Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Dini zote at some point wapo brainwashed vilevile dini hizihizi kila mmoja anadhani yeye ni mjanja kuliko mwingine. Mwisho wa siku, nadhani hamna mwenye afadhali zote ni Imani, na Imani bila uthibitisho hatuwezi kusema ni kweli unless verification ya yale tunayoyaiya Imani yathibitishwe yawe fact.
Ushasema imani halafu wataka facts,kwani hiyo ni sayansi?

Imani ni kuamini kutokana na hoja zilizo funuliwa kwa wanadamu kutoka kwa Allah

Sasa kila mtu kwa Imani yake aliyoichagua anajua kwanini ameifuata

Sasa kinachofuata ni kupeana challenge tu,je wewe mwenzetu umeamini jambo fulani je hata kiakili limekaaje kwa upande wako?

Sasa kwakuwa huamini haina maana wenzako wapo brain washed
 
MIMI BAADA YA KUFUATILIA SANA MAMBO YA DINI NILIGUNDUA YAFUATAYO
Kuna baadhi ya mitume walipewa utume ukubwani mfano; Mussa, Muhamadi na wengineo....
sasa Mitume waliopata utume ukubwani yapo mengi waliyafanya kabla ya kuwa mitume ambapo watu wasio na elimu au wenye nia ovu ya Kupotosha, hutumia sana mifano ya mambo waliyoyafanya kabla ya kuwa mitume, na kuwapotosha wavivu wa kutafuta Elimu.......
Mifano inayotolewa kwa lengo la kuchafua mingi ni ile mitume waliyofanya kabla ya kuwa mitume...
Yes upo sahihi ila Muhammad mambo yake mengi yaliyo kwenye vitabu ni yale ya kwenye umri wa utume aliodai anao.
Sasa ni mengi sana ya hovyo kiasi kwamba ukiwa msomi mzuri ambaye huongozwi na mawazo na uelewa wa wengine utangundua huyu jamaa hana sifa kabisa za kuwa mtume.
 
Bila uislamu,hata jf,unaotamba nayo,isingekuwepo.Hii jf na vingine vote unavyoona,vilivyotengenezwa na binadamu,vinatokana na Al khawarithim ,muislamu huyu,ndio aligundua Algorithm,Algebra na namban0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,bila huo MohammedMussa Al khawarithm,dunia ingekuwa nyuma sana.Lazima hesabu hizi,uzisome shule,hata kama unachukia uislamu,unasilimu hapa bila kupenda na pia unatumia vitu na vifaa kadhaa kwa kupitia mwamba huyu,simu,TV,gari umeme,saa,pesa,nguo,chakula,usafirì wa ndege,Meli,computer,mpaka Internet unayotumia,vifaa vya hospital,hapo unakofanyia kazi zako,vifaa vya nyumbani kwako,viwandani nk.
Hao unaowaona au ukisikia wanafanya fujo huko ulaya au sehemu nyingine kokote duniani,hao sio waislamu ,ni wanafiki,katika uislamu kuna wanaoitwa wanafiki wameingia kwenye uislamu kinafiki,wafukuzwe tu,njia rahisi ni kucheki documents zao,wapo wanaotumia documents feki za kuzaliwa,za kuoana nk.Wapo wamezaliwa Tanzania,lakini wanatumia vyeti vya kuzaliwa vya kisomali,kwenye vita,wakati Tanzania ni chi ya Amani.Serekali za ulaya,America,Uingereza,watoe njia za wanaowafahamu,wanaoishi huko kwa njia feki,watatumiwa uthibitisho,na nchi za ulaya waache huruma na imani.Wawafukuze,lakini sio kwa uislamu wao,wawafukuze kwa kutumì document feki,na wako huko ulaya wengi tu.
Jaribu kutumia akili ndugu yangu. Kwanza huo igunduzi uliouandika, kwenye mambo mengi ni uwongo. Hayo uliyoyaandika, ndivyo mnavyodanganywa huko kwenye uislam? Wagunduzi wengi siyo waislam. Na hata hao wachache waliogundua chochote, hawakugundua kwa sababu ya uislam, waligundua wao kama watu binafsi au taasisi za kisayansi, wao wakiwa wataalam. Gunduzi nyingi za Kisayansi, iwe ni Ulaya au America, zimefanywa watu wenye asili ya Kiyahudi. Huo ndio ukweli. Hata kama mimi si shabiki wa Kiyahudi, lakini lazima niukubali ukweli. Angalia hivi vichache, ugunduzi wa Wayahudi.
Theory of Relativity & Mass-Energy Equivalence: Albert Einstein, a German-born Jewish theoretical physicist.
Quantum Mechanics & Atomic Structure: Niels Bohr, a Danish Jewish physicist.

