Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Acha uongo.....Adamu kitabu chake kiliitwaje?

wewe upo kanisa lipi ambalo haliozeshi mashoga kanisani wala halina mchungaji shoga ?? Na unatumia biblia ipi , ili nikuwekee aya za biblia yako ?? Mbona unazikimbia raha za ukristo ??
 
Kabla ya kukuwekea aya uniambie wewe uko kanisa lipi ambalo haliozeshi mashoga kanisani wala halina mchungaji shoga ?? Na unatumia biblia ipi , ili nikuwekee aya za biblia yako ?? Mbona unazikimbia raha za ukristo ??
Mkuu ukristo misingi yake ipo kwenye Biblia. Mambo yakiwa ya kishetani hata yakifanyika kanisani hayageuki kuwa ya Mungu...
Weka aya ya Biblia inayosapoti ushoga...kama huna jadili jambo ambalo unaweza kulithibitisha kupitia Biblia.
 
Punguza :

mhemko

hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa

Usipende kulazimisha hoja zako kwa kuleta personal attack. Hakuna asiyefahamu maana ya mihemko. Hizo ni trivialities tu unaleta . Achana nazo hazikusaidii.
Hawa wanazo dini zao kuu.Au hulitambui hilo?? Shinto,Hindu plus Buddhism zote ni zao.
Kuwepo na dini zao kuu hakumaanishi kuwa hakuna wahindi waislam au wahindi wakristo au wayahudi. Inaonesha uelewa waki kijamii mdogo.
Sifahamu uelewa wako kuhusu historia ya waarabu,wayahudi plus wazungu katika mwingiliano wao kijamii,kisiasa kiuchumi plus kijeshi. Nimekuuliza Mungu anaweza kutamka haya maneno?
Kwanini asitamke!? Alichokiongea ndicho kinachotokea. Au ulitaka hizo kauli tuseme kaongea nani!?
Muingiliano wa hizo asili tatu naufahamu vizuri huwenda kuliko wewe unavyoufahamu.
Sasa hapa tunakubaliana kuwa Adam hakufanya nguzo zozote coz kwenye Quran hakuna ushahidi.Bado unaamini Mungu ndiye mtunzi wa hiki kitabu??
Unapenda kujikanganya mwenyewe. Nguzo za uislam zilikuja kipindi cha Muhammad kwanini umuhusishe ADAM!? Hapa tayari ushajikanganya.
Ndio ninaamini Mungu ndio mtunzi wa hiko kitabu kwasababu 100% alichoeleza ndicho uhalisia wa dunia.
Sina imani yoyote ila naamini Mungu yupo ila hana dini wala kitabu chochote.
Ooh vizuri.
Yote ni majina ya Mungu.Moja lilitumika wakati wa kale lingine wakati wa sasa.
Kwanini Mungu awe na majina ya nyakati!??
Ukristo haujatokana na wana Israel lakini huwezi kuwatenganisha nao ni kama vile Uislamu haujatokana na Uarabu lakini huwezi kuutenganisha na uarabu.
Kwa madai ya wakristo ukristo umetokana na jamii ya wayahudi na hata hiyo Yahweh na Yehovah ni misamiati ya kiebrania. Pia wakristo wenyewe wanadai Israel ndio chimbuko la imani. Ila kwanini hao wanaodaiwa kuwa chimbuko wanakataa hiyo dini!?
Uyahudi na ukristo unaweza kuutenganisha vizuri tu kama UISLAM NA UARABU UNAVYOWEZA KUUTENGANISHA. Je nikupe mifano!?
Biblia zipo kwenye lugha mbalimbali ikiwemo kiyahudi ambalo limejikita zaidi kwenye agano la kale.

Lete hoja nyingine.
Hakuna nakala halisi ya biblia ya kiyahudi hadi sasa. Hakuna CHIMBUKO MAMA LA BIBLIA kama ilivyo Qur'an. Na ndio maana biblia iliwahi kufanyiwa marekebisho,je nimekosea!??
Umewahi kuona wapi Qur'an ikafanyiwa marekebisho!??
 
Tueleze wewe unaoujua uislam upoje!?
Kuna dini ya kijinga hapa duniani kushinda UKRISTO!?
Kina Sheikh Green unawajua!? Ni mzungu na familia yake ni chimbuko la wakoloni ila akau stadi uislam na akawa muislam. Ulaya converts wa kikristo kwenda kwenye uislam ni wengi. Mike Tyson alizaliwa mkristo akatafuta ukweli kuhusu uislam akawa muislam. Vipi kuhusu Mohammed Ally je alizaliwa muislam!?
Mzee waraq unamjua? Hadith zinasema alikuwa mkristo na ndiye aliyemdanganya Mohamed kwamba kiumbe aliyekutana nae pangoni ni malaika jibril.

