi?

Hebu fikiria matukio hayo Kisha hitimisha mwenyewe moyoni, Je ni kwa vipi matukio yaliyomkuta safiyyah then akubali kuolewa na Muhammad?
 
Hujajibu swali safiyyah aliambiwa tu anaolewa na hana lakufanya ama alipewa options

Kama alipewa options unapata wapi nguvu za kusema alilazimishwa?
 
Hata maana ya ulichokileta unakielewa!?
Punguza :

mhemko

hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa

Mjapan,Mchina hao wote uliowataja ni makabila sio dini.
Hawa wanazo dini zao kuu.Au hulitambui hilo?? Shinto,Hindu plus Buddhism zote ni zao.
Je waislam hawapigwi vita!? Je hijab hazipigwi vita!?
Hapo chuki iko wapi yetu sisi kwa wayahudi na wakristo?
Sifahamu uelewa wako kuhusu historia ya waarabu,wayahudi plus wazungu katika mwingiliano wao kijamii,kisiasa kiuchumi plus kijeshi. Nimekuuliza Mungu anaweza kutamka haya maneno?
Adam ndio alikua mtume wa mwanzo ambapo uislam haujatimilika.
Sasa hapa tunakubaliana kuwa Adam hakufanya nguzo zozote coz kwenye Quran hakuna ushahidi.Bado unaamini Mungu ndiye mtunzi wa hiki kitabu??
Nina maswali pia kuhusu wewe na imani yako.
Sina imani yoyote ila naamini Mungu yupo ila hana dini wala kitabu chochote.
1. Kati ya Yehovah na Yahweh nani ndio Mungu!?
Yote ni majina ya Mungu.Moja lilitumika wakati wa kale lingine wakati wa sasa.
Kama ukristo umetokana na Wana Israel kwanini biblia imeandikwa kwa kiingereza na hakuna nakala ya kiyahudi!?
Ukristo haujatokana na wana Israel lakini huwezi kuwatenganisha nao ni kama vile Uislamu haujatokana na Uarabu lakini huwezi kuutenganisha na uarabu.

Biblia zipo kwenye lugha mbalimbali ikiwemo kiyahudi ambalo limejikita zaidi kwenye agano la kale.

Lete hoja nyingine.
 
We jamaa umeongea porojo tu,
Weka aya tuone kama kweli
_Biblia inafundisha mbegu ipandwe juu ya mbegu🤣
_Ni Aya ipi inataka tuombe dua kwa watakatifu mashoga
_Ni Aya ipi tukaungane kwa mapadri mashoga
_Pia weka uthibitisho kwamba Biblia ninayoisoma ni ya shoga James

Naona hoja yako imejikita kwenye ushoga.
Biblia inafundisha mashoga na wafiraji, wote hao ni mtoni tu...
Sasa acha kuandika ujinga weka uthibitisho wa maandiko ya Biblia.
Mbona unageuka unasema hilo ni porojo , hivi si kweli ndoa za jinsia moja kuwa zinafungwa makanisani .??

Ulitaka aya , lakini kabla ya kukuwekea aya uniambie wewe uko kanisa lipi ambalo haliozeshi mashoga kanisani wala halina mchungaji shoga ?? Na unatumia biblia ipi , ili nikuwekee aya za biblia yako ??
 
Acha kudanganyika li.urahisi,huyo kaandika kitabu,auze apate pesa.Vitabu ni biashara,ajua atapata wajinga watanunua.
Mkuu lakini huoni kwamba Kuna ukweli???

Mimi sitaki kubishania dini ila nataka unieleweshe alidanganya wapi ili auze kitabu chake??

Je! Allah sio mungu wa vita??? Na kama sio mungu wa vita kwanini nyie ndugu zetu mpo tayari kufa ili kumpigania???

Je! Kuruani haijaongelea mabikra 72 wenye macho kama ya mbuni??? Na pia huoni hii sera kwamba inamshawishi mwanaume akapigane ili akifa aende peponi kuwalomba hao mabikra???

Je! Jihad haijaandikwa kwenye kuruani??? Na ni Nini maana sahihi ya JIHAD???

Naomba unijibu haya maswali kwa ufasaha ndugu yangu.
 