Polio Vaccines: Jonas Salk and Albert Sabin, both born to Jewish families.

The Laser: Theodore Maiman, a Jewish-American physicist.
THC Isolation: Raphael Mechoulam, an Israeli chemist at the Weizmann Institute of Science.

Quasicrystals: Dan Shechtman, an Israeli materials scientist
Chemotherapy and Targeted Treatment: German-Jewish chemist Paul Ehrlich.
Capsule Endoscopy (PillCam): Israeli engineer Gavriel Iddan created the PillCam.
The USB Flash Drive (DiskOnKey): Developed in Israel by Dov Moran, Amir Ban, and Oron Ogdan.
ICQ (First Instant Messenger): Created in 1996 by the Israeli company Mirabilis.
Packet Switching (Paul Baran): Jewish-American engineer.
ALOHAnet / Wireless Networking (Norman Abramson): Computer scientist Norman Abramson (son of Jewish immigrants).
Google Search / PageRank (Larry Page and Sergey Brin): Sergey Brin (alongside Larry Page) co-founded Google.
Nuclear Chain Reaction: Hungarian-Jewish physicist Leó Szilárd.
The Iron Dome: Initiated and led by Brigadier General Dani Gold, the Iron Dome became the world's first highly effective, mobile short-range rocket interception system..
Iron Beam Laser Defense: Developed by Israeli defense contractors, the Iron Beam represents a massive leap forward in directed-energy weapons. It is the world's first operational high-power laser defense system capable of neutralizing rockets, mortars, and drones at a fraction of the cost of traditional missile interceptors.
 
Udhaifu mkubwa wa uislam upo zaidi kwenye matendo ya kishetani: kuua watu, ugaidi wa kujilipua kuwaua wasio waislam, ubaguzi wa kidini, kulazimisha watu kuwa waislam badala ya kushawishi kwa kupitia mafunfisho yenye tija. Hali hiyo imesababisha waislam kuongoza katika kubadili dini, na kuachana na uislam:
Leading Countries muslims converting to Christianity:
    • Iran: Various mission and demographic groups have reported Iran as one of the fastest-growing underground Christian movements in the Islamic world. Estimates of Christian converts range from several hundred thousand to over a million, despite strict state prohibitions against evangelism and apostasy. [1, 2, 3]
    • Indonesia: As the world's largest Muslim-majority nation, Indonesia has historically recorded millions of former Muslims converting to Christianity since the mid-20th century through community outreach and local church growth.
    • Algeria: Particularly within the Berber (Amazigh) community in regions like Kabylie, local reports note thousands of conversions to Christianity over recent years.
    • Sudan: Observers and humanitarian groups have documented millions of reported religious transitions or shifts toward Christianity and traditional beliefs dating back to the 1990s amid regional and civil conflicts.
    • Afghanistan & Iraq: Both nations have seen small but persistent underground networks of Christian converts, numbering in the thousands, who often practice discreetly or face displacement.
    • European Nations (e.g., Germany, UK, Sweden, Austria): Western European churches have reported significant numbers of baptisms and conversion inquiries among Middle Eastern and Persian asylum seekers and refugees.
Hao ni wanafiki,hata kipindi cha Mtume Muhammad,walikuwepo wakiona wamegumdulikana unafiki wao,wanajiondoa wenyewe,hata katika sio wapo watu hao,wakigundulikana wanakimbia
 
Yes upo sahihi ila Muhammad mambo yake mengi yaliyo kwenye vitabu ni yale ya kwenye umri wa utume aliodai anao.
Sasa ni mengi sana ya hovyo kiasi kwamba ukiwa msomi mzuri ambaye huongozwi na mawazo na uelewa wa wengine utangundua huyu jamaa hana sifa kabisa za kuwa mtume.
Lakini pia wapotoshaji hujikita kwenye hadithi (sio Quran) kwa kuwa kwenye hadithi pia kuna upotoshaji mkubwa huko hasa kupitia hadithi feki zilipenyweshwa kwa lengo hilo hilo la kuchafua/kupotosha.

Muhimu pia; Kusoma Kitabu cha Quran ni sawa na kusoma Elimu nyingine tu za kawaida hapa duniani.
Fikiria mtu hana foundation yoyote ya Uislam , anachukua Quran anaanza kusoma; ataelewa kiasi ILA hawezi kupata maana yote iliyokusudiwa; Au niseme ni sawa na mtu anunue kitabu cha Chemistry for 3, aanze kusoma bila kupita form one & two; na hata kwa Biblia, ni lazima mtu awe na foundation ndio aweze kuelewa vizuri....TUTAFUTENI ELIMU...TUACHE KUTEGEMEA ELIMU ZA POROJO ZA KIJIWENI
 
Watu wengi hawajui. Mohammad, binafsi hakuwahi kujitangaza kuwa ni mtume. Mpaka anafariki, Muhamad hakuwahi kuacha Quran. Quran imeandikwa miaka mingi baadaye baada ya kufariki Mogammad, na iliandikwa na watu waliokusanya simulizi kutoka kwa watu waliodai kusimliwa na Muhammad. Lakini kuna watu waongo wanawadanganya watu kuwa eti kitabu cha Quran kileteremshwa na Allah.

