Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Kijana nimekuletea ayah hiyo hiyo ya 24 na kukuletea tafsiri yake hakuna sehem waliokusudia mateka. Umemezeshwa uongo tunakurekebisha unaanza kuleta ubishi. Je unataka tukwambie nini!??

Swali tulirudishe kwako. Mwanamke yupi mwingine ambaye unadai mtume alimuoa mateka?
Pia una ushahidi upi kuwa Saffiyyah alilazimishwa kuolewa na mtume!??
Acha trivialities.

Pia kwanini haupendi kujibu maswali unayoulizwa kuhusu ukristo!?
Mume,Baba na Kaka wa safiya waliuawa na jeshi la Mohamed,unauliza kama safiya alilazimishwa vipi kuolewa na Mohamed!!!
Waliokusudiwa ni ahlul kitab wale ambao walikua na torat halisi sio ninyi.

Kuna sehemu nimesema wakristo na wayahudi hawana vitabu!? Nimekusudia wakristo na wayahudi ambao walishika torati na injil halisi.
Wakristo wa sasa wana biblia ambayo kila mtu kaandika anavyoona yeye inafaa.
Unaweza kunieleza nini kuhusu hii picha hapa chini!?View attachment 3703316
Quran inasemaje kuhusu wakristo na wayahudi?
 
Kijana nimekuletea ayah hiyo hiyo ya 24 na kukuletea tafsiri yake hakuna sehem waliokusudia mateka. Umemezeshwa uongo tunakurekebisha unaanza kuleta ubishi. Je unataka tukwambie nini!??

Swali tulirudishe kwako. Mwanamke yupi mwingine ambaye unadai mtume alimuoa mateka?
Pia una ushahidi upi kuwa Saffiyyah alilazimishwa kuolewa na mtume!??
Acha trivialities.

Pia kwanini haupendi kujibu maswali unayoulizwa kuhusu ukristo!?
Mume,Baba na Kaka wa safiya waliuawa na jeshi la Mohamed,unauliza kama safiya alilazimishwa vipi kuolewa na Mohamed!!!
 
Kijana nimekuletea ayah hiyo hiyo ya 24 na kukuletea tafsiri yake hakuna sehem waliokusudia mateka. Umemezeshwa uongo tunakurekebisha unaanza kuleta ubishi. Je unataka tukwambie nini!??

Swali tulirudishe kwako. Mwanamke yupi mwingine ambaye unadai mtume alimuoa mateka?
Pia una ushahidi upi kuwa Saffiyyah alilazimishwa kuolewa na mtume!??
Acha trivialities.

Pia kwanini haupendi kujibu maswali unayoulizwa kuhusu ukristo!?
Mume,Baba na Kaka wa safiya waliuawa na jeshi la Mohamed,unauliza kama safiya alilazimishwa vipi kuolewa na Mohamed!!!
 
Mume,Baba na Kaka wa safiya waliuawa na jeshi la Mohamed,unauliza kama safiya alilazimishwa vipi kuolewa na Mohamed!!!
Kuuawa mume,baba na kaka ndio justification kuwa alilazimishwa kuolewa!? Embu lete ushahidi kivipi alilazimishwa!? Hao wameuawa vitani je ulitaka waachwe tu wakiwa wameshika upanga ilhali walikusudia kupigana?
Quran inasemaje kuhusu wakristo na wayahudi?
Qur'an inazungumzia wayahudi na wakristo kwa zama mbili. Zama za kabla ya ujio wa mtume na zao baada ya ujio wa mtume. Pia inazungumzia kuwatenganisha wakristo na wayahudi kulingana na itikadi.
 
Mume,Baba na Kaka wa safiya waliuawa na jeshi la Mohamed,unauliza kama safiya alilazimishwa vipi kuolewa na Mohamed!!!
Hili nishakujibu naona unarudia jambo lile lile. Kwa akili yako unadhani hakukuwa na wanawake wazuri na mabikra na wabichi kuliko Saffiyyah mama mtu mzima!?
Kwanini mtume hakuchukua vibinti vidogo kama inavyoamuru biblia yenu mkiwa vitani?
 
Samahani, siyo kwa ubaya.Hapa umetumia vigezo gani??
Kigezo cha kusema mbona hawakutajwa wachina,wahindi ukatoka kwenye imani ukaenda kwenye kabila. Ukadai zaidi wao wana imani zao. Ukashindwa kufahamu kuwa imani haina ethnicity.

Hilo la pili nimesisitiza kulingana na shaka yako juu ya elimu yangu kuhusu muingiliano wa hizo jamii.
 