Ok,
Jambo la kwanza;
Uislam kiongozi ni Muhammad, huyu jamaa hana sifa kabisa za kuwa kiongozi wa dini kutokana na matendo yake mengi ya hovyo.
Tuanze na la ndoa,
Wake zake wengi aliwapata kimabavu sana ambapo hiyo haliendani na sifa ya kiongozi wa dini.
Tatizo wengi mnapandikizwa hizi chuki bila kuujua uislam kwanza. Suala la Mtume Muhammad (SAW) kuoa wanawake wengi ni sehemu ya doctrine na kuondoa mila potofu za kipindi hiko MAKKA ambapo kulikuwa na mali potofu

*Mfano wa mila hizo ni mwanamke anayefiwa na mumewe haolewi tena ni kama ana mkosi na wana makka kipindi hiko waliamini mwanaume akioa mwanamke aliyefiwa na mume na yeye atakufa pia.. hvyo wajane walikuwa hawaolewi. Wanaume waliwaogopa kama ukoma..

Ila Mtume Muhammad (SAW) alikuwa anawafunza na kuondoa imani potofu kwa kuoa sampuli hyo ya wanawake ili kuondoa ujinga.

Pili kipindi hiko pia mtume alioa ili kuunganisha makabila.. koz kulikuwa na mila za ukabila uliokithiri uarabuni. Na watu waliona kwa makabila yao tu.. Mtume alikuja kuvunja hiyo kitu.. na kupelekea umoja kupitia hilo.. SASA unakuja mtu umelishwa propaganda unaropokaropoka 🤣🤣🤣
 
Hujajibu swali safiyyah aliambiwa tu anaolewa na hana lakufanya ama alipewa options

Kama alipewa options unapata wapi nguvu za kusema alilazimishwa?
Aliambiwa asilimu aolewe ama abaki kwenye dini yake arudi kwao.
We mzee huoni uongo wa hiyo statement 🤣
Sasa walimteka wa nini kama anapewa ruhusa kirahisi hivo?
Ok, tufanye mambo yalikuwa hivo,
Safiyyah hakuwa tena na pa kwenda kwa sababu, baba, kaka na mume wote wamekufa na Mali zao zimechukuliwa, hapo angeenda wapi?
Kwa kuwa kurudi nyumbani ilikuwa jambo gumu, kuishi na muuaji ni ngumu, akaona ngumu yenye afadhali ni kukaa na Muhammad.

Ila mmoja kati ya mume, kaka ama baba angekuwa hai angerudi kwao kama kweli angepewa machaguo hayo....
Kwa hiyo aliishi na Muhammad kwa kuwa hakukuwa na chaguo lingine Bora zaidi.🤣🤣
 
Kila umma,uliletewa mitume na manabii wake,na vitabu vyao vya kuwaongoza.Adamu alikuwa na kitabu chake cha kumuongoz,Muhammad
Tunakubaliana kuwa Adam hakufanya nguzo kuu za uislamu coz hakuna ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu??
 
Tatizo wengi mnapandikizwa hizi chuki bila kuujua uislam kwanza. Suala la Mtume Muhammad (SAW) kuoa wanawake wengi ni sehemu ya doctrine na kuondoa mila potofu za kipindi hiko MAKKA ambapo kulikuwa na mali potofu

*Mfano wa mila hizo ni mwanamke anayefiwa na mumewe haolewi tena ni kama ana mkosi na wana makka kipindi hiko waliamini mwanaume akioa mwanamke aliyefiwa na mume na yeye atakufa pia.. hvyo wajane walikuwa hawaolewi. Wanaume waliwaogopa kama ukoma..

Ila Mtume Muhammad (SAW) alikuwa anawafunza na kuondoa imani potofu kwa kuoa sampuli hyo ya wanawake ili kuondoa ujinga.

Pili kipindi hiko pia mtume alioa ili kuunganisha makabila.. koz kulikuwa na mila za ukabila uliokithiri uarabuni. Na watu waliona kwa makabila yao tu.. Mtume alikuja kuvunja hiyo kitu.. na kupelekea umoja kupitia hilo.. SASA unakuja mtu umelishwa propaganda unaropokaropoka 🤣🤣🤣
We mzee hujaelewa point. Kuoa wake wengi hata hao unaowaita wajane sio mbaya ila point yangu ni kwamba Muhammad katika wale wake zake, wengi aliwapata kinguvu a.k.a kilazima.
 