First Official Compilation, called Caliph was done from 632–634 CE: Shortly after Muhammad's death. Abu Bakr, ordered the collection of scattered written fragments.

Standardization (c. 650–652 CE): The third Caliph, Uthman ibn Affan, was done 20 years after Muhammad’s death.
 
Kwa nini unasema kwenye Hadith kuna upotoshaji?
Kitabu kinaitwa "Sahih" kwa nini kuwepo na upotoshaji?
Unataka kusema hata Bukhari na Muslim ni wapotoshaji?
 
Hakuna hoja yenye akili inayoweza kumfanya mtu awe muislam. Mtu kuingia kwenye uislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
We ni muislam kwa sababu huujui uislam.
Huko umeenda mbali mkuu, haya mambo siku zote nashauri yabaki kama ushabiki wa mpira au vyama vya siasa.

Jikite kwenye kueleza uzuri na ubora wa unachokiamini bila kubomoa upande wa pili.

Mfano, mimi ni Mkristo, sielewi uislam au dini nyingine kwa undani, kutaka kuielezea au kuichambua huku nikiwa na uelewa mdogo kuihusu hiyo dini sifikirii itakua sawa. Vinginevyo niulize ili nielimishwe na wahusika.
 
Watu wengi hawajui. Mohammad, binafsi hakuwahi kujitangaza kuwa ni mtume. Mpaka anafariki, Muhamad hakuwahi kuacha Quran. Quran imeandikwa miaka mingi baadaye baada ya kufariki Mogammad, na iliandikwa na watu waliokusanya simulizi kutoka kwa watu waliodai kusimliwa na Muhammad. Lakini kuna watu waongo wanawadanganya watu kuwa eti kitabu cha Quran kileteremshwa na Allah.

First Official Compilation, called Caliph was done from 632–634 CE: Shortly after Muhammad's death. Abu Bakr, ordered the collection of scattered written fragments.

Standardization (c. 650–652 CE): The third Caliph, Uthman ibn Affan, was done 20 years after Muhammad’s death.
Kwa hiyo mkuu kama kwenye Quran 7:158 Muhammad anasema yeye ni mtume,
Hii kitu kumbe kimeandikwa tu wala hakusema mwenyewe?

Kumbe sasa Quran na Hadith ni watu wamejitungia tu ama vipi?
 
Huko umeenda mbali mkuu, haya mambo siku zote nashauri yabaki kama ushabiki wa mpira au vyama vya siasa.

Jikite kwenye kueleza uzuri na ubora wa unachokiamini bila kubomoa upande wa pili.

Mfano, mimi ni Mkristo, sielewi uislam au dini nyingine kwa undani, kutaka kuielezea au kuichambua huku nikiwa na uelewa mdogo kuihusu hiyo dini sifikirii itakua sawa. Vinginevyo niulize ili nielimishwe na wahusika.
Upo sahihi kabisa, ila mi sasa najua ukristo na uislam ndio maana nikasema hivo.

Kama una muda endelea kusoma comments humu utaona wameshakimbia kujibu hoja zangu.
Ndo nahitimisha kwa kusema, ili uwe muislam ni lazima kwanza uwe huujui, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
 
Kwa nini unasema kwenye Hadith kuna upotoshaji?
Kitabu kinaitwa "Sahih" kwa nini kuwepo na upotoshaji?
Unataka kusema hata Bukhari na Muslim ni wapotoshaji?

Bukhari alikusanya hadithi mbalimbali kutoka kwa watu tofauti tofauti ambapo ilikuwa ni zaidi ya miaka 200 baada ya mtume... Sasa ukiniambia kila hadithi aliyokusanya ilikuwa sahihi au sio sahihi, huo ni utashi binafsi... Lakini pia inategemea zaidi ya jinsi mkusanyaji alivyo ona/verify. Hata hivyo msingi wa Uislam upo kwenye Quran na sio hadithi
 
Bukhari alikusanya hadithi mbalimbali kutoka kwa watu tofauti tofauti ambapo ilikuwa ni zaidi ya miaka 200 baada ya mtume...
Sasa ukiniambia kila hadithi aliyokusanya ilikuwa sahihi au sio sahihi hiyo ni utashi binafsi...kwani inategemea jinsi yeye mkusanyaji alivyo ona. Hata hivyo msingi wa Uislam uo kwenye Quran na sio hadithi
Ukisema msingi wa uislam upo kwenye Quran na sio Hadith hapo utakuwa umeongea uongo mkuu.
Uislam bila Hadith haiwezekani kabisa, Quran inasaidiana na Hadith kujenga uislam. Kimoja kikiondoka hapo uislam hauwezi kutimia.

