Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
Biblia inataja watu 8. Nuhu na mkewe na watoto wake3 na wake zao, umeona mtiririko mzuri.11:40 haijataja idadi ila inasema ni wachache waloamini pamoja na watu wa familia yake ya karibu
Sasa ili uone vioja vya Quran kitu kama hiyo haipo utasikia wasomi wenu wanajiwekea idadi watakayo halafu linapokuja swala la uzazi utasikia wote wengine ambao hawakuwa watoto wa Nuhu walipotoka kwenye safina wakawa tasa.
Unajua kwa nini wanasema hivi! ni kwamba hawataki kukubaliana na idadi iliyowekwa na Biblia lakini wakiweka idadi Yao inakuja kuwaumbua kwenye vizazi baada ya gharika, hakuna uzao mwingine ulifanyika tofauti na watoto wa Nuhu.
Nikuongezee lingine ambalo haijakamilika kwenye Quran?