Hili nishakujibu naona unarudia jambo lile lile. Kwa akili yako unadhani hakukuwa na wanawake wazuri na mabikra na wabichi kuliko Saffiyyah mama mtu mzima!?
Kwanini mtume hakuchukua vibinti vidogo kama inavyoamuru biblia yenu mkiwa vitani?
Anakimbia lile swali la kusema yupo kanisa lipi na ipi ni biblia yake , amekuja kwa id hii
 

Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu

Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?

Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?

Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli

Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi

Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni

Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi

Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu

Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.

Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?

Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?

Acheni ujinga,think big

Ni hayo tu!
Tatizo sio dini, tatizo ni mafuta kupanda bei ambayo inapelekea machafuko
 
Ukristo ni Amani uislam ni vurugu. Kipi tupambane kiondoke duniani?
Ukristo amani kwa hoja ipi na uislamu vurugu kwa hoja ipi

Bila ya Ukristo dunia is ingekua inashuhudia mavurugu yaliotawala kila kona ya dunia leo hii
 
Hebu niambie kwanza, safiyyah alifikaje kwa Muhammad? Kwa kupenda ama kilazima?
Watu wake wa karibu wote waliuawa kwa amri ya Muhammad, upendo huo wa kumpenda Muhammad angeupata wapi?

Hebu fikiria matukio hayo Kisha hitimisha mwenyewe moyoni, Je ni kwa vipi matukio yaliyomkuta safiyyah then akubali kuolewa na Muhammad?
Naona umeamua kukimbia swali lako mwenyewe

Swali lilikua safiyyah kalazimishwa unaelewa maana ya kulazmishwa jambo???

Nambie kwanza safiyyah alipewa options hakupewa

Safiyyah alipewa options angeamua kurudi kwao bdala ya kuishi na mtu unaedai alimuulia familia yake

Yaani kuishi na mtu alokuulia familia yako ndio iwe kama kumkomoa hii haingii akilini

Angeoka kuishi na muuaji wa familia yangu kheri nikaishi kwetu ukizingatia kwao hakukua na vita hata ya majimaji

Hoja ni kwamba safiyyah hakulazimishwa kuolewa acha kupotosha
 
Aliambiwa asilimu aolewe ama abaki kwenye dini yake arudi kwao.
We mzee huoni uongo wa hiyo statement 🤣
Sasa walimteka wa nini kama anapewa ruhusa kirahisi hivo?
Ok, tufanye mambo yalikuwa hivo,
Safiyyah hakuwa tena na pa kwenda kwa sababu, baba, kaka na mume wote wamekufa na Mali zao zimechukuliwa, hapo angeenda wapi?
Kwa kuwa kurudi nyumbani ilikuwa jambo gumu, kuishi na muuaji ni ngumu, akaona ngumu yenye afadhali ni kukaa na Muhammad.

Ila mmoja kati ya mume, kaka ama baba angekuwa hai angerudi kwao kama kweli angepewa machaguo hayo....
Kwa hiyo aliishi na Muhammad kwa kuwa hakukuwa na chaguo lingine Bora zaidi.🤣🤣
🤣🤣🤣 huu wako ndio sio ugumu eti aishi na mtu alomuulia watu wake

Halafu baada ya hapa aliishi kwa ukarimu nae na upendo

Walifika kwasababu baada ya vita ngoma inayoshindwa hua inakua chini ya wanaoshinda hii ndio protocol ya vita duniani
 
Ndio maana nilitaka kujuwa wewe kanisa lako ni lipi na mnatumia biblia ipi ?? au unaona aibu kutaja kanisa lako ?? na biblia yako ni ipi ?? ili nikuwekee hizo aya za ushoga . Usizunguke kukimbia swali please , ukristo raha tupu au vipi ??
Mkuu, hakuna tafsiri yoyote ya Biblia inayosapoti ushoga....mimi ni mkristo sichagui dhehebu, Biblia yoyote unayoijua weka Aya acha porojo
 
Kijana nimekuletea ayah hiyo hiyo ya 24 na kukuletea tafsiri yake hakuna sehem waliokusudia mateka. Umemezeshwa uongo tunakurekebisha unaanza kuleta ubishi. Je unataka tukwambie nini!??

Swali tulirudishe kwako. Mwanamke yupi mwingine ambaye unadai mtume alimuoa mateka?
Pia una ushahidi upi kuwa Saffiyyah alilazimishwa kuolewa na mtume!??
Acha trivialities.

Pia kwanini haupendi kujibu maswali unayoulizwa kuhusu ukristo!?
Maswali yapi ya ukristo sijajibu, uliza nikujibu
 
Ukristo amani kwa hoja ipi na uislamu vurugu kwa hoja ipi

Bila ya Ukristo dunia is ingekua inashuhudia mavurugu yaliotawala kila kona ya dunia leo hii
Mkuu Sudan mavurugu yale yanahusiana na ukristo?
 
Back
Top Bottom