ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,814
- 7,351
Kwani waislam mpo wamoja? Ismailia,shia,bahai,Sunni, Sufi? Wewe ni muislamu gani?islam is a terrorist scam sawa , basi tuambie kanisa lako ni lipi na mnatumia bibia ipi ???
Kwani waislam mpo wamoja? Ismailia,shia,bahai,Sunni, Sufi? Wewe ni muislamu gani?islam is a terrorist scam sawa , basi tuambie kanisa lako ni lipi na mnatumia bibia ipi ???
Sijasema waislamu wapo pamoja au hawapo pamoja , nimesema ni lipi kanisa lako na biblia ipi mnayoitumia ?? mbona swali hili limekuwa kama ebola kwenu mnalikimbia , si ukristo ni mzuri ?? mnashindwa nini kulitaja kanisa lenu na biblia mnayotumia ili nasi tujiunge nanyi??Kwani waislam mpo wamoja? Ismailia,shia,bahai,Sunni, Sufi? Wewe ni muislamu gani?
hiyo ndiyo biblia unayotumia na hilo ndilo kanisa lako ??? hapo nitakuonyesha vipi aya inayo support ushoga ???Hujajibu maswali yangu,sihitaji kutumia id nyingine kuuliza maswali kuhusu uislamu. Unatumia Qur'an ipi Kati ya hizo hapo kwenye list?
Mie naona haina hayo unayoyahusianisha nayo hata moja sasa naangalia angaliaje sasaAngalia mwenyewe utaona
Mimi ni msabato,leta aya inayosapoti ushoga.hiyo ndiyo biblia unayotumia na hilo ndilo kanisa lako ??? hapo nitakuonyesha vipi aya inayo support ushoga ???
OkayMie naona haina hayo unayoyahusianisha nayo hata moja sasa naangalia angaliaje sasa
Ushasema imani halafu wataka facts,kwani hiyo ni sayansi?
Imani ni kuamini kutokana na hoja zilizo funuliwa kwa wanadamu kutoka kwa Allah
Sasa kila mtu kwa Imani yake aliyoichagua anajua kwanini ameifuata
Sasa kinachofuata ni kupeana challenge tu,je wewe mwenzetu umeamini jambo fulani je hata kiakili limekaaje kwa upande wako?
Sasa kwakuwa huamini haina maana wenzako wapo brain washed
Unadhani kuna anae amini kua imani yake sio bora ila yawenzake ndio bora???Unadhani kwanini Imani yako ni bora kuliko za wengine?
Kabisa tukiwa tunasema dunia bila ya Ukristo ni mahala salama wawe wanatuelewaHakuna mazingira yoyote duniani ambayo unaweza kusimama na kumshawishi mtu kwamba Ukristo ni bora kuliko Uislamu, halafu akakubaliana nawe.
Isipokuwa kama unazungumza na mjinga asiyejua kutofautisha kushoto na kulia.
Ukristo, kupitia Marekani pekee, umesababisha vifo vya takribani watu milioni 20 tangu Vita vya Pili vya Dunia, na kuwafanya watu wapatao milioni 20–40 duniani kote kuyahama makazi yao.
Unadhani waathirika wa ugaidi huu wa Kikristo, unaoidhinishwa na kushangiliwa na Wakristo, ni akina nani?
Asilimia 97 ya wahanga ni Waislamu.
Wanauawa na Wakristo kwa lengo la kupora rasilimali zao.
Wanawake na watoto.
Kuanzia Libya hadi Afghanistan, Syria, Vietnam, Iraq, na kwa sasa Iran.
Wakristo wanaanzisha vita visivyo na mwisho dhidi ya Waislamu, wakiwanyang’anya makazi yao na kuwalazimisha mamilioni yao kuhama.
Hii ni kwa sababu Wakristo wa Marekani wanataka kueneza utamaduni wao duniani na kutawala ulimwengu.
