Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Kwanza umefeli,alikuwa na wake 11

Hawa hapa

Mtume Muhammad ﷺ alikuwa na wake 11 katika jumla ya ndoa zake, kwa mujibu wa taarifa zinazotajwa sana katika historia ya Kiislamu.

Hata hivyo, ni muhimu kutofautisha:

* Wake 11: Idadi ya wanawake aliowaoa katika maisha yake.

* Wake 9: Wake waliokuwa hai wakati Mtume ﷺ alipofariki mwaka 632 BK.

### Majina ya wake zake (Ummahatul Mu'minin)

* Khadija bint Khuwaylid

* Sawdah bint Zam'ah

* Aisha bint Abi Bakr

* Hafsa bint Umar

* Zaynab bint Khuzaymah

* Umm Salamah

* Zaynab bint Jahsh

  • Juwayriyah bint Al-Harith
  • Umm Habibah

* Safiyyah bint Huyayy

* Maymunah bint Al-Harith

Kwahiyo kama ni mahakamani tayar shahidi wewe ushahidi wako una tia mashaka

Sasa lete udhibitisho kwamba aliwaoa kwa mabavu
Kuna bint aliitwa Maria, huyu ndo Muhammad alipopata mtoto wa kiume, huyu bint alikuwa mjakazi wake, hujui haya mambo mkuu.
Na wa 13 ni Rayhanah bint zayd.
Kubali kwanza Muhammad alikuwa na wake 13 Kisha tuendelee.
 
Mkuu hata leo hii Dunia nzima wawe waislam hiyo haizuii ukweli kwamba uislam ni dini dhaifu saaaana.
Sasa unautetea uislam kwa hoja ya watu kuslimu?
Weka hoja ya msingi hapa ya mtu kuslimu ndo tuijadili. Nimesikiliza hoja za wanaoslimu, hakuna hata mmoja aliwahi kuongea vitu vya msingi.

Weka hoja moja ambayo uliwahi kuisikia ya mtu kuslimu ukaielewa tuijadili hapa.
Wewe ungeanza kwa kuorodhesha hoja zako (with reference from the Quran) zinazokufanya ufikiri Uislam ni dini dhaifu saaana..... "Without reference, no right to comment"
 
Kwanza umefeli,alikuwa na wake 11

Hawa hapa

Mtume Muhammad ﷺ alikuwa na wake 11 katika jumla ya ndoa zake, kwa mujibu wa taarifa zinazotajwa sana katika historia ya Kiislamu.

Hata hivyo, ni muhimu kutofautisha:

* Wake 11: Idadi ya wanawake aliowaoa katika maisha yake.

* Wake 9: Wake waliokuwa hai wakati Mtume ﷺ alipofariki mwaka 632 BK.

### Majina ya wake zake (Ummahatul Mu'minin)

* Khadija bint Khuwaylid

* Sawdah bint Zam'ah

* Aisha bint Abi Bakr

* Hafsa bint Umar

* Zaynab bint Khuzaymah

* Umm Salamah

* Zaynab bint Jahsh

* Juwayriyah bint Al-Harith

* Umm Habibah

* Safiyyah bint Huyayy

* Maymunah bint Al-Harith

Kwahiyo kama ni mahakamani tayar shahidi wewe ushahidi wako una tia mashaka

Sasa lete udhibitisho kwamba aliwaoa kwa mabavu
Achana naye,huyo sio.mwanamme,mwanamme mwenye kutimia,unaona wivu mwanamme mwenzako kuoa,labda yeye pia anataka aolewe.Aseme wazi tu,kuwa anataka mume
 
Wewe ungeanza kwa kuweka hoja zako zinazokufanya ufikiri Uislam ni dini dhaifu saaana
"Without reference, no right to comment"
Hoja ya kwanza ya udhaifu wa uislam ni kwamba uislam Quran haijakamilika kueleza kikamili kuhusu mambo ya msingi ambayo mwanadamu anapaswa kujua.
Waislam walivyoona Quran hautoshi wakaanza kutunga Hadith za uongo kujazia habari za Quran. Pamoja na kutunga habari hizo bado kuna habari hazijakamilika ukichanganya Quran na Hadith.
 
