Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #41
Angalia sasa unaleta uccm ndani yake,,hii ni dalili huu mjadala sio size yakoNgonjera gani??,Imani yenu ni sawa tu na maccm
Angalia sasa unaleta uccm ndani yake,,hii ni dalili huu mjadala sio size yakoNgonjera gani??,Imani yenu ni sawa tu na maccm
Lete hizo hoja sasaMkuu mi nilisema hakuna hoja ya akili itakayomfanya mtu kuslimu. Nikaongeza kusema ili uwe muislam ni lazima uwe huujui uislam, ukiujua tu lazima tuachane nao.
Sasa hapo unasema nitoe mfano, mfano wa nini sasa! Wa mtu aliyeacha uislam baada ya kuujua ama mfano wa kitu gani?
Mkuu twende polepole, tuanza na hiyo niliyokupa ni kweli ama uongo Kisha tuende kwenye idadi ya wake zakeAisee kumbe wewe ni mweupe sana kichwani,you know nothing about Islam
Je mtume alikuwa na wake wangapi?
Mungu wenu alikufa msalabani kwa kupigwa misumali na aliyewaumba?Weka hoja, takataka achana nazo
Bado hamjasema,hizi ni hoja ambazo huwa mnaongea kila siku,hakuna jipya hapaVile majinga yanadai dini ya haki,haki unao mtoto wa miaka 9,hivi unaakili kichwani kweli??,jitu linaambiwa litapewa mabikra 72 akhera kama zawadi likiuwa watu wasio na hatia
Huu mtanange haunaga mshindi daima sababu huwa unajadiliwa kwa hisia na imani.🤣 inabidi tu uwe mtazamaji.Mkimaliza kujadiliana dini, mle mshibe
Safi sana napenda mambo kama haya,sasa wewe umeonyesha unajua kuhusu wake wa Mtume,ndio ili kujua kwamba unajua unachoongea,ndio nimekuuliza je alikuwa na wake wangapi?Mkuu twende polepole, tuanza na hiyo niliyokupa ni kweli ama uongo Kisha tuende kwenye idadi ya wake zake
Wala huwa hatufutwi mshindi ila huwa tunataka kuweka baadhi ya mambo sawaHuu mtanange haunaga mshindi daima sababu huwa unajadiliwa kwa hisia na imani.🤣 inabidi tu uwe mtazamaji.
We jamaa unaelewa kweli ama vipi!Lete hizo hoja sasa
Indonesia,Malaysia,Singapore,Brunei,Qatar,Kuwait mataifa yote ya kiislam hayo na yana amani tele sana.
Uingereza waislam wengi na amani iko palepale.
Aya tudanganye.
Vipi HAITI NI NCHI YA KIISLAM ambako wanauana kikatili?
Alikuwa na wake 13,Safi sana napenda mambo kama haya,sasa wewe umeonyesha unajua kuhusu wake wa Mtume,ndio ili kujua kwamba unajua unachoongea,ndio nimekuuliza je alikuwa na wake wangapi?
Anayepinga ndio anatakiwa adhibitishe kwamba hakuna hoja za kialiki,kama moja,mbili,tatu...We jamaa unaelewa kweli ama vipi!
Wewe ndo umesema watu wanaslimu kwa hoja za kiakili, mi nimesema hakuna hoja ya kiakili hata moja ya kumfanya mtu aslimu. Kisha unasema mi ndo nilete hoja; upo serious kweli?
Wewe unayesema zipo hoja za kiakili ndo uzilete tuone kama kweli za kiakili.
Kama hujaelewa na hapa, jibizanq na maamuma wenzio
Jipya hii Imani ni kugonoka tuBado hamjasema,hizi ni hoja ambazo huwa mnaongea kila siku,hakuna jipya hapa
Bila uislamu,na waislam,dunia ingekuwa nyuma sana,Mohammed Mussa Alkhawarithm,mgunduzi wa Algebra na Alwarithm,ambaye ameleta maendeleo duniani,kwa ugunduzi wake.Kila unachoona duniani,kilichotengenezwa ni ugunduzi wake wa Alwaritm na algebra.Mkuu hata leo hii Dunia nzima wawe waislam hiyo haizuii ukweli kwamba uislam ni dini dhaifu saaaana.
Sasa unautetea uislam kwa hoja ya watu kuslimu?
Weka hoja ya msingi hapa ya mtu kuslimu ndo tuijadili. Nimesikiliza hoja za wanaoslimu, hakuna hata mmoja aliwahi kuongea vitu vya msingi.
Weka hoja moja ambayo uliwahi kuisikia ya mtu kuslimu ukaielewa tuijadili hapa.
Hakuna hoja yenye akili inayoweza kumfanya mtu awe muislam. Mtu kuingia kwenye uislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
We ni muislam kwa sababu duniani ni Logarithm.hata hii jf,imekuwepo ni kutokana na algorithim
Hakuna hoja yenye akili inayoweza kumfanya mtu awe muislam. Mtu kuingia kwenye uislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
We ni muislam kwa sababu huujui uislam.
Bila muislamu kugundua algorithm na algebra,dunia ingekuwa nyuma sana,kila unachokiona duniani,kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na aligorthim na algebra,Huyo Al khawarirhim,muislamu,ndio aligundua hesabu hizo.Mohammed Mussa Alkhawarithm,ndio hata hizo hesabu zinaanza na "Al" neno la asili ya kiislamu.Hata hii jf ,isingekuwepo bila ugunduzi wa huyu mwamba.Namba kuanzia 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni ugunduzi wa kiislamu wa huyu huyu,ndio ukisoma shule,zinaitwa namba za kiarabu.Nalazima usome haya,hata kama unauchukia uislamu,hakuna ujanja,na urtmie hizo namba kila siku,kwenye mahesabu na kwenye saa,na pia utumie vitu,vilivyozalishwa kwa ugunduzi wa huyu mwamba,muislamu.Hata kemikali zote,katika chemistry,ukiona zinaanza AL,ni za asili ya kiislamu,hata neno.Chemical,nino.la kiarabu,kiswahili tumetohoa huko,tunaita kemia.Na waislamu wana alphabet yao,tofauti na wazungu,wanatumia alphabet ya kiyunani,sio yao.
Kwanza umefeli,alikuwa na wake 11Alikuwa na wake 13,
Haya tuanze na safiyyah nielekeze alivyompata Kisha tuone kama sio kilazima
Lete ushahidi wa maandiko,nyie ni wapuuzi sana mjueJipya hii Imani ni kugonoka tu
Pasipo kuweka kejeli, ujuaji, ama kebehi za kidini, Qur'an ina mafundisho yaliyojaa chuki dhidi ya Wayahudi na Wakristo.
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu
Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?
Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?
Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli
Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi
Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni
Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi
Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu
Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.
Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?
Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?
Acheni ujinga,think big
Ni hayo tu!
🤣🤣Yaani mi nasema hakuna hoja ya kiakili, we unasema zipo. Kisha ni mimi ndo niweke? We jamaa chenga kweli 😃Anayepinga ndio anatakiwa adhibitishe kwamba hakuna hoja za kialiki,kama moja,mbili,tatu...
Umenipata boss?
Na mie nambana hapo hapo. Anadai uislam ni dhaifu sasa ataje huo udhaifu anaoujua yeye. Hapo hapo nishamtajia udhaifu wa ukristo namsubiri arudi na hoja zake.