Hivi mkuu, kati ya Bukhari na nyinyi wa kizazi hiki ni nani mwenye nafasi nzuri na data kamili za kuweza kujua Hadith sahihi na dhaifu?
Historia ya Bukhari inasema jamaa alikuwa anajua Hadith 300,000 zipo kichwani amekariri, na anajua dhaifu ni ipi na sahihi ni ipi.
Jamaa anachagua chache tu ambazo hazifiki hata 8000 maana yake ni kwamba alifanya uchambuzi yakinifu sana wakati anaandika. Sasa anakuja mtu amezaliwa Karne ya 15-20 anaanza kuona Bukhari wa Karne ile ya karibu na Muhammad kwamba ameandika Hadith dhaifu. Ndo wewe sasa unasema kuna upotoshaji. Maana yake ni kwamba wewe umeona ni upotoshaji ila Bukhari yeye hakuona hilo.
 
Uislam ni kunyenyekea na kufuata mafundisho ya mitume na Kitabu cha Quran.
hadithi ni kwa ajili ya ushehereshaji tu...
LAKINI; MBONA UMEACHA ILE ID YAKO YA ZAMANI TULIYOKUZOEA?
 
Unajua kwamba m

Kwa hiyo mume na babaye walipouawa safiyyah ndipo akaona akaolewe kwa hiyari yake mwenyewe kwa mtu aliyeongoza kikundi cha kuwauwa wapendwa wake au sio? We unaona inawezekana hiyo?

Umri fulani ukifika unaanza kutafakari mambo kwa kina kwa akili yako mwenyewe uliyopewa na muumba.

Sasa point yangu ni kwamba Muhammad alimbeba kama mateka akaenda kumuoa kilazima. We unakataa, kwa hiyo unataka kusema ni mwenyewe kwa mapenzi yake aliamua kuolewa na muuaji wa wapendwa wake?
Unataka ulazimishe hoja zako au siyo? Una ushahidi kuwa Saffiyyah alibebwa mateka!? Enhee embu tuletee ushahidi hapa.
 
We nani alikwambia katika uislam hakuna mateka wa kike?

Sahih Bukhari 2228
Inasema safiyyah alikuwa miongoni mwa mateka.

Sasa uje hapa useme nimedanganya ama ukubali hukua unajua kwamba kwenye uislam kuna mateka wa kike.
Hadithi uliyoleta ni feki. Katika sheria za kiislam za kivita hakuna mateka wakike na hakuna kuua wanawake. Hadithi yako inakosa ithbati. Hizi uongo unazitolea wapi!?
Ila maswali yangu kuhusu ukristo hukunijibu.
 
Udhaifu mkubwa wa uislam upo zaidi kwenye matendo ya kishetani: kuua watu, ugaidi wa kujilipua kuwaua wasio waislam, ubaguzi wa kidini, kulazimisha watu kuwa waislam badala ya kushawishi kwa kupitia mafunfisho yenye tija. Hali hiyo imesababisha waislam kuongoza katika kubadili dini, na kuachana na uislam:
Leading Countries muslims converting to Christianity:
    • Iran: Various mission and demographic groups have reported Iran as one of the fastest-growing underground Christian movements in the Islamic world. Estimates of Christian converts range from several hundred thousand to over a million, despite strict state prohibitions against evangelism and apostasy. [1, 2, 3]
    • Indonesia: As the world's largest Muslim-majority nation, Indonesia has historically recorded millions of former Muslims converting to Christianity since the mid-20th century through community outreach and local church growth.
    • Algeria: Particularly within the Berber (Amazigh) community in regions like Kabylie, local reports note thousands of conversions to Christianity over recent years.
    • Sudan: Observers and humanitarian groups have documented millions of reported religious transitions or shifts toward Christianity and traditional beliefs dating back to the 1990s amid regional and civil conflicts.
    • Afghanistan & Iraq: Both nations have seen small but persistent underground networks of Christian converts, numbering in the thousands, who often practice discreetly or face displacement.
    • European Nations (e.g., Germany, UK, Sweden, Austria): Western European churches have reported significant numbers of baptisms and conversion inquiries among Middle Eastern and Persian asylum seekers and refugees.
Hao sio waislamu ni

Hao sio waislamu,ndani ya uislamu wanaitwa wanafiki,wakiona wamejulikana,wanakimbia kwenda kwenye wanafiki wrnzao,hata.kwenye siasa wapo,wanahamahama vyama
 
Back
Top Bottom