Bila waraq kumwambia Mohamed kwamba alikutana na malaika jibril leo hii uislamu usingekuwepo. Maana Mohamed alihisi amekutana na jini au pepo mchafu.
 
Na ndio maana biblia iliwahi kufanyiwa marekebisho,je nimekosea!??
Umewahi kuona wapi Qur'an ikafanyiwa marekebisho!??
Ni lini Biblia ilifanyiwa marekebisho na yalifanywa na nani!
 
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu

Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?

Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?

Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli

Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi

Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni

Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi

Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu

Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.

Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?

Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?

Acheni ujinga,think big

Ni hayo tu!
Kabla sijaenda kwenye detail naomba kuuliza. Hicho kiasi kilichochangiwa NATO ni USD bilioni ngapi kiasi kwamba kimeacha pengo kwenye bajeti ya serikali zao?
 
Mzee waraq unamjua? Hadith zinasema alikuwa mkristo na ndiye aliyemdanganya Mohamed kwamba kiumbe aliyekutana nae pangoni ni malaika jibril.

Bila waraq kumwambia Mohamed kwamba alikutana na malaika jibril leo hii uislamu usingekuwepo. Maana Mohamed alihisi amekutana na jini au pepo mchafu.
Waraqah alikua ni ahlul kitab. Sio mkristo kama wewe unayemuabudu Yehovah.
 
Mkuu ukristo misingi yake ipo kwenye Biblia. Mambo yakiwa ya kishetani hata yakifanyika kanisani hayageuki kuwa ya Mungu...
Weka aya ya Biblia inayosapoti ushoga...kama huna jadili jambo ambalo unaweza kulithibitisha kupitia Biblia.

Ndio maana nilitaka kujuwa wewe kanisa lako ni lipi na mnatumia biblia ipi ?? au unaona aibu kutaja kanisa lako ?? na biblia yako ni ipi ?? ili nikuwekee hizo aya za ushoga . Usizunguke kukimbia swali please , ukristo raha tupu au vipi ??
 
Ni lini Biblia ilifanyiwa marekebisho na yalifanywa na nani!
Hiki cha kuondoa mistari baadhi kinamaanisha nini!?
Screenshot_2026-11-02-18-01-37-47_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
 
Ndio maana nilitaka kujuwa wewe kanisa lako ni lipi na mnatumia biblia ipi ?? au unaona aibu kutaja kanisa lako ?? na biblia yako ni ipi ?? ili nikuwekee hizo aya za ushoga . Usizunguke kukimbia swali please , ukristo raha tupu au vipi ??
Washaanza kuruka ruka kama maharage ya mbeya.
 
Waraqah alikua ni ahlul kitab. Sio mkristo kama wewe unayemuabudu Yehovah.
Sahih bukhari 3392
Imehadithiwa na Aisha:
Mtume (ﷺ) alirudi kwa Khadija huku moyo wake ukipiga kwa kasi. Alimpeleka kwa Waraqa bin Naufal ambaye alikuwa amegeukia Ukristo na alikuwa akisoma Injili kwa Kiarabu. Waraqa alimuuliza (Mtume), “Unaona nini?” Alipomweleza, Waraqa akasema, “Huyo ni malaika yule yule ambaye Mwenyezi Mungu alimtuma kwa Nabii Musa. Ikiwa nitaishi mpaka utapokea Ujumbe wa Mungu, nitakusaidia kwa nguvu zote.”

Waheshimu Sana wakristo.
 
Hivi unawajua ahlul kitab!?
Kwenye Qur'an suratul baqrah kama sijakosea kuna ayah inasema " hakika ya waumini waislam,wakristo na wayahudi wataingia peponi" je unajua wakristo na wayahudi wapi walikusudiwa!?
AHLUL KITAB ambao walisoma injil halisi na taurat halisi sio ninyi ambao mnadai Yesu ni mtoto wa Mungu.
 