Mimi ni msukuna Org ila nahitaji watu wapinge vitu kwa hoja na sio porojo za kijiweni
weka mkeka wa reference hapa na sisi tuuone huo udhaifu wa Uislam.....
Dini hii huijui vizuri wabhabha,niwojage nene wabhabha
 
Hoja ya kwanza ya udhaifu wa uislam ni kwamba uislam Quran haijakamilika kueleza kikamili kuhusu mambo ya msingi ambayo mwanadamu anapaswa kujua.
Waislam walivyoona Quran hautoshi wakaanza kutunga Hadith za uongo kujazia habari za Quran. Pamoja na kutunga habari hizo bado kuna habari hazijakamilika ukichanganya Quran na Hadith.
Hujaweka reference ya nini hasa kilichokosekana....ulicho andika hapa ni porojo za kijiweni...
Ingekuwa ni swali la mtihani, ungepata "0"
 
Achana naye,huyo sio.mwanamme,mwanamme mwenye kutimia,unaona wivu mwanamme mwenzako kuoa,labda yeye pia anataka aolewe.Aseme wazi tu,kuwa anataka mume
Ona sasa majibu yako yalivyo ya kijinga? Mi hoja ni kuona wivu ama Muhammad kulazimisha kuoa kinguvu?
Maelezo yako yanaonyesha we huna chochote unachoweza kutetea kiakili. Kama pembeni
 
Ok, tuanze na wa safiyyah....huyu alimlazimisha kumuoa baada ya kuvamia kwenye mji wao akawaua mume wake na baba na watu wa mji huo akachukuliwa kama mateka then alivyoona ni Mali nzuri akamuoa kilazima. Unaijua hiyo? Au nimedanganya?
Mbona hiyo narration siye hatuna!?
Saffiyah bint wa kiyahudi na hata mumewe pia walikua yahudi. Vita ilizuka na watu waliuawa vitani kwenye uwanja wa vita sio kwenye majumba yao. Saffiyyah hakulazimishwa bali alitaka mwenyewe kwasababu alikua mke wa kiongozi na alitaka mume wa hadhi yake. Qur'an 4 surah ya wanawake inaelezea taratibu za mwanamke kuolewa. Na hakuna kulazimishana. Na mtume kamwe hajawahi kwenda nje na maandiko ya Qur'an.
 
Lete aya basi tafadhali,mimi huwa sipendi porojo boss
We jamaa mbona umeruka comment yangu?
Nimekwambia Muhammad alikuwa na wake 13 umesema nimefeli ukaandika majina 11, nimekuongezea mawili uliyokuwa huyajui na sasa unajifanya unaruka comment.
Ulimsahau Maria, huyu alikuwa house girl wake, jamaa aliamua kuzama ndani na kujisevia mzigo,
Na mwingine aliitwa Rayhanah bint zayd.

Jifanye tena hujaona na hii
 
Kuna bint aliitwa Maria, huyu ndo Muhammad alipopata mtoto wa kiume, huyu bint alikuwa mjakazi wake, hujui haya mambo mkuu.
Na wa 13 ni Rayhanah bint zayd.
Kubali kwanza Muhammad alikuwa na wake 13 Kisha tuendelee.
Unalazimisha nikubali mambo ambayo hayapo ili nikuridhishe?
 
We hujui kitu mkuu, ngoja tudeal na mleta mada, kaa pembeni
Ndio sijui kitu ila, huwezi kujenga hoja kwa kutuletea blaa blaa huku jukwaani...
Nilitamani kujifunza kitu kutoka kwako kumbe na wewe unategemea story za kijiweni; huna fact/reference
"Without genuine reference, no right to comment"
 
We jamaa mbona umeruka comment yangu?
Nimekwambia Muhammad alikuwa na wake 13 umesema nimefeli ukaandika majina 11, nimekuongezea mawili uliyokuwa huyajui na sasa unajifanya unaruka comment.
Ulimsahau Maria, huyu alikuwa house girl wake, jamaa aliamua kuzama ndani na kujisevia mzigo,
Na mwingine aliitwa Rayhanah bint zayd.

Jifanye tena hujaona na hii
Nishakujibu,ujue nipo job,ukiona kimya sio kwamba nimekimbia,nikipata nafasi najibu ujinga wako
 
Back
Top Bottom