Mbona unageuka unasema hilo ni porojo , hivi si kweli ndoa za jinsia moja kuwa zinafungwa makanisani .??

Ulitaka aya , lakini kabla ya kukuwekea aya uniambie wewe uko kanisa lipi ambalo haliozeshi mashoga kanisani wala halina mchungaji shoga ?? Na unatumia biblia ipi , ili nikuwekee aya za biblia yako ??
Una Aya za Biblia zinazotetea ushoga weka hapa acha porojo. Kama huna jielewe tu kwamba umeandika na kuleta picha za kipumbavu.
 
Una Aya za Biblia zinazotetea ushoga weka hapa acha porojo. Kama huna jielewe tu kwamba umeandika na kuleta picha za kipumbavu.

Kabla ya kukuwekea aya uniambie wewe uko kanisa lipi ambalo haliozeshi mashoga kanisani wala halina mchungaji shoga ?? Na unatumia biblia ipi , ili nikuwekee aya za biblia yako ?? Mbona unazikimbia raha za ukristo ??
 
Wala hakuna sehemu nilio kushambulia ila tu nimekupa fact labda tu uamue kuikataa

Hata huko kwa waislam wanapouana pia ni sababu ya geo politics

Iraq walivamiwa wakubwa wabebe wese syria Afghanistan wakubwa walienda kuendeleza biashara ya opium

Libya wakubwa walienda wabebe mafuta pia hata sudan ni case hio hio ya geo politics

Waislam wanauana na nigeria na wakristo waislam tele wameuwawa nigeria

Kuhusiana na kuripuana masokoni kwahio hayo masoko wanaofanya kazi na kufanya manunuzi huko u wakristo watupu na ndio wanaouliwa kwenye hio miripuko 🤣🤣🤣
Mkuu sawa nakubali hujanishambulia sawa.

Turudi kwenye hizo hizo geo politics kwanini hao wanaopigana hua wanamtaja mungu wenu Allah??

Kuhusu Nigeria nipe mfano mmoja tuu wa wakristo kuua waislam au kuwateka watoto wa waislam na kwenda kuwachinja kama kuku.

Kuhusu kulipuana hiyo tumeona kwa nyie ndugu zetu waislam tena mara nyingi kabla ya tukio hua wanatamka jina la mungu wenu Allah Akbar. Utasikiaaa booooooooooooom😂😂😂💔

Mkuu Mimi siwasemi kwa ubaya lakini nimeishi pamoja na waislam wengine mpaka Leo ni rafiki zangu lakini mambo yenu mengi sijawahi kuyaelewa kabisa kabisa.

Shule niliyosoma waislam walikua na ndoo zao wameziandika Masjid Yaani ilikua ole wako mkristo ushike hiyo ndoo watataka wakuue, Lakini wao wanashika ndoo za wakristo nasisi hata hatusemi neno.

Kuna muda utasikia wanatuita makafiri tukitumia ndoo zao eti tunawaondolea udhu, lakini yeye akishika ndoo ya mkristo sijui huo udhu hautoki???

Mkuu ninamaswali mengi sana na dini yenu lakini napenda tuu kuheshimu hiyo dini.
 
SASA unakuja mtu umelishwa propaganda unaropokaropoka
Kuna propaganda mbovu kama hii mliolishwa?? Halafu ukaaminishwa kuwa ni maneno ya Mungu!!!!!!!

​

Al-Baqarah: 2: 120​

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ ٱلْيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعْتَ أَهْوَآءَهُم بَعْدَ ٱلَّذِى جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِىٍّ وَلَا نَصِيرٍ ١٢٠

Never will the Jews or Christians be pleased with you, until you follow their faith. Say, “Allah’s guidance is the only ˹true˺ guidance.” And if you were to follow their desires after ˹all˺ the knowledge that has come to you, there would be none to protect or help you against Allah.

propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani

Back
Top Bottom