Bila uislamu,hata jf,unaotamba nayo,isingekuwepo.Hii jf na vingine vote unavyoona,vilivyotengenezwa na binadamu,vinatokana na Al khawarithim ,muislamu huyu,ndio aligundua Algorithm,Algebra na namban0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,bila huo MohammedMussa Al khawarithm,dunia ingekuwa nyuma sana.Lazima hesabu hizi,uzisome shule,hata kama unachukia uislamu,unasilimu hapa bila kupenda na pia unatumia vitu na vifaa kadhaa kwa kupitia mwamba huyu,simu,TV,gari umeme,saa,pesa,nguo,chakula,usafirì wa ndege,Meli,computer,mpaka Internet unayotumia,vifaa vya hospital,hapo unakofanyia kazi zako,vifaa vya nyumbani kwako,viwandani nk.
Hao unaowaona au ukisikia wanafanya fujo huko ulaya au sehemu nyingine kokote duniani,hao sio waislamu ,ni wanafiki,katika uislamu kuna wanaoitwa wanafiki wameingia kwenye uislamu kinafiki,wafukuzwe tu,njia rahisi ni kucheki documents zao,wapo wanaotumia documents feki za kuzaliwa,za kuoana nk.Wapo wamezaliwa Tanzania,lakini wanatumia vyeti vya kuzaliwa vya kisomali,kwenye vita,wakati Tanzania ni chi ya Amani.Serekali za ulaya,America,Uingereza,watoe njia za wanaowafahamu,wanaoishi huko kwa njia feki,watatumiwa uthibitisho,na nchi za ulaya waache huruma na imani.Wawafukuze,lakini sio kwa uislamu wao,wawafukuze kwa kutumì document feki,na wako huko ulaya wengi tu.