Indonesia,Malaysia,Singapore,Brunei,Qatar,Kuwait mataifa yote ya kiislam hayo na yana amani tele sana.
Uingereza waislam wengi na amani iko palepale.
Aya tudanganye.
Vipi HAITI NI NCHI YA KIISLAM ambako wanauana kikatili?
Singapore sio nchi ya kiislam acha kutupanga, ata dini Kubwa pale sio uislamu
 
Hivi unawajua ahlul kitab!?
Kwenye Qur'an suratul baqrah kama sijakosea kuna ayah inasema " hakika ya waumini waislam,wakristo na wayahudi wataingia peponi" je unajua wakristo na wayahudi wapi walikusudiwa!?
AHLUL KITAB ambao walisoma injil halisi na taurat halisi sio ninyi ambao mnadai Yesu ni mtoto wa Mungu.
Hiyo injili na torati halisi iko wapi? Quran 10:94 Mohamed anaambiwa akiwa na mashaka kuhusu Qur'an basi awaulize walioshushiwa kitabu kabla yake (wakristo na wayahudi).

Kama Allah anamwambia Mohamed vile wewe ni nani useme wakristo na wayahudi hawana injili na torati. Wapi imesema kwama wakristo na wayahudi hawana vitabu au zimechakachuliwa?
 
Singapore sio nchi ya kiislam acha kutupanga, ata dini Kubwa pale sio uislamu
Umesoma kwa uelewa au umekurupuka kusoma!? Nimesema Singapore waislam pia wapo na hakuna fujo. Jifunze kusoma kwa uelewa.
 
Nilimsikia hata Trump,ila sidhani kwa mtazamo wangu kama kuna uhusiano wowote......chumi zao zimejengwa kwa kuiba iba Africa,mfano Ufaransa walikuwa wanaiba sana Mali,Burkina faso,ivory coast,na Gambia........lakini nikama wamewashtukia......lile bata lao lilikuwa mali toka Africa......sasa walikuwa wanadekezwa kwa baadhi ya huduma kuwa bure.....sasa wanaona wanaonewa,ndiyo maana milio inasikika.
Africa ungekuwa na viongozi imara na wenye maono,tungekuwa donor kantri (Magufuri voice)....ila tumekosa visionary leaders.....imagine Muhozi ndiye anaandaliwa kumrithi M7
 
We jamaa unasoma uislam upi ambao unasema hauruhusu mateka wa kike?
Muhammad ukiachilia huyo safiyyah yupo mwingine tena alimuoa ambaye alikuwa mateka. We inaonekana hujui mambo mengi.
Hiyo 4:24 unataka kusema hakuna mateka wa kike hapo?
Mtu mkubwa kwenye uislam ibn kathir kwenye tafsiri zake anasema ni mateka. Sio yeye pekee wasomi wenu wengi wanasema ni mateka. We ni nani unasema uislam hauruhusu mateka wa kike?

Ok, twende polepole.
Safiyyah aliolewaje na Muhammad?

Mi nasema Muhammad alienda vitani na wenzake wakaua jamii ya safiyyah, kaka, baba na mume wote walikufa wakamchukua kama mateka ndo Muhammad akajichukulia mke.

Kama we unakataa hiyo. Niambie sasa safiyyah aliolewaje kulingana na ulivyosoma wewe.
Kijana nimekuletea ayah hiyo hiyo ya 24 na kukuletea tafsiri yake hakuna sehem waliokusudia mateka. Umemezeshwa uongo tunakurekebisha unaanza kuleta ubishi. Je unataka tukwambie nini!??

Swali tulirudishe kwako. Mwanamke yupi mwingine ambaye unadai mtume alimuoa mateka?
Pia una ushahidi upi kuwa Saffiyyah alilazimishwa kuolewa na mtume!??
Acha trivialities.

Pia kwanini haupendi kujibu maswali unayoulizwa kuhusu ukristo!?
 
Hiyo injili na torati halisi iko wapi? Quran 10:94 Mohamed anaambiwa akiwa na mashaka kuhusu Qur'an basi awaulize walioshushiwa kitabu kabla yake (wakristo na wayahudi).
Waliokusudiwa ni ahlul kitab wale ambao walikua na torat halisi sio ninyi.
Kama Allah anamwambia Mohamed vile wewe ni nani useme wakristo na wayahudi hawana injili na torati. Wapi imesema kwama wakristo na wayahudi hawana vitabu au zimechakachuliwa?
Kuna sehemu nimesema wakristo na wayahudi hawana vitabu!? Nimekusudia wakristo na wayahudi ambao walishika torati na injil halisi.
Wakristo wa sasa wana biblia ambayo kila mtu kaandika anavyoona yeye inafaa.
Unaweza kunieleza nini kuhusu hii picha hapa chini!?
Screenshot_2026-11-02-18-01-37-47_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
 
Back
Top Bottom