Wakiungwa mkono na kutiwa moyo na Wakristo kote duniani. Wengi wakidai ni unabii na Trump ni mpakwa mafuta aliyetumwa kwa kazi hiyo
Mamilioni ya Waislamu wameuawa na kulazimishwa kuyahama makazi yao tangu Vita vya Pili vya Dunia na mauaji yaliyoanzishwa na US nchi nyingi duniani
Hata hivyo, kwa mujibu wa Wakristo, Uislamu ndiyo dini pekee ovu duniani.
Hawa ndio Wakristo walioshangilia mauaji ya kimbari ya watoto na waandishi wa habari huko Gaza, huku wakilipia mauaji hayo na mpaka sasa wanashangilia Iran ikishambuliwa na nchi zao za kikristo na kiyahudi
unatumia biblia ipi ??Mimi ni msabato,leta aya inayosapoti ushoga.
Biblia yeyote yenye agano la kale na jipya. Na wewe jibu maswali yangu. Unatumia Qur'an ipi?unatumia biblia ipi ??
hata qeen james inayo , jee unaitumia ??Biblia yeyote yenye agano la kale na jipya. Na wewe jibu maswali yangu. Unatumia Qur'an ipi?
Mimi ni msabato,leta aya inayosapoti ushoga.
Mimi ni msabato,leta aya inayosapoti ushoga.
Fuatillia habar boss,sipo hapa kutoa takwimu,nipo hapa kupinga hoja za wajinga wa jfKabla sijaenda kwenye detail naomba kuuliza. Hicho kiasi kilichochangiwa NATO ni USD bilioni ngapi kiasi kwamba kimeacha pengo kwenye bajeti ya serikali zao?
Afadhali wewe unayesema hayo ni maoni yako,nayaheshimu bossKwa mtazamo wangu iko hivi, nchi za ulaya miaka ya hivi karibuni wamepokea wakimbizi wengi sana kutoka maeneo ya afrika na middle east, na wao wenyewe wamekuwa wakisema wanataka sharia law ndio mbadala wa future ya ulaya. sasa hii ajenda anazidi kukua kwenye miji ya london na Paris naeneo mengine, ongezeko la kuzaliana kwa wahamiaji wa kiislamu kumaleta vurugu kubwa kiasi hicho, pamoja na hali ya kiuchumi kuwa mbaya lakini suala hilo nalo limechangia sana vurugu hizo, na ukifuatilia hizi taarifa zinatoka kwao wafaransa wenyewe sio hata sisi. ANGALIO: haya ni maoni yangu na hayatokani na chuki kabisa
Huu ni ujinga wa nyie msiomuamini Mungu,kwahiyo sipo hapa kwa jambo hiloMungu ninani. Na Mungu ninini. Na unaaminije habar za kuambiwa hujashuhudia. Jibu haya machache kabla cjaja na maswali halis
Hamna ndio point yangu kila mwenyewe Imani anaamini yupo sahihi kutokana na imani yake. Na hata ukiangalia definition ya kamusi Imani ni pale mtu anapo-update status ya idea, jambo, kitu kuwa ni kweli pasipokuwa na uthibitisho halisi. Kuna uwezekano they can be right or wrong but ili tujue evidence, proof ndio zinazoweza kudetermine mawazo yote hayo kuwa ni kweli au la.Unadhani kuna anae amini kua imani yake sio bora ila yawenzake ndio bora???
Wajinga mpo wengi sana hapa jfPasipo kuweka kejeli, ujuaji, ama kebehi za kidini, kutokana na Qur'an ina mafundisho ya chuki dhidi ya Wayahudi na Wakristo.
Ina mafundisho yenye kuhamasisha dhuluma ya mali zao, ikiwezekana hata kufanya maamuzi ya hila ili kuwadhoofisha na hata kuwauwa.
Kinachotokea Ulaya sasa ni udhihirisho wa wazi wa chuki zao za kidini dhidi ya jamii za Kikristo ambazo zimetamalaki. Ulizozitaja ni "remote course of actions, but the root cause is their evil inclination on Islamic faith"